Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ifike wakati sasa hatua stahiki zichukuliwe ili iwe mfano kwa watu wote wanaopata uongozi katika nchi hii. Magufuli na wote waliohusika sasa ni wakati wafilisiwe. Mtu hawezi kuwa anajiamulia...
23 Reactions
83 Replies
7K Views
Huu mchezo nilikuwa naukemea tangu enzi za Magufuli. Hii leo ni zaidi ya mara 4 sherehe za kitaifa kughairishwa na viongozi kisha fedha kuamuru zipelekwe kwingineko. Rais hupatiwa kitabu chote...
1 Reactions
10 Replies
894 Views
Nafahamu kwamba watu wengi wameanzisha threads wakijaribu kuelezea suala la CAG Kisheria! Hata hivyo, wengi wao kama sio wote walichofanya ni kurundika vifungu vya kisheria bila kutoa ufafanuzi...
60 Reactions
641 Replies
106K Views
Rais Samia Suluhu amesema mwaka huu hakutakuwa na sherehe za uhuru na pesa zilizokuwa zimetengwa kwaajili ya sherehe izo ziende kuimarisha sekta ya elimu wadau wengi wa maendeleo wameunga mkono...
8 Reactions
73 Replies
5K Views
Kinachoshangaza Katiba pendekezwa hata haijapigiwa kura, tayari wapinzani wameanza mchakato wa Katiba nyingine hasa wale CHADEMA. Sasa tutakuwa na Katiba ngapi? Katiba pendekezwa, Katiba ya...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Mtu mnafiki, mwongo, na ambaye hana uhuru wa mawazo huwa hagundui kitu chochote, akijitahidi ataishia kuiga na kukariri. Moja ya sababu, wanasaikolojia wanasema kwa nchi ya China kutokufanya...
57 Reactions
72 Replies
5K Views
Watanzania wote ni sawa! Tusitegemee eti kulikwamua Taifa ni kuifurusha CCM kutoka madarakani! Ukiangalia masuala yanayo haribu Taifa, huwaoni wapinzani wakiwa tofauti nazo! Niweke mifano...
0 Reactions
0 Replies
387 Views
Hili liko wazi kuwa Bashiru kuendelea kuwa katibu Mkuu CCM baada ya kuwa katibu Mkuu Kiongozi ilikuwa ngumu. Magufuli alikuwa tayari ana plan B ya kumpata Katibu Mkuu CCM pamoja na Katibu Mwenezi...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuelekeza pesa takriban bilioni 1 kasoro kidogo zilizotengwa kwa sherehe kwenda kufanya mambo mengine ya msingi ni jambo sahihi kabisa ila swali kubwa la kujiuliza ni kwa nini zilitengwa kwa hiyo...
5 Reactions
6 Replies
624 Views
Desemba 1, 2022 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alishiriki maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani baada ya maadhimisho hayo alisimama na kusalimiana na Wananchi wa Mnazi mmoja mkoani Lindi wakati...
0 Reactions
1 Replies
925 Views
Bashiru Ally ameamua sasa kuwa liwalo na liweee. Hili litakuwa ni pigo ndani ya CCM maana kaamua kupiga kwenye mshono.
18 Reactions
257 Replies
24K Views
Wasalaam wana wa Mungu. Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Simiyu, David Zacharia Kafulila, amekosoa vikali kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu A Lissu kuhusu kesi iliyopelekea kukamatwa kwa...
15 Reactions
225 Replies
13K Views
Chama Cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) imeiomba serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Nchini ( TRA) kuweka utamaduni wa kukutana na wafanyabiashara kujadili namna ya kuweka mifuno...
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Naona kama vile Rais aliposema hataki vilemba vya ukoka na sifa za uongo kuna mawili matatu hayako sawa. Mosi, watendaji hasa wa chama wamedharau tamko lake dhidi ya utamaduni wao mpya wa sifa za...
4 Reactions
31 Replies
2K Views
Huwa sometime naamini wabongo ni watu wasiokuwa na uchungu na rasilimali zao ndio maana wamejaa foregner huku bongo wanajichumia na sisi tuna shangilia tu. Imekamatwa ndege yetu na ilivyo ni...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Wadau nawasalimu. Toka Serikali itangaze kuwa imenunua Mabehewa ya Treni ya Kisasa Mbunge wa Nzega Vijijini amekuwa Mstari wa Mbele kuhoji Upya wake. Kwa Tabia ya Kugwangalah Swali hili hili...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Jaji Tiganga alisikiliza ushahidi wa Jamhuri na kupima kwa weledi kuwa Mbowe na wenzake wana kesi ya kujibu. Hii ilionyesha kuwa kulikuwa na harufu ya hati. Mbowe na wenzake walitakiwa...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Baada ya kutafakari na kuangalia mambo yanavyoenda, nimegundua Hussein Bashe wanamuita Msomali lakini ni Mzalendo kuliko wakina Makamba wanaojiita Wazawa. Hussein Bashe ni Waziri wa Kilimo sioni...
9 Reactions
89 Replies
6K Views
Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Ally amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla kumzungumzia Mgombea wa Urais wa CCM, Dkt. Magufuli badala ya kuendelea na malumbano yake...
27 Reactions
275 Replies
30K Views
Ndugu wa kijana Hamza aliyeuwa polisi watatu na yeye kuuawa pale daraja la Salenda wametiwa mbaroni na polisi usiku huu. Ndugu wote wamekamatwa na nyumba yao imefungwa na iko chini ya ulinzi...
8 Reactions
244 Replies
36K Views
Back
Top Bottom