Mood usiufute uzi huu huku please!
Leo tuache siasa kidogo tuyajenge.
Bila sheria madhubuti, imara na nyumbulishi kizazi chetu kitakufa njaa, mazingira yataharibika sana na kila sehemu itakuwa ni...
CCM ni chama kikubwa hivyo namuomba Mungu wa mbinguni 2023 akipe uvumilivu wa kujibu Hoja zenye kuleta matumaini
CCM ndio Serikali hivyo tuwe tunawapa Elimu ya Siasa Wapinzani badala ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tukio la kushuhudia ufungaji wa lango la handaki mchepuko (diversion tunnel) ili kuruhusu maji...
Heri ya kumbukumbu njema ya Uhuru wa Tanganyika na baadae Tanganyika iliungana na Zanzibar mnamo mwaka 1964 na kuzaliwa Tanzania,Bendera ya Tanganyika ilivyoanza kupepea mwaka 1961 tulishuhudia...
Wakati sisi tumenunua 'midosho' ya reli ya kisasa (SGR) ,cheki treni waliyozindua wachina.
Ni Kama wanasema "Wakati mmenunua 'midosho' kwa Bei ya kupigwa kwa nini msingetuambia tuwauzie zetu Kali...
Kumekuwa na michango mbalimbali ya vijana kushangaa ilikuaje Mwl. Nyerere alimwamini Balozi Dr. Agustine Mahiga kuwa Director wa TISS akiwa na miaka 35 tu. Ikumbukwe, kwa mujibu wa wasifu wake...
Kuna hiki kinachoitwa ungamo. Kwamba mtuhumiwa wa wizi, ugaidi, mauaji nk; kwamba kwa hiari yake aliungama. Kutokea hapo mtu au watu wakahukumiwa kunyongwa au hata kufungwa.
Kesi hii:
Maelezo...
Nataka kulisafisha hili jiji ndani ya siku 90 tu litakuwa kama paris, !nataka niwaonyeshe watu kwamba hii dar usafi ni lazima sio hiyari na katika hili nikipata nitaanza na mbagala kisha...
Katika hotuba yake ndefu ya kumkaribisha raisi kwenye sherehe ya kujaza maji bwawa la Nyerere, waziri wa nishati alilalamika sana mbele ya raisi kwamba amekuwa akitukanwa sana kutokana na...
Ndugu wadau, mimi nilikuwa mfuatiliaji sana wa Siasa za CHADEMA lakini ninachokiona sasa ni kama hawa ndugu zangu wameshindwa Siasa kabisa.
Mtawala amewazuia kufanya mikutano ya hadhara kinyume...
Diwani wa kata ya Amburen wilaya ya Arumeru mkoani Arusha,Faraja Meliaki(CCM) anashikiliwa na jeshi la polisi katika kituo cha Usa river kwa kosa la kumpiga na kumvunja mguu mwananchi wake,Erasto...
Kwa sasa Mabadiliko ya Siasa za Dunia yanaletwa na wanawake Duniani kote, wanaume tumejikita Kwenye Siasa za ujanja ujanja.
BAWACHA, UWT na hata kundi la Halima Mdee na wenzake watakuwa Chachu ya...
Mapema baada ya kuchuguliwa Rais Wa DRC Felix Tshisheked alipata kutiliwa mashaka kuwa bi serikali gani angeiunda hii kutokana na chama chake kutopata wabunge wa kutosha ili kuunda baraza la...
Huwa narudia kusema na nitasema hadi siku nakufa, Tanzania Raia walilishwa Limbwata na kama sio Limbwata basi kuna haja ya kupima Genetic zetu, kuna mahali tuna shida make sio kwa huu Uoga.
Na...
Kuna vitu naamini vinafanyika nyakati hizi na visingengeweza fanywa Magu akiwa Rais na moja wapo ni hili la kuchepusha maji ya mtu Ruaha mkuu, kuchepusha maji ni kuhatarisha usalama wa nchi...
Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi mpango wake wa kuisuka upya Serikali yake baada ya kubaini baadhi ya watu hawaendani na kasi wanayoitaka wananchi katika kujiletea maendeleo.
Kama...
Mwendazake huku kanda ya ziwa wanamuona mungu hata ukiwaeleza ukweli.
Alitugawa sana, maskini wanatuchukia walinitamkia angekuwa mwendazake tungekuwa sawa nika muuliza "wewe unafanya kazi kwangu...
CCM ni chama kikongwe kwa vyama vya ukombozi kusini mwa jangwa la sahara na Afrika kwa ujumla. Kilipaswa kuwa mfano bora kwa vyama vingine vya siasa kutokana na kuishi kwingi na kuona mengi...
MERRY CHRISTMAS [emoji319]
Tanzania ni Nchi tuliyobarikiwa sana hasa kwenye maliasili tukianza ma mito, mabwawa, bahari, gas asilia nknk, japo kutokana na kuwa na hizo maliasili muhimu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.