Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Matajiri na wanasiasa wanataka uraia pacha utakao wafaidisha wao na watoto wao tu. Toka uhuru, wao ndiyo wenye uwezo wa kupata passport na kwenda nje kwa urahisi. Watoto wa masikini wamejazwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Huduma ya afya ni haki ya msingi kwa kila mtanzania. Ni wajibu wa serikali kuweka utaratibu wa kuwezesha kila mtanzania anapata haki hii ya msingi. The Healthcare must be easily accessible and...
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Nimesikia hahari ya upungufu mkubwa wa madarasa kwa wanafunzi tarajiwa kidato cha kwanza inchi nzima. Nafasi ya shule za binafsi kuipunguzia mzigo serikali kubeba sehemu ya idadi ya wanafunzi...
0 Reactions
3 Replies
557 Views
Hii ni kumi bora yangu ya vyama vilivyofanya vizuri kisiasa kwa mwaka 2022 hapa Tanzania. 1. Chama Cha Mapinduzi (CCM) 2. ACT Wazalendo. 3. Tanzania Labor Party (TLP) 4. Civic United Front (CUF)...
1 Reactions
41 Replies
3K Views
ZOEZI la ugawaji wa mahindi ya msaada limeonekana kulalamikiwa sana na wananchi wengi hasa wa vijiji walilaumu mfumo wa kuyafuata mahindi hayo ama makao makuu ya wilaya au makao makuu ya Kata na...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Tunapoelekea kufunga mwaka 2022, ubalozi wa Tanzania China unatoa shukrani za dhati kwa wadau mbalimbali kwa ushirikiano wao uliowezesha utekelezaji wa Majukumu ya Ubalozi. Katika Mwaka 2022 mambo...
0 Reactions
0 Replies
380 Views
Toka mzee wetu azaliwe na kubahatika kumpata mke wa kwanza wa kumtunza Februari 5, 1977 na kuwa mama wa Watanzania wote bara na visiwani kwa miaka mingi, hatimaye mwaka 1992, mzee kwa kushirikiana...
1 Reactions
4 Replies
729 Views
Msemaji wa ACT Wazalendo Bi Dorothy Semu amesema 2022 hali ya maisha imekuwa ngumu lakini ugumu huu utaongezeka zaidi na zaidi mwaka 2023. Dorothy ameitaka serikali kuja na Mpango mkakati wa...
0 Reactions
8 Replies
817 Views
Wakati kikosi kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kikipendekeza ukomo wa muda wa ubunge wa Viti Maalumu, Mbunge wa zamani wa nafasi hiyo, Sophia Simba ameeleza ugumu wa utekelezwaji wa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Miongoni mwa mambo yaliyowahi kuniumiza kwenye hizi Siasa zetu ni pamoja na kitendo cha Spika Job kumvua Ubunge mh Tundu Antipas Lisu huku akijua Kabisa TAL ni mgonjwa na alipigwa Risasi akitoka...
19 Reactions
36 Replies
2K Views
Sote ni mashahidi wa Juhudi Kubwa unazoendelea kuzifanya kuboresha Elimu yetu ikiwemo suala la kuboresha miundombinu ya Shule, Maabara na vitendea kazi. Hivi karibu Serikali imetoa Fedha kwaajili...
1 Reactions
0 Replies
860 Views
Rais aliamua kuwa sehemu ya watu wasiopenda kulipa kodi na ndiyo baadhi yao wanafadhili mitandao ya kijamii kwa kumsifia kuwa anaupiga mwingi. Wakati sasa umefika anajionea yeye mwenyewe ameweka...
21 Reactions
181 Replies
13K Views
Hongera Rais , kwa kuamua kulipa haki zao stahiki Mungu akubaliki sana . Katika hotuba yake leo amesema watumishi wa darasa la na vyeti feki walikuwa wakichangia mifuko ya hifadhi ya jamii hivyo...
20 Reactions
553 Replies
89K Views
Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA Mhandisi Clement KIVEGALO ameowaomba radhi wananchi wa vijiji vya Igando na Kijombe wilayani Wanging’ombe kufuatia kucheleweshwa kwa mradi wa maji waliousubiri kwa muda...
1 Reactions
4 Replies
991 Views
Hivi serikali kwa kimya chetu mnadhani mmetushawishi? Hivi hata haya siyo ujanja ujanja wenu usio kubalika? 1. Malipo ya shule vyuo vikuu tunakolipa kupitia loan board 100% + interest. Kwa maana...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Hotuba ya Waziri Mkuu Kivuli juu ya miezi 10 ya Kamati ya kuisimamia Serikali ya ACT Wazalendo; Mwaka wa misukosuko; chungu kwa wanyonge, raha kwa vibonge. 1. Utangulizi Mnaelewa kuwa tupo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna mdau wangu anafanya kazi KIA kitengo fulani, amenitonya kwamba ile ndege ni kweli ilishusha mizigo mingi sana ya Mwarabu yakiwemo Magari na vitu vingine, Ila Pia kuna Mabox yalipakiwa na...
8 Reactions
61 Replies
5K Views
NUKUU MUHIMU YA JANUARY MAKAMBA KWA WATANZANIA Mh Rais kazi hii uliyotupa ya kusimamia mradi huu na sekta nzima ya nishati sisi tunaimudu, tunaiweza mipango tunayo mikakati tunayo namna ya...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
1. Dotto Biketo (MNEC) 2. Januari Makamba (MNEC) 3. Mwigulu Nchemba (MNEC) 4. Nape Nauye (MNEC) 5. Angelina Mabula (MNEC) 6. Ashatu Kijaji (MNEC) 7. Angela Kairuki(MNEC) 8. Hussein Bashe(MNEC) 9...
0 Reactions
4 Replies
671 Views
Kitendo cha Televisheni ya Kimataifa ya CGTN Africa kuacha kumpa nafasi Waziri Januari Makamba kwenye ripoti yao kuhusu Bwawa la Nyerere ina maana gani? Pascal Mayalla hii kitaalam mnaitaje...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom