Namalizia kisa cha mwisho cha visa na mikasa vya Hayati JPM.
Vikao vya CCM baada ya kumpitisha JPM kuna wana CCM waliofurahi ila wanaomjua vizuri walijua kumekucha, walijua magereza yatajaa...
Saalamu,
Siku chache zilizopita tulishuhudia mjadala makini ulioitishwa na wanahabari huku mgeni rasmi alikiwa makamo wa raisi huko mkoani Iringa.
Dhina ya mkutano ule ilikuwa ni kumpatia mh...
Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Songwe amemtia moyo mbunge wa Mbozi mh George Mwenesongole kwamba asifadhaike moyoni kwa kumpoteza Kampeni Meneja wake ambaye pia ni baba yake mzazi marehemu Askofu...
Mlisema Royal Tour itatunyanyua kiuchumi na kuleta watalii lukuki na hivyo pato la taifa kunyanyuka.
Sasa kama Royal Tour ilikuwa muarobaini wa kulipatia taifa letu mapato sasa hizi tozo...
Na Yahya Charahani
HEBU niwaulizeni wavuja jasho wenzangu na wale waishiwa ambao mnajiita waheshimiwa au waungwana kunradhi; Hivi tunakwenda wapi jamani?
Naombeni mnipe majibu ya hilo...
HUWEZI MFANANISHA NYERERE NA MAGUFULI HATA KIDOGO.
[emoji117] Nyerere alijenga mabwawa ya kufua umeme Kidatu, Kihansi, Nyumba ya Mungu, Hale
[emoji117] Nyerere alinunua ndege na ATC ikafanya...
Ndugu zangu ,
Katika Taifa lolote lile Vijana wakiwa na Matumaini Katika mioyo Yao ndio Amani ya Taifa,Ndio utulivu wa Taifa,Ndio ustawi wa Taifa,Ndio upendo waTaifa.Hakuna utulivu ,amani...
Wakuu heshima kwenu!
Bila kuwa chosha ninaomba kujua Msemaji Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani wa Bunge letu la sasa. Nina barua ambayo inapaswa kumfikia.
Ninaomba msaada wa kumfahamu niweze...
Nimeingia kwenye tovuti ya TRC nimekutana na mpango kazi wa ujenzi wa mtandao wa reli ya kisasa ukiwa na awamu 5. Katika awamu zote hizo hakuna maelezo/ratiba yoyote ya ujenzi wa SGR ya kutoka...
Tuchague watu wenye maadili mema katika jamii. Huyu mtu anautafuta uzee lakini anafanya mambo ya mtoto wa darasa la 3. Vipi alipokuwa chini ya umri wa sasa akili yake ilikuwaje?
Huyu jamaa...
Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kimesajili jumla ya miradi 132 yenye thamani ya dola za Marekani 3.16 bilioni (takribani Sh7 trilioni) katika kipindi cha Julai hadi Novemba 2022.
Tunaomba hii...
Rais wa Kenya, William Ruto amekutana na viongozi wakuu wa shirika la ndege la kimarekani la Delta katika mpango wa kuwauzia hisa zote 48.9% zinazomilikiwa na Serikali ya Kenya kwenye shirika...
Ni jambo la hatari, la hovyo na usaliti mkubwa dhidi ya Watanzania, pale kiongozi anapopuuza, anapodharau au kutozingatia matakwa na maamuzi ya umma.
Tume ya Katiba ya Jaji Warioba, ilikuwa ni...
Shetani ndiye mjaribu mkuu ambaye akiisha tujaribu mrejesho humrudia Mungu wa mbinguni
Sisi Wakristo huwa tunaomba kila siku tukisema " ...Usitutie Majaribuni/ Kishawishini lakini utuokoe na yule...
Ukweli utabaki hivyo,tuna tatizo kubwa kwenye vipaumbele vya taifa,hatujui nini tunataka na wakati gani tunahitaji hicho tunachokitaka.
Madhara yake ni nchi kuendesha kama biashara ya daladala...
Nyakati kama hizi tulizoea kuona salaam za Heri ya Krismas na Mwaka Mpya hapa JF kutoka kwa Viongozi mashuhuri wa Kisiasa, mwaka huu nasoma salamu za CCM tu sijajua tatizo ni nini?
Hata hivyo...
Mood usiufute uzi huu huku please!
Leo tuache siasa kidogo tuyajenge.
Bila sheria madhubuti, imara na nyumbulishi kizazi chetu kitakufa njaa, mazingira yataharibika sana na kila sehemu itakuwa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.