Hukumu ya Assad, ili RichMond Mpya iingize mtambo Kimyakimya!

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,550
11,879
Huku tunapumbazwa na hukumu ya Assad isiyo na Tija na iliyopitwa na wakati.

Kumbe yoote ni ili kuingiza mitambo ya "Richmond" mpya kinyerezi/Tanesco.!

Hii ilipitishwa na kikao gani cha bunge?

Je, hii itakuwa suluhisho la kudumu la kukatika Umeme nchini?

Tuliambiwa Tatizo ni service ya mitambo, kutokana na uchakavu uliosababishwa na Magufuli!

Hatukuwahi kuambiwa kuna mitambo iliyokufa.

Wala hatujawahi kusikia ukweli toka kwa wasimamizi au mameneja wa Mabwawa, kuhusu kina cha Maji Mtera na Kihansi.

Isipokuwa tunasikia Porojo za Makamba na Maharage.

Sasa ghafla mmeibuka na ununuzi wa mitambo mipya eti kutoka Marekani.

Hii kitu mkae mkijua siku kikinuka nchi hii.

Hamtakaa msahau nyinyi na wajukuu zenu.

Mjue huu ukimya wa watanzania sio upole, bali kuna Roho mbaya sana itakuja kuzalishwa na ujinga wa viongozi wanaojichagua wenyewe na kuingia kutuibia mchana kweupe.

Ole wenu...

Inakuja siku isiyo na siku!

January itageuka Chanwa-wali.
Maharage yatageuka Shubiri.

You Can fool Some People Sometimes,But Not All The Time's.
JamiiForums-460662822.jpg
 
Hilo bwawa la mwalimu nyerere limekwamia hapo asilimia 70 na itakua hivyo kwa miaka mingine mitano.

Kwasababu kipaumbele cha awamu hii ni gesi.
 
Umeme ukikatika mnapiga kelele! Jitihada zikifanyika kuurudisha pia mnapiga kelele!

Mnataka nini? Elephant projects zisizo na mashiko?
 
Toa ujinga wako ata mtoto mdogo hawezi fikiria kama unavyofanya wewe,leo hii tumechezeshwa artificial electric shorteg ili kutengeneza mazingiria ya kuleta hiyo mitambo,

ebu imagine huo mtambo kutoa oder ya kutengenezewa na hadi kusafirishwa na mpaka kuingia tanzania ni mda gani unaohitajika.lakini wao wamefanya ndani ya mwezi mmoja means kwamba mkakati huu umepangwa tokea kipindi kile makamba anakabidhiwa wizara.

JPM alivyosema wanakata umeme ili muuziwe majenereta sio haya majenereta yanayopatikana kariakoo .ni majenereta type ya mitambo kama yakina symbion ,na haya ya leo.
 
You Can fool Some People Sometimes,But Not All The Time's. View attachment 2437913
Tulia wewe mla furu wa Chato
 
Tulia Tulia sindano ikuingie nasema tulia sindano ikuingie. Achen watu wale kwa urefu wa kamba msilete kelele za Wakati wa Magu na viswaswadi vyako
 
Hilo bwawa la mwalimu nyerere limekwamia hapo asilimia 70 na itakua hivyo kwa miaka mingine mitano.

Kwasababu kipaumbele cha awamu hii ni gesi.
Upo sahihi kabisa manake hata wakati ule tunaambiwa Mradi unakaribia kukamilika kumbe ndo kwanza ulikuwa umefikia 28.6%
JNHPP 28% COMPLETION.png
 
Huku tunapumbazwa na hukumu ya Assad isiyo na Tija na iliyopitwa na wakati.

Kumbe yoote ni ili kuingiza mitambo ya "Richmond" mpya kinyerezi/Tanesco.!
Kwahiyo gesi huwa inazalisha yenyewe umeme bila mitambo, au Tanzania huwa inazalisha mitambo yake yenyewe?!

Hata wakati wa JPM ilifanyika Extension ya Kinyerezi I kama inavyofanyika sasa! Je, unaweza kutueleza ilipitishwa na kikao kipi cha bunge?!

Na tangu lini Bunge limekuwa likipitisha miradi ya TANESCO?
 
Toa ujinga wako ata mtoto mdogo hawezi fikiria kama unavyofanya wewe,leo hii tumechezeshwa artificial electric shorteg ili kutengeneza mazingiria ya kuleta hiyo mitambo,

ebu imagine huo mtambo kutoa oder ya kutengenezewa na hadi kusafirishwa na mpaka kuingia tanzania ni mda gani unaohitajika.lakini wao wamefanya ndani ya mwezi mmoja means kwamba mkakati huu umepangwa tokea kipindi kile makamba anakabidhiwa wizara.

JPM alivyosema wanakata umeme ili muuziwe majenereta sio haya majenereta yanayopatikana kariakoo .ni majenereta type ya mitambo kama yakina symbion ,na haya ya leo.
Mwangalieni mwingine huyu...

Hivi una habari umeme wa maji Tanzania ni 36%?! Au unataka kusema mabwawa yamejaa maji kibao, na habari za ukame ni uongo?!

Na kama JPM alisema wanakata umeme ili wauze majenereta mbona kiwango cha umeme unaozalishwa kwa maji is almost kile kile wakati wa JK na hata wakati wa JPM?

Mbona basi baada ya JPM kudhibiti uzibwaji wa maji, kiwango cha umeme wa maji kilibaki almost kile kile?

