RC Amos Makalla hawezi hata kutoa hotuba!

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Tangu ateuliwe kuwa RC wa mkoa wa DSM hajawahi kufanikiwa ktk jambo lolote lile

Mtangulizi wake alianzisha kampeni ya kupanda miti ya mapambo kwenye barabara zote na sehemu za njia panda (roundabouts) zilipambika kweli kweli. Lkn Amos Makalla amefika miti yote imekauka.

Amos Makalla aliazisha kampeni ya usafi wa jijini akaipa jina kabisa. Akateua mpk mabalozi wa usafi .Kampeni hii imekufa kifo cha mende.

Kichekesho kikubwa ni pale alipofanya maamuzi ya kukurupuka ya kukataza mabasi ya mikoani kushusha abiria kwenye stendi binafsi. Wenye mabasi wakamgomea.

Hebu sasa soma sehemu ya hotuba yake ya leo wakati akitoa salaam kama mkuu wa mkoa mwenyeji wa shughuli ya utiaji saini mradi wa SGR (Tabora -Kigoma) leo 20 December, 2022.
"Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla anazungumza:
Hali ya usalama ni shwari, nashukuru kwa Shilingi Bilioni 12.3 ulizotupa za kujenga madarasa 618, nikuhakikishe hakuna mtoto ambaye hatakwenda shule

Dar ndio Jiji la kibiashara, sisi ni wanufaika wa kwanza wa mradi wa SGR, hivi karibuni ulinipa fursa ya Kwenda kuifunza mambo ya usafi Rwanda, wanakushukuru kwa kufungua biashara.

Unayoyafanya yameandikwa kwenye ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi, chama cha siasa kazi yake ni kushika dola, unayoyafanya unatekeleza kile kilichopo kwenye ilani.

Ukishaona mtu mzima anacheza michezo ya kitoto kwa mfano ‘hide and see’ au kujipikilisha ujue mambo sio mazuri, juzi tumesikia wenzetu wanachagua Bunge la Mtandao, linaitwa Bunge na lina Spika, sasa hapo tunaona kabisa wanacheza mchezo wa hide and see, wamechanganyikiwa, hii ni kutokana na kazi nzuri unayofanya".

Hotuba hii imekaa kitoto Sana. Haina focus, anapuyanga huku kisha anahamie kule.

Hivi huyu RC wa hovyo kiasi hiki anabebwa na nani hadi kuwekwa kwenye huu mkoa ambao ndiyo uso wa nchi??
 
Amos Makalla ni mtoto wa mjini. Kaingia mjini kipindi Magufuli anaingia chooni peku huko Chato. Narudia Papaa Amos Makalla ni mtoto wa mjini na ameingia kwenye highest Echelons za CCM kipindi ambacho hujaanza hata kutembea mwenyewe.
 
Utoto wa mjini ni kuimba boringo? Uwezo wako mdogo sana kwa hiyo kutangulia kuja Dar ndo nini? Kuna watu kibao wanakuja Dar baada ya miaka wametoboa wewe uliyezaliwa pale unabakiza kiswahili kingi tu!
 
Wewe ni mjinga digidigi Mkubwa, watu wanaandika hoja we unaleta habari za shamba na mjinin!

Umjini wake unatusaidia nini sisi..?

Pimbi kabisa wewe, ni bora hata huyo wa kijijini na mshamba mchato, huyo wa mjini anaongelea kitu ya mtu wa shamba SGR, je kipi cha mtu wa mjini tujivunie?

Wabongo, ni lini matapta akili? Ndiyo maana hata familia zenu zimewashinda kuziongoza, wanaume wa dar wapumbavu sana
 
Tatizo viongozi wa kisiasa hapa bongolala wana uchawa mwingi, yaani kuongeaongea lolote linalokuja kichwani ndo hotuba? au ukiongea hili na lile ndo utaambulia mawili matatu ya kumfurahisha mkubwa.........basi waamue tu kuwa comedians tujue moja.
 
Eti watoto wa mjini mnakaa mabandani huko temeke na buguruni!
Hawa watu ni wajinga sana!
Kukatisha Lami hapo manzese ndo kunakusaidia nini kama bado maisha yako ya kuunga unga!
Hawa wabongo ndo tunatarajia kubadirisha nchi tusubiri miaka 800!
Wabakie kushabikia Simba na Yanga!
Wewe ni mjinga digidigi Mkubwa, watu wanaandika hoja we unaleta habari za shamba na mjinin!

Umjini wake unatusaidia nini sisi..?

Pimbi kabisa wewe, ni bora hata huyo wa kijijini na mshamba mchato, huyo wa mjini anaongelea kitu ya mtu wa shamba SGR, je kipi cha mtu wa mjini tujivunie?

Wabongo, ni lini matapta akili? Ndiyo maana hata familia zenu zimewashinda kuziongoza, wanaume wa dar wapumbavu sana
[/QUOTE
 
Mnapondaga watu bila kuwaelewa sometimes....
Lusungo sometimes anaongea Kwa codes
 
Utoto wa mjini ni kuimba boringo? Uwezo wako mdogo sana kwa hiyo kutangulia kuja Dar ndo nini? Kuna watu kibao wanakuja Dar baada ya miaka wametoboa wewe uliyezaliwa pale unabakiza kiswahili kingi tu!
Roho imekuuma? Unajuaje nimetoboa au la? Fahamu kuzaliwa tu mjini tayari una digrii...

Makalla kaingia CCM na kuanza harakati za kusaka ikulu chini ya wanamtandao hado kuwa mwekahazina wa CCM kipindi ambacho wewe ulikua bado unachambia vikopo vya kutu huko Chato.
 
Akili kisoda kabisa!
Hapo unapopaita mjini si ndo kitakwimu panaongoza kwa matukio ya vifo, kwahiyo wanaokufa kilasiku happ Dar ni washamba pekee!!!??? Hicho kichwa bora kingetumika kuhifadhia samadi.
Anafurahia kifo cha JPM na kunauwezekanao hata wazazi wake pia walishafariki au mmoja wapi alishafariki
Amesahau kuwa hata kama JPM hayupo bila familia yake ina mafanikio tele na wala hawana showoff za hao wanaodai watoto wa mjini!
Umasikini wa familia zao uko pale pale mama Janet na watoto wake wanakula maisha ambayo yeye na vikaragozi vyake hatakaa aishi!
 
Back
Top Bottom