Uhamiaji ianze uchunguzi jinsi watoto wa Lissu, ambao ni raia wa Marekani walipata passport za Tanzania, kama Lissu alidanganya, ashughulikiwe

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,960
20,532
Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa Marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.

Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.

Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.

Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka Marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.

Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
 
Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.

Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.

Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.

Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Kwa mawazo kama haya ndio yanatufanya waafrika tuonekane ni kama NYANI ALIYECHANGAMKA TU. Yaani nchi imejaa matatizo kibao na ya msingi huyaoni una kimbilia mambo ya kipuuzi ambayo hata hayana athari kwa jamii!! asilimia kubwa ya viongozi wanaokuongoza na familia zao wana uraia pacha hilo hulioni!?

Hao uhamiaji wameshindwa nini kuwapelekea moto? viongozi kibao sio raia wa nchi hii na ambao hadi sasa kodi yako ndio inawatunza hilo hulioni?!
 
Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.

Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.

Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.

Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Ungeweka wazi kwanza; watoto hao wana umri gani ? ....Majibu yataanzia hapo.
 
Kwa mawazo kama haya ndio yanatufanya waafrika tuonekane ni kama NYANI ALIYECHANGAMKA TU.Yaani nchi imejaa matatizo kibao na ya msingi huyaoni una kimbilia mambo ya kipuuzi ambayo hata hayana athari kwa jamii!!asilimia kubwa ya viongozi wanaokuongoza na familia zao wana uraia pacha hilo hulioni!?Hao uhamiaji wameshindwa nini kuwapelekea moto?!viongozi kibao sio raia wa nchi hii na ambao hadi sasa kodi yako ndio inawatunza hilo hulioni?!!KENGE KWELI
Sheria yetu hairuhusi uraia pacha ndiyo anaongelea mleta mada.
 
Hizi ndio siasa za ccm, roho mbaya kuliko hata shetani
 
Ccm inaogopa kuruhusu uraia pacha sababu inawaogopa diaspora, kumbuka diaspora awapitiwi na moshi wa mwenge Ili kuzipumbaza akili zao zilale Ili watawaliwe, tofauti na walio ndani. Wanaogopa daispora watawajanjarusha wananchi nao watashindwa kuwatawala.

Lakini ipo siku huu uchawi wao ule moto wao wa kuzimu unaowaloga watz utafika mwisho. Hakuna zindiko linalodumu milele, ngoja ije generation nyingine.
 
Kwa mawazo kama haya ndio yanatufanya waafrika tuonekane ni kama NYANI ALIYECHANGAMKA TU.Yaani nchi imejaa matatizo kibao na ya msingi huyaoni una kimbilia mambo ya kipuuzi ambayo hata hayana athari kwa jamii!!asilimia kubwa ya viongozi wanaokuongoza na familia zao wana uraia pacha hilo hulioni!?Hao uhamiaji wameshindwa nini kuwapelekea moto?!viongozi kibao sio raia wa nchi hii na ambao hadi sasa kodi yako ndio inawatunza hilo hulioni?!!KENGE KWELI
Naona bado una wenge la pombe za ofa za jana
 
Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.

Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.

Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.

Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.

Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.
Halafu yanakusaidiaje, ewe msanii wa kisiasa wee?
 
Sheria yetu hairuhusi uraia pacha ndiyo anaongelea mleta mada.
Hilo linajulikana wazi lakini yeye amumuona ni lisu tu(kama ni kweli) ndio mwenye uraia pacha?

Inawezekanaje kumpigia kelele zote hizo mtu ambaye sio kiongozi wa ngazi yoyote wa nchi hakuna kodi yako anayoitumia moja kwa mja wakati kuna viongozi wa juu wanaoishi kwa kodi zako moja kwa moja wana urai pacha?!hupazi sauti hiyo moja kwa moja inaonekana ni chuki binafsi tu.
 
Watoto wa Tundu Antipas Mughway Lissu ni raia wa marekani, lakini baba yao aliwachukulia passport za Tanzania, bila shaka aliwasilisha taarifa za uongo kwa Afisa wa serikali, jambo ambalo ni kinyume Cha sheria, na ni moja ya tabia za kifisadi.

Natoa rai idara ya uhamiaji imwage moto kwa kuanzisha uchunguzi kuhusu suala hili.

Watoto hawa wamekuwa wakifaidi bajeti ya nchi yetu, na kuwanyima watoto halali wa kitanzania haki ya kutumia fedha zao.

Ni ngumu sana kwa Tanzania kuendelea, kama mtu anayeutaka urais, Kila akilipwa mafao ya ubunge, fedha zote anahamisha kupeleka marekani, ananunua majumba huko, halafu anarudi anajifanya kupigania maendeleo ya Tanzania.

Pia wizara ya ardhi iweke alama nyekundu kwenye ardhi anazomiliki Tundu Lissu na au wanae. Kwa sheria za Tanzania, raia wa kigeni haruhusiwi kumiliki ardhi, kama Kuna tuviwanja kanunua kwa jina la mwanae, basi hati hizo zifutwe, na pia kama Lissu akifa, watoto wake hawaruhusiwi kurithi ardhi kwa kuwa si raia wa Tanzania.

Bosi tafuta Ela
Ukishakuwa na ela uwez kuuliza mambo kama hayo

I'm sure hata ww unatamani watoto wako au ww mwenyewe uwe na uraia wa marekani au EU

Ukiwa na ela everything is possible
 
Back
Top Bottom