Uchaguzi ndani ya CCM: Je, January na Nape watakatiza mbele ya Wajumbe wenye hasira?

Mkongwe Mzoefu

JF-Expert Member
Aug 10, 2018
842
2,467
Hakika kuna za chini ya kapeti kuwa wajumbe wengi wanakasirishwa na utendaji na tabia za hawa vijana wa Samia wanaowania nafasi zile 15 za kapu ndani ya Halmashauri Kuu na wameahidi kuwafundisha adabu ya utumishi ni kuheshimu walio chini.

Kuna habari pia kuwa Mama Mwenyekiti anawataka hao vijana wake by hook and crook na kuwa lazima waingie katika Halmashauri Kuu Wajumbe watake wasitake.

Kwanini Mwenyekiti anakomaa hao vijana wapite? Je, ni kwa maslahi ya chama au naye kapewa maelekezo kutoka nguvu isiyoonekana kwa macho?
 
Rianuja na Pena ni vijana watiifu wa makamu mwenyekiti Nanaki, umesahau goli la mkono na wizi wa kura zetu kwa kucheza na data.
 
Hakika kuna za chini ya kapeti kuwa wajumbe wengi wanakasirishwa na utendaji na tabia za hawa vijana wa Samia wanaowania nafasi zile 15 za kapu ndani ya Halmashauri Kuu na wameahidi kuwafundishi adabu ya utumishi ni kuheshimu walio chini.

Kuna habari pia kuwa Mama Mwenyekiti anawataka hao vijana wake by hooks and cooks na kuwa lazima waingie katika Halmashauri Kuu Wajumbe watake wasitake.

Kwa nini Mwenyekiti anakomaa hao vijana wapite? Je, ni kwa maslahi ya chama au naye kapewa maelekezo kutoka nguvu isiyoonekana kwa macho?
WATAPITA BILA KUPINGWA RUSHWA ITAFANYA KAZI YAKE
mwananchi_official_1669443731679119.jpg
 
Duh hii kali!

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hakika kuna za chini ya kapeti kuwa wajumbe wengi wanakasirishwa na utendaji na tabia za hawa vijana wa Samia wanaowania nafasi zile 15 za kapu ndani ya Halmashauri Kuu na wameahidi kuwafundisha adabu ya utumishi ni kuheshimu walio chini.

Kuna habari pia kuwa Mama Mwenyekiti anawataka hao vijana wake by hook and crook na kuwa lazima waingie katika Halmashauri Kuu Wajumbe watake wasitake.

Kwanini Mwenyekiti anakomaa hao vijana wapite? Je, ni kwa maslahi ya chama au naye kapewa maelekezo kutoka nguvu isiyoonekana kwa macho?
Acha uongo wako hapa wewe, Inaonyesha unawahofia hao kwa kuwa umeshaona nguvu yao ya ushawishi kwa wajumbe na kukubalika kwao ndio maana unaleta ngonjera zako hapa.Acha kumchafua mh Rais wetu mpendwa kwa maneno ya uchonganishi na uongo uongo hapa.

Wewe nenda kapambane kuomba kula kwa wajumbe huko na siyo kuja hapa kuwachafua watu baada ya kuona rekodi zao kiutumishi na kiutendaji ndani ya chama na serikali zinawabeba Sana na kuuzika kwa wajumbe.

Kwani Nani asiyefahamu mchango wa mh Nape ndani ya CCM? Unakumbuka kuwa mh nape pamoja na mh Kinana walizunguka nchi yote kurudisha CCM kwa wanachama? Unakumbuka mh nape na Kinana akiwa katibu mkuu wetu Ndio waliongoza Vita ya kupambana na mafisadi almaarufu Kama kujivua magamba? Ulikuwepo wakati huo wakilala maporini? Au unafikiri nape kajizoa zoa tu kufika hapo alipofika? Au hujuwi mh Nape akiwa katika nafasi ya uenezi ndio alianza kufanya kazi ya kukijenga chama mashinani?

Vipi kuhusu mh January Makamba,je hufahamu mchango wake ndani ya chama? Unafahamu kazi kubwa ya kikampeni za kisasa alizoongooza uchaguzi wa 2015? Au wewe ulikuwa unaangalia tu bila kujuwa waratibu Ni akina nani?

Unafahamu Hawa ndio waliunda kombinesheni ya mashambulizi ya kihoja dhidi ya wapinzani? Unafahamu vijana Hawa pamoja na mh Mwigulu lameck Nchemba ndio walikuwa Askari wa mstari wa Mbele katika mapambano ya kuipigania CCM?

