Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hapa nataka kuandika something like an imaginary speech kuwaalika wajumbe. Kama anavyofanya Xi Jin Ping. Wengine labda watataka kuiendeleza. Karibuni Dodoma wajumbe wote. Tunakutana katika...
0 Reactions
0 Replies
450 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mahafali ya 52 Duru ya 5 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Leo Novemba 30, 2022 kwenye ukumbi wa Mlimani City Mahafali ya...
5 Reactions
60 Replies
6K Views
SIIONI "VITA" DHIDI YA MADAWA YA KULEVYA.. NASIKIA KELELE TU.! Binafsi sio mchangiaji sana wa mijadala ya kisiasa, kwa sababu kuna muda huwa nahisi ukifuatilia mienendo ya wanasiasa katika nchi...
32 Reactions
62 Replies
7K Views
Wakuu , Hongereni kwa Nyerere Day . Kwa vile kuna mapambano ya hoja mitandaoni , mitaani na kwingineko kwamba Rais wa zamani wa Tanzania , Hayati Dr John Magufuli alikuwa kiongozi katili ...
10 Reactions
52 Replies
3K Views
Hatumuoni kwenye majukwaa ya CCM akirap. Baba yake alifanya kazi na hayati Nyanza Coop Ltd na hapa ndio ikawa mwanya wa upendeleo. Alichukiwa na wanaunyanyembe sana. Hasa waswezi wa unyanyembe...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Rwanda ni Nchi ndogo sana kwa Tanzania. Of- course Kagame is smart but siyo extent hiyo. Kagame hawezi kuingilia siasa za Tanzania hata kwa asilimia 1%. Kuna watu wanadhani Kagame anaushawishi...
93 Reactions
806 Replies
62K Views
Ujumbe wa Vigogo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umewasili Nchini Ubelgiji kutokea Ujerumani , Chadema chama cha siasa kinachotajwa kuwa Maarufu zaidi Barani Africa kwa sasa , huku...
12 Reactions
69 Replies
3K Views
Wanabodi, Angalizo la Bandiko Hili, sijataja jina la mtu yoyote, naomba na wewe usitaje. Hapa nazungumzia title ya mtu kuitwa Mama. Japo title ya "Mama" ni jina la heshima kwa mwanamke, kila...
14 Reactions
77 Replies
6K Views
Huku ndiko taifa tunaelekea, uwezo wa kuhoji maswala muhimu unaongezeka na watu wanazidi kuelimika kuhusu maswala ya sayansi ya uraia, na hizi ndizo athari chanya za matumizi ya mitandao kijamii...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama kuna mwanasiasa bado anaamini kuna siku CCM itaondoka madarakani basi atakuwa na tatizo kubwa sana kwenye Ubongo, umoja wa vyama vya siasa haupo, wanasiasa na vyama wanafurahia ruzuku na...
1 Reactions
14 Replies
768 Views
Wakati Samia amesaini mikataba 15,nje ya nchi huko China!Kati ya hiyo.Ni mitatu pekee iliyotajwa huku mingine ikifanywa "Siri". Hapo Kenya,leo 6/11/22.Imeripotiwa kupitia Luninga ya KTN-NEWS...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa Marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni...
10 Reactions
204 Replies
12K Views
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimewataka wananchi katika Jimbo la Amani kumchagua mgombea wa wake kwa kuwa ndiye mwenye uwezo wa kuendeleza kazi nzuri ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya chama...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Salama wakuu! Naomba mwenye CV ya huyu kijana Mr SHAKA HAMDU SHAKA nimesikilza mara kwa mara napata tabu sana kumuelewa, Hajui kuongea kwa staha na hoja, ustarabu zero na matusi mengi...
0 Reactions
25 Replies
20K Views
Chama cha Mapinduzi kimetangaza Tarehe 7 na 8 Disemba ni Mkutano Mkuu wa Taifa wa ambao utakuwa na jukumu la kuwachagua viongozi wapya ngazi ya Taifa suala la rushwa limeonekana kuitia doa CCM...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Ukitizama kwa nje unaweza kusema kwamba Tanzania ndio nchi ingetakiwa iwe msuluhishi mkuu kwenye huu ukanda wa Africa Mashariki lakini ni tofauti sana na uhalisia. Sababu kubwa ni kuwa na taifa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwaka jana Zitto Kabwe katikati ya mgogoro wa Ndugai na CAG alitabiri kuwa CAG ''kisiki'' Prof. Mussa Assad anafanyiwa zengwe la kuondolewa na kuletwa CAG dhaifu. Sikiliza hiyo video
4 Reactions
42 Replies
7K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Mkuu Mpya mmoja wa Mkoa na kuwahamisha vituo vya kazi wengine sita kuanzia jana, Jumamosi, Desemba 6, 2014...
7 Reactions
162 Replies
36K Views
Wadau baada ya suala la CAG kuthibitika kuwa Rais Magufuli alivunja katiba ya nchi. Sasa nataka na hili la Halima Mdee na genge lake nilifikishe mahakamani ili mahakama itamke kuwa Spika Ndugai...
2 Reactions
7 Replies
919 Views
Wajumbe karibuni Dodoma "Tunawatakia safari njema", Theresia Mtewele Mjumbe wa kamati kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom