Utoto mitandaoni: Mnamu-overate sana Kagame, hawezi na hatoweza

chipa GM

JF-Expert Member
Jan 21, 2012
1,769
2,858
Rwanda ni Nchi ndogo sana kwa Tanzania.

Of- course Kagame is smart but siyo extent hiyo. Kagame hawezi kuingilia siasa za Tanzania hata kwa asilimia 1%. Kuna watu wanadhani Kagame anaushawishi kwa regime hii mnapotoka sana. Acheni siasa za kitoto eti mzee walinzi wake ni wanatoka Rwanda. Kagame hawezi kuingilia siasa za Tanzania.. Hata akiamua hana uwezo huo. Kuna watu mnaishi Tanzania lakini hamjui vizuri Tanzania. Au mnadhani Magu amekuwa Rais kwa bahati mbaya. Urais ni vetting siyo voting. Kwa kazi aliyoifanya wizara ya ujenzi ili chama kiendelee ilikuwa lazma asimamishwe MTU anae uzika.

Why Magu na Rwanda; miaka ya 2010+ kipindi Uganda mseven akiwa mwenyekiti wa EAC, Kenya/UG na S.S pamoja R walianzisha coalition of will au Cow, ambayo walikubaliana kuashirikiana kwenye mambo ya miundombinu/elimu etc. Tz/Burundi tulitengwa. Cow n chokochoko za Kenya kutaka kumtingisha Tz. Baadaye cow ikaja ikawa northern corridor..!!
Kwenye maamuzi mengi ya eac hasa maamuzi ya tz yalikuwa hayapewi support na nchi 3(K,U,R) rafiki yetu n B tu. Magu baada ya kuingia ilibidi kuirudisha Tanzania kwenye hadhi yake ya EAC. Na MTU pekee wa kutimu naye alikuwa R na Ug. Ikumbukwe tu Kenya anatakuwa kuwa ndiyo baba wa EAC na Tz hawez kukubali hawa jamaa ni manyang'au kabsa..wabinafsi sana..wajuaji sana.Magu kutaka Urafiki na Rwanda n mkakati mzito sana na siyo suala la siasa km wengi mnavyodhani. Na now Tz iko vizuri sana kwenye siasa za A.M.

Narudia tena Tz hawez kuingiliwa kisiasa na Nchi yeyote Africa. Hawawezi. Rwanda hatuna cha kujifunza kwao.. But tuna bandari kwahyo lazma wawe marafiki zetu ilituzipate pesa yao. Rwanda haiwezi kutuwekea Rais Tanzania sisi tunaweza kumuweka Rais R. Rwanda alitaka kuweka Rais Burundi,Tz tulinjinia na kijana wetu NKURU bado yupo Burundi

Tanzania ni silent giant. Bado tunasifa sana duniani. Ukifika duniani unaulizwa kuhusu Kilimanjaro & Zanzibar. Sisi Tanzania kuwa na waburundi au Watusi/wahutu haikwepeki kutokana na wakimbizi na machafuko yaliyotokea.

Utoto huu mitandaoni ebu tuuache.. Hizo Nchi ndogo zipo naked to us. Hazina madhara. We beyond that.Rais anajua anafanya nini: Kitu ambacho R, wanatuzid ni wale wadada wenye pua mchongoko only that..maendeleo tumewaacha, kila ki2 wapo nyuma kwetu. Acheni kuwa inferior na Nchi nyingine..ebu ijue Tanzania kwanza.

Watanzania wengi wanapenda kusikia yanayo wafurahisha tu..nimesoma comments zenu, nimefurahishwa na nimeshtushwa na uchambuzi wenu..watu wengi mnachangia mada hii kwa dhahania (abstract) bila prove na facts weka ushahidi: hatuwezi kuendelea kwa kutofautiana na majirani. Uadui na R hauna faida kwetu na hata kwao..yale ya jk yamepita..now new page regime. R haijawahi ku interfere/ influence chochote Tz, na haitowahi: Jk alisema za kuambiwa changanya na zako>> Msilishwe na matangapoli,. Hawezi na hatoweza. Mwingine anapotosha eti R, inatumika na France..sijui kama anafatilia vitu huyu. fatilia uhusiano wa R na F mpaka R wakahama to English side. Ila naheshimu mawazo ya kila mtu, Utofauti wa kisiasa usitufanye tukawa vipofu.Sisi ni vijana tusiwe washabiki wa wanasiasa na vyama. Ideas/facts lead us.
 
