johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,978
- 141,994
TRC wamesema SGR yetu imejengwa kwa kutumia Fedha kidogo ukilinganisha na SGR zote barani Africa kwa sababu iliwatumia Wahandisi Wazalendo kufanya Upembuzi yakinifu wa mradi na Kazi za ushauri
Endapo tungetumia washauri wa Contractor kama ifanyikavyo kwenye Miradi mikubwa basi gharama za Ujenzi wa SGR hii ingekuwa kubwa sana, amesema Masanja Kadogosa
Ubunifu wetu umetufanya tuokoe Fedha nyingi za Kigeni, amesisitiza
Ikumbukwe pia SGR yetu ndio Bora ukilinganisha na hizo za nchi nyingine zinazotajwa tajwa kwenye mitandao ya Kijamii
Chanzo: ITV