saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 602
- 1,407
Chama cha Mapinduzi kimetangaza Tarehe 7 na 8 Disemba ni Mkutano Mkuu wa Taifa wa ambao utakuwa na jukumu la kuwachagua viongozi wapya ngazi ya Taifa suala la rushwa limeonekana kuitia doa CCM.
Tayari malalamiko yameanza kutolewa kwa baadhi ya wagombea kudaiwa kutoa hadi milioni 5 kwa kila mjumbe ili wachaguliwe kwenye nafasi za uongozi zitakazopigiwa kura na Mkutano Mkuu.
Kama madai hayo ni ya kweli nini hatma ya CCM kupata viongozi wazuri watakoweza kuisimamia Serikali ili itekeleze majukumu yake kwa wananchi.
CCM ikiyumba, nchi yetu itayumba!