Video: Zitto Kabwe alitabiri ujio wa Kicheere mwaka 2018

Sasa utabiri uko wapi hapo? Watu kama ninyi ndio mnaowapa vichwa hawa wazushi akina Kigogo.
Tunapishana uelewa kwa vile mimi anatumia ubongo sijui mwenzangu unatumia nini?
Ni dhahiri Rais amepata CAG anayemtaka; atakayeficha madudu ya Serikali yake haswa matumizi mabovu ya Fedha za Umma. Lakini Rais ametupa sababu nyengine ya kuhakikisha anaondoka Ikulu 2020. Prof. Assad amefukuzwa sababu ya MSIMAMO wake kwenye taaluma, katiba na utawala bora.
 
Mwaka jana Zitto Kabwe katikati ya mgogoro wa Ndugai na CAG alitabiri kuwa CAG ''kisiki'' Prof. Mussa Assad anafanyiwa zengwe la kuondolewa na kuletwa CAG dhaifu.

Sikiliza hiyo video
View attachment 1253825
Yes Zitto amepita mulemule, alichosoma ndicho kimetokea. Tumeletewa CAG ambaye yuko compromised. Halafu Magufuri anajisahau sana anamuambia eti ukipata maagizo kutoka Bungeni kayatekeleze !!
Katiba inampa independence CAG ila yeye Magufuri anafanya mambo bila kusoma Katiba wala AG hamshauri vizuri
 
Zitto ni msaliti wa nchi. Ajiandae kustaafu ubunge.
Naam zito msaliti ndio maana alipiga
1.5tr.
Ndio maana kagoma ndege zetu zisikaguliwe.
Zito mpuuzi kweli ndio maana anampoteza kila anayempiga.
Aah Zito bana njaa kweli ndio maana anawafanyia wapinzani kila ushenzi kwenye uchukuaji na urejeshaji wa fomu za uongozi serkali za mitaa halafu Zito alivyo mnafiki yupo kimya tu.
Zito bana alipoona Assad anamzibia akampiga chini
AAAH ZITO AISEE.
 
Kule chadema mlimtimua kuwa ni msaliti
Naam zito msaliti ndio maana alipiga
1.5tr.
Ndio maana kagoma ndege zetu zisikaguliwe.
Zito mpuuzi kweli ndio maana anampoteza kila anayempiga.
Aah Zito bana njaa kweli ndio maana anawafanyia wapinzani kila ushenzi kwenye uchukuaji na urejeshaji wa fomu za uongozi serkali za mitaa halafu Zito alivyo mnafiki yupo kimya tu.
Zito bana alipoona Assad anamzibia akampiga chini
AAAH ZITO AISEE.
 
Tunapishana uelewa kwa vile mimi anatumia ubongo sijui mwenzangu unatumia nini?
Ni dhahiri Rais amepata CAG anayemtaka; atakayeficha madudu ya Serikali yake haswa matumizi mabovu ya Fedha za Umma. Lakini Rais ametupa sababu nyengine ya kuhakikisha anaondoka Ikulu 2020. Prof. Assad amefukuzwa sababu ya MSIMAMO wake kwenye taaluma, katiba na utawala bora.
Huyu atakuwa anatumia ndogo kufikiri
 
Tunapishana uelewa kwa vile mimi anatumia ubongo sijui mwenzangu unatumia nini?
Ni dhahiri Rais amepata CAG anayemtaka; atakayeficha madudu ya Serikali yake haswa matumizi mabovu ya Fedha za Umma. Lakini Rais ametupa sababu nyengine ya kuhakikisha anaondoka Ikulu 2020. Prof. Assad amefukuzwa sababu ya MSIMAMO wake kwenye taaluma, katiba na utawala bora.
Hiyo 2020 mnamuondoa RAIS Jpm kwa chama gani?
 
Back
Top Bottom