Hujui chochote Mkuu

chipa GM
Mkuu,

Sawa.

Uzuri ni kuwa "nyani akiwa kwenye mti juu , ,,, mwenye shamba hujipa matumaini kuwa leo hatashuka huondoka kwenda nyumbani. Ila baada ya dakika chache sana yule nyani hushuka na kufanya sherehe ya kula mazao"

Ukivuna mabua ndiyo una tambua kuwa kumbe " nyani siyo mnyama wa kuchekea"

Endelea vivyo hivyo.

Nina imani na Sera ya Dr JK dhidi ya Mr Slim. Kuliko hii awamu juu ya Mr Slim.
 
Kagame si ndo alimwita mzee wa Msoga 'NONE SENSE' tena akamusema nikiamua leo niwaamuru watu wangu hapo dar slamu hautalala na umrudishe dada yetu ex-first lady wa awamu ya maisha mazuri
Baada ya hapo unajua walichokipata..!! Kwann unadhani Hata rais akitukanwa reaction si kupigana vita.. Jk aliwatekenya na wakatekenyeka..unajua wahamiaji haramu nani alipata madhara..who was the Target. na kwa taarifa tu madhara hadi leo hayaponeki.. Jk n mjanja sana..na tukubali tu kwa diplomasia jk mzuri kwa marais wa africa wote..anaweza asiwe kuwa asiye wa kwanza but top 3 yupo.. but uadui na Rwanda lazma uishe na maisha yaende.
 
Hujui chochote Mkuu
Mkuu kagame sio overrated ila ni mtu hatari sana kma aliweza kuinyoosha nchi kubwa zaidi ya Tanzania mara 5 yaani DR Congo nzima mara 2 na mpaka leo haikaliki kisa yeye unafkiri atashindwa Tz??

2. Nakumbuka kipindi ana beef na kikwete alisema anaintelijentsia kila kona Tz kiasi kwamba anajua mpaka shuka zinavyobadilishwa ikulu!! Hivi mpaka anajiamini hivyo unafkiri ni mtu wa kawaida huyo?

3. Unaposema eti Tanzania hatuijui ukimaanisha intelijentsia yetu iko vzuri sana.... Basi niambie kivp tembo laki 5 wamekufa toka 2005 hao TISS hwakuzuia?? Vipi makinikia TISS hawakuzuia kwa miaka 15?? Hao mapandikizi wa kagame hadi kufika kufanya kazi ikulu kivp TISS imeshindwa kuwagundua ?? Vp kura zinaibiwa na TISS wanashindwa zuia!!

4. Eti Rais anapita kwa vetting sio voting!! Sasa alipiga kampeni za nini hadi kuanza kulia lia jukwaani tumchague if at all mlijua anauzika na kwamba atapita iwe amepigiwa kura ama lah..... Mlitumia gharama za kampeni ya nni kma mlijua hata akishindwa mtaiba tu?? We sema tu NEC na katiba ndio inawabeba CCM hayo ya TISS kutupangia Rais haiwezekani maana kma wananchi wakiingia barabarani kma kenya 2003 hao TISS hawawezi zuia lolote maana hawafiki 10% ya wapiga kura wote wa upinzani!!!so usiwasifie sana kana kwamba wako very bright ilihali rais waliyetuletea hana hata busara za kiuongozi

Magufuli kapatikana baada ya beef ya lowasa na membe lasihivyo urais angeusikia kwenye bomba..... Na kma kweli TISS walimpendekeza magufuli awe Rais basi naweza kusema tuna TISS mbovu zaidi katika historia ya dunia kma ndio wanapendekeza viongozi type ya magufuli
 
Hakuna anayempigania Magu. Magu ni Rais wetu mpaka 2020 tumpe sapoti. Akikosea tumwambie kwa Adabu
Adabu gani mbona yye aliita wapinzani wake kuwa ni vil.aza... Yye mwenyewe ana dharau kejeli matusi kwa wapinzani unategemea wamchekee??? Magufuli angekuwa kiongozi mzuri kma ataacha kuwabughudhi wapinzani wake mbona kenya tunaona odinga anampiga biti haswaa kenyatta ila sijaskia akilala korokoroni hata siku moja!!! Trump vp anatukanwa kila siku mbona watu hawakamatwi??
 
Nakubaliana na wewe kwamba PK na Rwanda yake wapo overrated. Hata huo umahiri wa ujasusi upo overrated.

PK aliweza kuwa na watu wake kwenye taasisi zetu si kwa sababu eti Rwanda ni wazuri kihivyo in espionage bali ni kwavile hao watu tuliwaingiza sisi wenyewe kwenye system zetu!

Wakiwa kama Wakimbizi from 1960s; tuliwasomesha kwenye shule zetu... pia tukawasomesha kwenye vyuo vyetu na hatimae kuwaajiri wenyewe kwenye taasisi zetu kwa kuwa tuliamini ni ndugu zetu na haipaswi kuwatenga!

Hata hivyo, baadae wakasahau fadhila zetu na kuamua kutusaliti kwa niaba ya nchi yao ya asili! Anyway, hata ningekuwa mimi ningefanya kama walivyofanya wao!!

No offense... nothing personal! It's all about loyalty to a motherland!!

Aidha, kwamba eti JPM ana-side sana na PK kwa hoja kwamba ni mkakati wake maalumu... hamna cha mkakati wala nini! Magu anahusudu viongozi madikteta; PERIOD!! Magu anahusudu sana military flavor!

I guess, anatamani sana angeingia Magogoni wakati akitokea kwenye military community! Anamhusudu PK kwa sababu PK na M7 are from military communities.

Aidha, anadhani wananchi kuwa free sana kiasi cha kuwa na uwezo wa ku-criticise mipango ya serikali basi hiyo inadumaza mipango ya serikali na hatimae kudumaza maendeleo!

Military members don't give that freedom! Order>>>Obey>>>Execute>>> Ask Question Later!

Kwamba eti Collision of Willing; hamna lolote na wala si sababu!

Kwanza, ile kauli kwamba Tanzania tulitengwa na CoW ilikuwa ni kauli ya kisiasa ya kutafuta sympathy na kuwaonesha ni namna gani wenzetu walivyo manyang'au wanaokiuka taratibu tulizojiwekea as EAC!

Kimsingi, ni Tanzania wenyewe ndio "tulijitenga" baada ya kuona CoW si tu haikuwa na maslahi kwetu bali pia ilikuwa inatishia maslahi yetu kama taifa! Maana yangu ni kwamba, hata kama tungeshirikishwa kwa kila hatua, basi kujiunga CoW tungekuwa ni majuha wa karne!

CoW ilikuwa ni big brain ya Uhuru Kenyatta ambae alitaka ku-capitalize husuda ya PK kwa JK na uju'ha wa M7 kwa maslahi ya Kenya!!

One side of my heart hates Uhuru Kenyatta... anyway, niseme naionea wivu Kenya kwa kuwa na Kenyata kwa sababu that old capitalist knows what he wants and how to get it without violence.

Thanks God kwamba by the time tulikuwa na rais (JK) ambae alikuwa mtalaamu aliyekubuhu wa fitina za kisiasa wakati huo huo akiwa gwiji la diplomasia na fitina za kidiplomasia!

Matokeo yake JK akawa anawachora tu akina PK na Uhuru (M7 alikuwa anapelekwa pelekwa tu) wakiruka ruka kwa mbwembwe za kujenga reli ya kisasa kumbe mwenzao ( JK ) alikuwa anatafuta Kibra cha kuwachinjia!

Uhuru Kenyatta akapigwa nyundo ya kichwa baada ya kukutana na JK jijini Windhoek, Namibia. Kenyatta na CoW yake wakarudi Kenya kutoka Namibia wakiwa kwenye machela.

In a month or two, CoW ikafa kibudu hata kabla JPM hajatangazwa na CCM kuwa mgombea urais.

PK akaja kujisalimisha Dar na kujadiliana upya na JK ni namna gani watajenga reli ya kisasa baada ya kuachana na mpango wa reli ya Kigali-Kampala-Mombasa.

About five months later (August or September 2015), kampuni ya mafuta ya TOTAL nao na wakamfunga minyororo waziri wa nishati wa Uganda hadi Dar es salaam kujisalimisha na kutamka rasmi kwamba wameghairi kupitisha bomba la mafuta Mombasa na kwahiyo watapitishia Tanga!

