Job Ndugai alijiuzulu Uspika kwa kusema nchi itapigwa mnada au kuna lingine?

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,881
Wadau Nawasalimu,

Juzi baada ya kumwona aliyekuwa SPIKA wa BUNGE aliyejiuzulu Bw.Job Ndugai akitambulishwa Bungeni nilijaribu kujiuliza
sababu kubwa ya Spika Ndugai kujiuzulu kuwa ni ile Hotuba yake ya kutahadharisha juu ya MIKOPO kuwa Nchi inaweza KUPIGWA MNADA.

Binafsi siamini kuwa kwa kusema hivyo ilikuwa ni lazima ajiuzulu, nahisi labda kuna jambo lingine alilofanya.
1649495794948.jpg
 
Wadau Nawasalimu
Juzi baada ya kumwona Aliyekuwa SPIKA wa BUNGE aliyejiuzulu Bw.Job Ndugai akitambulishwa Bungeni nilijaribu kujiuliza
Sababu kubwa ya Spika Ndugai kujiuzulu Kuwa ni ile Hotuba Yale ya Kutaadharisha juu ya MIKOPO kuwa Nchi inaweza KUPIGWA MNADA.
Binafsi siamini kuwa kwa kusema hivyo ilikuwa ni LAZIMA Ajiuzulu na hisi labda kuna JAMBO lingine alilofanya View attachment 2189654
Yapo mengi,jinsi TU alivyo watenda alioamini ni wapinzani wa awamu yake pendwa ilitosha kumhukumu
 
Alisema hivi "haya 2025 mtaamua wenyewe mkiamua kuwachagua hao wanaokopakopa mtajiju"
 
Wadau Nawasalimu
Juzi baada ya kumwona Aliyekuwa SPIKA wa BUNGE aliyejiuzulu Bw.Job Ndugai akitambulishwa Bungeni nilijaribu kujiuliza
Sababu kubwa ya Spika Ndugai kujiuzulu Kuwa ni ile Hotuba Yale ya Kutaadharisha juu ya MIKOPO kuwa Nchi inaweza KUPIGWA MNADA.
Binafsi siamini kuwa kwa kusema hivyo ilikuwa ni LAZIMA Ajiuzulu na hisi labda kuna JAMBO lingine alilofanya View attachment 2189654
Ndio lipo "jengine". Ndugai ni SUKUMA GANG! teh! teh! teh! teh!
 
Wadau Nawasalimu,

Juzi baada ya kumwona aliyekuwa SPIKA wa BUNGE aliyejiuzulu Bw.Job Ndugai akitambulishwa Bungeni nilijaribu kujiuliza
sababu kubwa ya Spika Ndugai kujiuzulu kuwa ni ile Hotuba yake ya kutahadharisha juu ya MIKOPO kuwa Nchi inaweza KUPIGWA MNADA.

Binafsi siamini kuwa kwa kusema hivyo ilikuwa ni lazima ajiuzulu, nahisi labda kuna jambo lingine alilofanya.
View attachment 2189654
Dhambi ya kumpiga Mbunge risasi na kisha kumfuta Ubunge wewe unaona ni ndogo???

Matokeo yake ndo hayo...
Jiwe ni mifupa mikavu tu sasa
Sabaya anaozea jela
Bashite anaandamwa na maluweluwe hata usingizi hapati
Ali Bashiri si lolote si chochote
Polepole anafunzwa adabu shule kwa kukalishwa na vitoto vidogo darasani
Faru Ndugai siyo Spika wala Redio
 
Labda naye ni mmoja wa wale walioamini baada ya chuma Magufuli kufariki, kulipaswa kuwa na serikali ya mpito.
 
Bora kupambana kivyako kuliko kuwa omba omba. Kuwa omba omba ni kujidhalilisha.
Ndio maana omba omba hufukuzwa mitaani.
 
Dhambi ya kumpiga Mbunge risasi na kisha kumfuta Ubunge wewe unaona ni ndogo???