Si kwamba baada ya kuwafuta waziba maji hatimae umeme wa maji ungekuwa ndo mwingi zaidi?!
 
Huku tunapumbazwa na hukumu ya Assad isiyo na Tija na iliyopitwa na wakati.

Kumbe yoote ni ili kuingiza mitambo ya "Richmond" mpya kinyerezi/Tanesco.!

Hii ilipitishwa na kikao gani cha bunge?

Je, hii itakuwa suluhisho la kudumu la kukatika Umeme nchini?

Tuliambiwa Tatizo ni service ya mitambo, kutokana na uchakavu uliosababishwa na Magufuli!

Hatukuwahi kuambiwa kuna mitambo iliyokufa.

Wala hatujawahi kusikia ukweli toka kwa wasimamizi au mameneja wa Mabwawa, kuhusu kina cha Maji Mtera na Kihansi.

Isipokuwa tunasikia Porojo za Makamba na Maharage.

Sasa ghafla mmeibuka na ununuzi wa mitambo mipya eti kutoka Marekani.

Hii kitu mkae mkijua siku kikinuka nchi hii.

Hamtakaa msahau nyinyi na wajukuu zenu.

Mjue huu ukimya wa watanzania sio upole, bali kuna Roho mbaya sana itakuja kuzalishwa na ujinga wa viongozi wanaojichagua wenyewe na kuingia kutuibia mchana kweupe.

Ole wenu...

Inakuja siku isiyo na siku!

January itageuka Chanwa-wali.
Maharage yatageuka Shubiri.

You Can fool Some People Sometimes,But Not All The Time's. View attachment 2437913
Tanzania ni captive state, with corrupt state tools, monetization of security agents changes them all into corruption leveragers, synergization of sabotage moves. We shall see many of such moves
 
Umeme ukikatika mnapiga kelele! Jitihada zikifanyika kuurudisha pia mnapiga kelele!

Mnataka nini? Elephant projects zisizo na mashiko?
Walinzi wa Legacy hao...

Sijui waliambiwa Bwawa la Nyerere likishakamilika ndo wataondokana na umaskini!!

Badala ya kulia umeme wa uhakika upatikane, wao wamebaki kulilia Bwawa la Nyerere wakati hadi JPM anafariki ujenzi wake ulikuwa hujafika popote pale!!

Tuna viumbe wa ajabu sana nchi hii! Yaani viumbe vinavyohangaika na legacy ya mtu badala ya kuhangaika na maslahi mapana ya taifa.

Yaani tangu nianze kufuatilia siasa za nchi hii sijawahi kuona kundi la wanaopigania legacy ya kiongozi yeyote kama wanavyofanya Wafuasi wa Magu...

Akina Nyerere wamefanya mambo mengi sana nchi hii lakini huwezi kusikia huu upumbavu wa hawa viumbe ambao leo wanataka kutuaminisha kama sio JPM nchi hii ingekuwa taabu tupu..

Yaani ingekuwa hamna barabara, hamna maji, hamna madaraja, hamna vyuo... VERY STUPID!!
 
Toa ujinga wako ata mtoto mdogo hawezi fikiria kama unavyofanya wewe,leo hii tumechezeshwa artificial electric shorteg ili kutengeneza mazingiria ya kuleta hiyo mitambo,

ebu imagine huo mtambo kutoa oder ya kutengenezewa na hadi kusafirishwa na mpaka kuingia tanzania ni mda gani unaohitajika.lakini wao wamefanya ndani ya mwezi mmoja means kwamba mkakati huu umepangwa tokea kipindi kile makamba anakabidhiwa wizara.

JPM alivyosema wanakata umeme ili muuziwe majenereta sio haya majenereta yanayopatikana kariakoo .ni majenereta type ya mitambo kama yakina symbion ,na haya ya leo.

Ngosha, hata haiitaji akili nyingi kufahamu kuwa kuna shida ya mvua na maji. Hizo nadharia mnazounda nimeanza kusikia miaka na miaka!

Eti' wauze majenereta!😂

Nani ananunua jenereta kule Nyakabindi au Dutwa?
 
Hilo bwawa la mwalimu nyerere limekwamia hapo asilimia 70 na itakua hivyo kwa miaka mingine mitano.

Kwasababu kipaumbele cha awamu hii ni gesi.
Gesi ya Matumbo na Twa-fa Gas!
 
Toa ujinga wako ata mtoto mdogo hawezi fikiria kama unavyofanya wewe,leo hii tumechezeshwa artificial electric shorteg ili kutengeneza mazingiria ya kuleta hiyo mitambo,

ebu imagine huo mtambo kutoa oder ya kutengenezewa na hadi kusafirishwa na mpaka kuingia tanzania ni mda gani unaohitajika.lakini wao wamefanya ndani ya mwezi mmoja means kwamba mkakati huu umepangwa tokea kipindi kile makamba anakabidhiwa wizara.

JPM alivyosema wanakata umeme ili muuziwe majenereta sio haya majenereta yanayopatikana kariakoo .ni majenereta type ya mitambo kama yakina symbion ,na haya ya leo.
Ahsante kwa kuunyoosha "UKWELI"
 
Tulia Tulia sindano ikuingie nasema tulia sindano ikuingie. Achen watu wale kwa urefu wa kamba msilete kelele za Wakati wa Magu na viswaswadi vyako
Mam-bwa ni wengi wapenda miz-oga na mizigo kwa Taifa letu.

Sawa Shemeji nisalimie Kaka yetu Mak-amber na watoto wenu!
 
Back
Top Bottom