Haya yote yalitokea kabla JPM hajaingia Magogoni!

Kwahiyo sio sahihi kusema JPM ana-side na PK ili kuirejesha Tanzania kwenye hadhi yake EAC.

Tanzania haikuwahi kutengwa EAC na wala hadhi hiyo haikuwahi kupotea. Ilikuwa ni issue ya kimaslahi iliyozaa CoW ambayo hata hivyo ilishakufa kibudu kabla JPM hajaingia madarakani!

Hilo la kwamba eti Ikulu inalindwa na Wanyarwanda ni porojo tu za akina Mange Kimambi ambae chochote "utakachomtonya" anakipeleka public!

There's no way JPM anaweza kufanya ujinga kama huo. Kwanza, hana sababu hiyo lakini pia, wenye nchi yao hawawezi kumwacha akifanya hayo!

Hata hivyo, inasemekana JPM aliomba IT Experts kutoka Rwanda!

Kama ni kweli na hao watu wameletwa, basi huo utakuwa ni uamuzi wa hovyo zaidi kwa JPM kuufanya! I hope itakuwa ni internet hoax!

Aidha, atakuwa amefanya kosa kubwa sana akitumia kigezo kwamba hata wakija, hawatahusika na mifumo yetu ya ulinzi na usalama! In a modern espionage, countries are more concerned with economics, scientific and technical espionage kuliko security stuffs.
 
Baada ya hapo unajua walichokipata..!! Kwann unadhani Hata rais akitukanwa reaction si kupigana vita.. Jk aliwatekenya na wakatekenyeka..unajua wahamiaji haramu nani alipata madhara..who was the Target.
but uadui na Rwanda lazma uishe na maisha yaende.
Walikipata nini zaidi leo hii mnawapa tender watu wao wa IT as if bongo hatuna wasomi???
 
Mkuu kagame sio overrated ila ni mtu hatari sana kma aliweza kuinyoosha nchi kubwa zaidi ya Tanzania mara 5 yaani DR Congo nzima mara 2 na mpaka leo haikaliki kisa yeye unafkiri atashindwa Tz??

2. Nakumbuka kipindi ana beef na kikwete alisema anaintelijentsia kila kona Tz kiasi kwamba anajua mpaka shuka zinavyobadilishwa ikulu!! Hivi mpaka anajiamini hivyo unafkiri ni mtu wa kawaida huyo?

3. Unaposema eti Tanzania hatuijui ukimaanisha intelijentsia yetu iko vzuri sana.... Basi niambie kivp tembo laki 5 wamekufa toka 2005 hao TISS hwakuzuia?? Vipi makinikia TISS hawakuzuia kwa miaka 15?? Hao mapandikizi wa kagame hadi kufika kufanya kazi ikulu kivp TISS imeshindwa kuwagundua ?? Vp kura zinaibiwa na TISS wanashindwa zuia!!

4. Eti Rais anapita kwa vetting sio voting!! Sasa alipiga kampeni za nini hadi kuanza kulia lia jukwaani tumchague if at all mlijua anauzika na kwamba atapita iwe amepigiwa kura ama lah..... Mlitumia gharama za kampeni ya nni kma mlijua hata akishindwa mtaiba tu?? We sema tu NEC na katiba ndio inawabeba CCM hayo ya TISS kutupangia Rais haiwezekani maana kma wananchi wakiingia barabarani kma kenya 2003 hao TISS hawawezi zuia lolote maana hawafiki 10% ya wapiga kura wote wa upinzani!!!so usiwasifie sana kana kwamba wako very bright ilihali rais waliyetuletea hana hata busara za kiuongozi

Magufuli kapatikana baada ya beef ya lowasa na membe lasihivyo urais angeusikia kwenye bomba..... Na kma kweli TISS walimpendekeza magufuli awe Rais basi naweza kusema tuna TISS mbovu zaidi katika historia ya dunia kma ndio wanapendekeza viongozi type ya magufuli
Kudos kwako! Andiko maridhawa kabisa
 
Hiyo sentesi yako ya anajua mpaka shuka zinavyobadilishwa ikulu inaonesha umasikini wako wa akili.
 
Back
Top Bottom