Matokeo yake ndo hayo...
Jiwe ni mifupa mikavu tu sasa
Sabaya anaozea jela
Bashite anaandamwa na maluweluwe hata usingizi hapati
Ali Bashiri si lolote si chochote
Polepole anafunzwa adabu shule kwa kukalishwa na vitoto vidogo darasani
Faru Ndugai siyo Spika wala Redio
Weka kwa lugha ya kishairi, litanoga sana
 
Jiwe Alimuuliza Yule Jamaa Kule Mtwara
Wewe Ulisoma Wapi Akajibu US
Una Elimu Gani, Akajibu Masters
Kwahiyo Ndiyo Walikufundisha Huo Ujinga
 
Sentensi moja tu sasa hivi ni mstaafu.

Sasa unaweza kuona ile nyumba ilivyo na nguvu kwa hapa nyumbani.
 
Siasa ni siasa tu.Afu saivi ni kama tunaenda kwa kukomoana.ukinikomoa nakukomoa
Hakuna kukomoana,jiulize pale mfuga nyoka anapowatelekeza nyoka wake, kwenye makazi holela, popote atakapoonekana nyoka sharti kujihami bila hivyo utadhurika wewe😜
 
Wadau Nawasalimu,

Juzi baada ya kumwona aliyekuwa SPIKA wa BUNGE aliyejiuzulu Bw.Job Ndugai akitambulishwa Bungeni nilijaribu kujiuliza
sababu kubwa ya Spika Ndugai kujiuzulu kuwa ni ile Hotuba yake ya kutahadharisha juu ya MIKOPO kuwa Nchi inaweza KUPIGWA MNADA.

Binafsi siamini kuwa kwa kusema hivyo ilikuwa ni lazima ajiuzulu, nahisi labda kuna jambo lingine alilofanya.
View attachment 2189654
Hii haingii akilini kama ile hadithi ya eti Mh. Makonda aliwahi kumpiga Jaji Warioba! Mtu anawezaje kufanya kufuru ya aina hii halafu TENA apate teuzi mbili za JUU, ukuu WA wilaya halafu TENA ukuu wa mkoa? Hayupo Rais yeyote wa JMT anayeweza kufanya kosa la aina hii
 
IMG_20220413_102301_539.jpg
 
Wadau Nawasalimu,

Juzi baada ya kumwona aliyekuwa SPIKA wa BUNGE aliyejiuzulu Bw.Job Ndugai akitambulishwa Bungeni nilijaribu kujiuliza
sababu kubwa ya Spika Ndugai kujiuzulu kuwa ni ile Hotuba yake ya kutahadharisha juu ya MIKOPO kuwa Nchi inaweza KUPIGWA MNADA.

Binafsi siamini kuwa kwa kusema hivyo ilikuwa ni lazima ajiuzulu, nahisi labda kuna jambo lingine alilofanya.
View attachment 2189654
Baada ya kusema hvo inaonyesha dhahiri alitishwa.... Ndo mana akajihudhulu hili kuokoa nafsi yake kwanza

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Wadau Nawasalimu
Nimekuwa najiuliza baadhi ya Maswali Sipati majibu yake juu ya Aliyekuwa Spika Mbabe kupata kutokea Nchini Mzee Ndugai Kujiuzulu. Miongoni mwa maswali hayo ni
1. Kwanini ALIJIUZULU?
2. Alifanya KOSA GANI lililopelekea KUJIUZULU?
3. Au ni yale MAONI yake juu ya NCHI KUKOPA?
3. Je kutoa Maoni juu ya Utendaji wa Serikali ni KOSA?
4. Mbona kuna watu wengi tena wengine ni Viongozi Wanatoa MAONI juu ya Serikali ya kuikosoa km Ununuzi wa Mabehewa Used lakini Hawakujiuzulu VYEO vyao?

kigogo._.2014_167171099422825.jpg
 
Back
Top Bottom