Acha uoga na kuanza kuwachafua hapa jukwaani maana haitakusaidia kitu chochote kile hapa,Nenda kwa wajumbe kaombe Kura kulingana na mchango wako ndani ya chama inayoonyesha utumishi wako na Alama zako zilizobakia na kukumbukwa Kama ambavyo Hawa viongozi wetu waliacha Alama njema za kiutumishi na kiutendaji kwa Chama chetu
 
1.Nyerere alikuwa na vijana wake watiifu.
2.Mwinyi akawa na vijana wake watiifu kwake.
3.Mkapa alikuwa na vijana wake watiifu vilevile.
4.Jk akaja na vijana wake watiifu Sana kwake.
5.Jpm akaleta vijana wake watiifu kwake.
6.Mwacheni apange vijana wake watakaomsaidia kula na kuwanyonya watanzania wajinga.

CCM hoyeeeeee
 
Acha uongo wako hapa wewe, Inaonyesha unawahofia hao kwa kuwa umeshaona nguvu yao ya ushawishi kwa wajumbe na kukubalika kwao ndio maana unaleta ngonjera zako hapa.Acha kumchafua mh Rais wetu mpendwa kwa maneno ya uchonganishi na uongo uongo hapa.

Wewe nenda kapambane kuomba kula kwa wajumbe huko na siyo kuja hapa kuwachafua watu baada ya kuona rekodi zao kiutumishi na kiutendaji ndani ya chama na serikali zinawabeba Sana na kuuzika kwa wajumbe.

Kwani Nani asiyefahamu mchango wa mh Nape ndani ya CCM? Unakumbuka kuwa mh nape pamoja na mh Kinana walizunguka nchi yote kurudisha CCM kwa wanachama? Unakumbuka mh nape na Kinana akiwa katibu mkuu wetu Ndio waliongoza Vita ya kupambana na mafisadi almaarufu Kama kujivua magamba? Ulikuwepo wakati huo wakilala maporini? Au unafikiri nape kajizoa zoa tu kufika hapo alipofika? Au hujuwi mh Nape akiwa katika nafasi ya uenezi ndio alianza kufanya kazi ya kukijenga chama mashinani?

Vipi kuhusu mh January Makamba,je hufahamu mchango wake ndani ya chama? Unafahamu kazi kubwa ya kikampeni za kisasa alizoongooza uchaguzi wa 2015? Au wewe ulikuwa unaangalia tu bila kujuwa waratibu Ni akina nani?

Unafahamu Hawa ndio waliunda kombinesheni ya mashambulizi ya kihoja dhidi ya wapinzani? Unafahamu vijana Hawa pamoja na mh Mwigulu lameck Nchemba ndio walikuwa Askari wa mstari wa Mbele katika mapambano ya kuipigania CCM?

Acha uoga na kuanza kuwachafua hapa jukwaani maana haitakusaidia kitu chochote kile hapa,Nenda kwa wajumbe kaombe Kura kulingana na mchango wako ndani ya chama inayoonyesha utumishi wako na Alama zako zilizobakia na kukumbukwa Kama ambavyo Hawa viongozi wetu waliacha Alama njema za kiutumishi na kiutendaji kwa Chama chetu
More than 13 hours umeandika huu utopolo wako humu kama vile kuitetea ccm lakini hakuna hata mwana CCM hata mmoja aliye support ulicho andika.
Unaelewa maana yake nini? Hao uliowapigania HAWAKUBALIKI, mind you huu ni uchaguzi wenu wa ndani kama ni wizi mnaibiana wenyewe kama wachawi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
More than 13 hours umeandika huu utopolo wako humu kama vile kuitetea ccm lakini hakuna hata mwana CCM hata mmoja aliye support ulicho andika.
Unaelewa maana yake nini? Hao uliowapigania HAWAKUBALIKI, mind you huu ni uchaguzi wenu wa ndani kama ni wizi mnaibiana wenyewe kama wachawi

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kwani Ni wapi tunapiga Kura hapa
 
Hakika kuna za chini ya kapeti kuwa wajumbe wengi wanakasirishwa na utendaji na tabia za hawa vijana wa Samia wanaowania nafasi zile 15 za kapu ndani ya Halmashauri Kuu na wameahidi kuwafundisha adabu ya utumishi ni kuheshimu walio chini.

Kuna habari pia kuwa Mama Mwenyekiti anawataka hao vijana wake by hook and crook na kuwa lazima waingie katika Halmashauri Kuu Wajumbe watake wasitake.

Kwanini Mwenyekiti anakomaa hao vijana wapite? Je, ni kwa maslahi ya chama au naye kapewa maelekezo kutoka nguvu isiyoonekana kwa macho?
Mbele ya rushwa, hakuna kinachoshindikana
 
Sasa wajumbe wa ccm lini walishawahi kuwa na hasira zaidi ya njaa.. We si unaona uvccm imekuwa Shura ya maimamu
 
Back
Top Bottom