Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu Ni wachache wenye kuona na kutambua kazi kubwa inayofanywa na hivi vyombo vyetu katika kuilinda na kuipigania nchi yetu usiku na mchana na hatimaye kufanya watanzania tuishi kwa amani...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Mtihani kwa mwanadamu ni kawaida sana hapa duniani. Kwa upande wa wanachama wa Chadema mwaka huu tunao umaliza tuligubikwa na majonzi makuu. Kiongozi wetu mkuu wa chama mh Mbowe alisota sana...
5 Reactions
16 Replies
646 Views
KUTOKANA na Hali mbaya ya uchumi, pamoja na serikali kumiliki deni la Taifa la Trilion 91, Serikali imemshinda kuwalipa Posho za madaraka ya walimu wakuu,wakuu washule,vyuo,na maafisa elimu kata...
18 Reactions
107 Replies
8K Views
Dk Tulia anapata wapi kiburi cha kuwaambia wapiga kura wake Mbeya waache Majungu ===== SPIKA wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Dk Tulia Ackson amewataka wananchi kuacha tabia za...
1 Reactions
8 Replies
951 Views
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia anasimama mbele ya hadhara na kuwaambia wananchi waliomchangua kuingia bungeni waache majungu sasa tunajiuliza kiburi hiki na ulevi huu wa madaraka anautoa wapi Tulia...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wana jf. Kamtizamo tu binafsi, inaonekana kwa namna hizi mvua zinavonyesha 2023 inaezakuwa na kaneema kidogo hasa kwenye kilimo, watu wakalima na Wakavuna sana tu japo bei ya Chakula...
3 Reactions
7 Replies
633 Views
Niona vita kali kati ya Hamisi Kigwangalla Mbunge na ndugu yangu Ta Balille, Chanzo cha vita ni RIPOTI aliyoitoa Balile na wenzake mbele ya Makamu wa Rais siku za hivi karibuni. Za chini chini...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndiyo ukweli halisi huo kuitoa ccm kwenye Uongozi wa nchi msifikirie na wala msiwaze hata kidogo kama nyie wenyewe hata kujiongoza hamuwezi na tunajikuta wanaharakati wa mitandao kwahiyo ndugu...
7 Reactions
59 Replies
4K Views
Kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoiiiiii. Tulilia sana, Tuliomba sana kwa Mungu juu ya kuitwa majina mengi ya ajabu ajabu na vijana waliojiita wazalendo. Tulibezwa...
22 Reactions
148 Replies
7K Views
Hiki Chama kitakuwa na lengo kubwa la kuleta mapinduzi ya nchi hususani kwenye kuleta mikakati ya job creation, democracy and youth leadership opportunities maana nafasi zote hizi wamemkalia...
12 Reactions
43 Replies
2K Views
TRC wamesema SGR yetu imejengwa kwa kutumia Fedha kidogo ukilinganisha na SGR zote barani Africa kwa sababu iliwatumia Wahandisi Wazalendo kufanya Upembuzi yakinifu wa mradi na Kazi za ushauri...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Mahakama Kuu nchini imesema kuwa wafungwa wa makosa ya kawaida ya jinai wana haki ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu. Mahakama hiyo imetamka haki hiyo baada ya kubatilisha kifungu cha 11(1) (c)...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Tukubali tukate lakini ukweli utabaki kuwa huu kwamba tangu aingie madarakani Rais Samia Suluhu amefanikisha kulituliza taifa na kuhakikisha tupo salama. Maswali ya wengi yalikuwa angewezaje...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Walimu, madaktari na watumishi wa kila kada wanajimaliza kwa pombe kali na kucheza kamali za kichina maarufu kama bonanza. Mishahara ikitoka ni kucheza makamali tu na kunywa pombe kali...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Ni taarifa inayoonesha kwamba hatutaendelea. Tuna kundi la watu wa hovyo, lakini wanaitwa ni powerful! Kwa maoni yako endelea;
14 Reactions
267 Replies
27K Views
Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Hezron Nonga amesema wamezuia vifaranga 62, 730 vya kuku wa mayai kuingia nchini baada ya kubainika kutokuwa na vibali pamoja...
0 Reactions
83 Replies
10K Views
Wadau Nawasalimu, Juzi baada ya kumwona aliyekuwa SPIKA wa BUNGE aliyejiuzulu Bw.Job Ndugai akitambulishwa Bungeni nilijaribu kujiuliza sababu kubwa ya Spika Ndugai kujiuzulu kuwa ni ile Hotuba...
3 Reactions
61 Replies
4K Views
Habari za saa wanachama wote natumai ni njema . Kama kichwa cha mada kisemavyo "Mwalimu nyerere kuhusu vyama vya upinzani”. Ningependa kuwa karibisha wadau wote kutoa maoni na michango huru...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na chama hicho leo 14/12/2022 kwa waandishi wa Habari. Katibu Mkuu wa Chama hicho John Mnyika amewataka waliokuwa Wagombea Ubunge wa Chama hicho, kwenye...
30 Reactions
114 Replies
7K Views
Mzee Mwinyi amesema hajafurahishwa na picha aliyotumia January Makamba baada ya kutumbuliwa ikiwaonyesha wanafurahi pamoja. Amesema hamlaumu mtu ila kwanini atumie picha ile wakati wa maji...
23 Reactions
322 Replies
40K Views
Back
Top Bottom