Spika wa Bunge, Dkt. Tulia anasimama mbele ya hadhara na kuwaambia wananchi waliomchangua kuingia bungeni waache majungu sasa tunajiuliza kiburi hiki na ulevi huu wa madaraka anautoa wapi Tulia...
Habari wana jf.
Kamtizamo tu binafsi, inaonekana kwa namna hizi mvua zinavonyesha 2023 inaezakuwa na kaneema kidogo hasa kwenye kilimo, watu wakalima na Wakavuna sana tu japo bei ya Chakula...
Niona vita kali kati ya Hamisi Kigwangalla Mbunge na ndugu yangu Ta Balille,
Chanzo cha vita ni RIPOTI aliyoitoa Balile na wenzake mbele ya Makamu wa Rais siku za hivi karibuni.
Za chini chini...
Ndiyo ukweli halisi huo kuitoa ccm kwenye Uongozi wa nchi msifikirie na wala msiwaze hata kidogo kama nyie wenyewe hata kujiongoza hamuwezi na tunajikuta wanaharakati wa mitandao kwahiyo ndugu...
Kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoiiiiii.
Tulilia sana, Tuliomba sana kwa Mungu juu ya kuitwa majina mengi ya ajabu ajabu na vijana waliojiita wazalendo.
Tulibezwa...
Hiki Chama kitakuwa na lengo kubwa la kuleta mapinduzi ya nchi hususani kwenye kuleta mikakati ya job creation, democracy and youth leadership opportunities maana nafasi zote hizi wamemkalia...
TRC wamesema SGR yetu imejengwa kwa kutumia Fedha kidogo ukilinganisha na SGR zote barani Africa kwa sababu iliwatumia Wahandisi Wazalendo kufanya Upembuzi yakinifu wa mradi na Kazi za ushauri...
Mahakama Kuu nchini imesema kuwa wafungwa wa makosa ya kawaida ya jinai wana haki ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu.
Mahakama hiyo imetamka haki hiyo baada ya kubatilisha kifungu cha 11(1) (c)...
Tukubali tukate lakini ukweli utabaki kuwa huu kwamba tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu amefanikisha kulituliza taifa na kuhakikisha tupo salama.
Maswali ya wengi yalikuwa angewezaje...
Walimu, madaktari na watumishi wa kila kada wanajimaliza kwa pombe kali na kucheza kamali za kichina maarufu kama bonanza.
Mishahara ikitoka ni kucheza makamali tu na kunywa pombe kali...
Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Hezron Nonga amesema wamezuia vifaranga 62, 730 vya kuku wa mayai kuingia nchini baada ya kubainika kutokuwa na vibali pamoja...
Wadau Nawasalimu,
Juzi baada ya kumwona aliyekuwa SPIKA wa BUNGE aliyejiuzulu Bw.Job Ndugai akitambulishwa Bungeni nilijaribu kujiuliza
sababu kubwa ya Spika Ndugai kujiuzulu kuwa ni ile Hotuba...
Habari za saa wanachama wote natumai ni njema .
Kama kichwa cha mada kisemavyo "Mwalimu nyerere kuhusu vyama vya upinzani”.
Ningependa kuwa karibisha wadau wote kutoa maoni na michango huru...
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na chama hicho leo 14/12/2022 kwa waandishi wa Habari.
Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika amewataka waliokuwa Wagombea Ubunge wa Chama hicho, kwenye...
Mzee Mwinyi amesema hajafurahishwa na picha aliyotumia January Makamba baada ya kutumbuliwa ikiwaonyesha wanafurahi pamoja.
Amesema hamlaumu mtu ila kwanini atumie picha ile wakati wa maji...
Tangu ateuliwe kuwa RC wa mkoa wa DSM hajawahi kufanikiwa ktk jambo lolote lile
Mtangulizi wake alianzisha kampeni ya kupanda miti ya mapambo kwenye barabara zote na sehemu za njia panda...
===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,
Leo...
ZIARA YA MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KATIKA VYOMBO VYA HABARI VYA ZANZIBAR ASUBUHI HII.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumatano Julai 13, 2022...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.