Wapi mvua haijaisha hapa Tanzania hadi sasa

Upekuzi101

Senior Member
Aug 28, 2020
134
348
Habari wana jf.
Kamtizamo tu binafsi, inaonekana kwa namna hizi mvua zinavonyesha 2023 inaezakuwa na kaneema kidogo hasa kwenye kilimo, watu wakalima na Wakavuna sana tu japo bei ya Chakula ishuke kidogo.
 
Mbeya leo imepiga balaa ...leo Jana ni full kipupwe
 
Watu waingie shambani wakalime siyo kutegemea mkulima aingie gharama ya kulima then muanze kelele gharama ya chakula ishushwe!!

Soko liendelee kuwa huru, mtu alime mazao yake atafute soko popote!! Ukima hakikisha unaweka store kiasi cha kukutosha na familia yako!!

Narudia mvua zinanyesha beba jembe nenda shamba, wale lialia endeleeni kuoshwa miguu na kucha msubirie vya bure hakuna

Mh Samia na Bashe kamatieni hapo hapo kila awajibike kwa maisha yake!!
 
Back
Top Bottom