Great thinkers tubishane kwa hoja,
wakuu tujitahidi tujikite kwenye mada.
Wakuu,
Tunajua fika nchi yetu Ina matatizo mengi Sana hasa upande wa nishati, kwa Hali ya uchumi wetu matatizo haya ya...
Ni jambo jema labda siasa za Taifa letu zitabadilika kidogo.
Ikumbukwe mwenyekiti wa TLP alikuwa hayati Mrema Nccr Mageuzi alikuwa James Mbatia na CHADEMA ni Mbowe ambaye alitangaza kutogombea...
Wanabodi,
Salaam.
Tuendelee kuelimishana kidogo kidogo kuhusu kura ya maoni ya kuikubali hii katiba mpya au kuikataa!. Nimenote kampeni za waziwazi kuikataa zimeanza kila upande kwa wapinzani...
Tulikubaliana ujamaa ni utu ni usawa na haki kwenye uchumi.
Tulipogundua hatuwezi kujenga ujamaa kwa uwekezaji wa umma kwenye viwanda na biashara tukaamua kutumia sekta binafsi kwa uwekezaji wa...
Hawa jamaa usipowaelewa culture yao watakusumbua sana, maana unaweza kudhani wanajidai na kuringa kumbe ndivyo walivyo!
Nawakumbuka sana Sir Kahama R.I.P na Balyagati, sema Nyerere aliwazoea tu...
Nimejaribu kutafakari kauli ya Waziri wa Nishati, Januari Makamba aliyotuambia Watanzania wapuuzi tu na kama hatuamini sababu za kukatika umeme na kutokamilika kwa bwawa la Nyerere tukamuue...
Changamoto kubwa ya umeme Nchini imetajwa kuwa ni kutofanyika kwa uwekezaji wa kuboresha miundombinu inayoendana na mahitaji kwa miaka mingi, ndio maana gridi ya umeme imekuwa ikizidiwa uwezo wa...
Wanabodi,
Kesho asubuhi rasimu ya Katiba Mpya ya CCM, inakabidhiwa Bungeni Dodoma kwenye BMK. Nawaombeni sana, ikifanikiwa kupata 2/3 ya kura na kupitishwa, nawaombeni sana sana tuipigie kura ya...
Wakati tunatangaza kuharibu miti zaidi millioni mbili tulimuomba Mungu? Au wenzetu hamjui umuhimu wa miti?
Haya mlipanda miti mingapi? Leo hii mnataka kufunga eti Mungu alete mvua, you guys! Mko...
Waziri wa Nishati Januari Makamba amesema "Nikifeli mimi imefeli nchi akifeli rais imefeli nchi" kama una matatizo Mh Samia kuwa Rais na mimi kuwa Waziri tutafute jambo lingine sio mambo ya nchi
Kuna pesa nyingi za umma na za mikopo zimewekezwa kwenye usafiri wa mwendokasi Dar lakini ubora wa usafiri ni duni sana na unazidi kuwa duni zaidi kutokana na kutokuwepo kwa mabasi ya kutosha...
Wanabodi,
Huku mivutano kuhusu muundo wa muungano ukiendelea, nimefazifanyia tathmini ndogo kero za muungano kwa pande zote, nikajiridhisha pasi shaka, kuwa Jaji Warioba yuko very right!, muundo...
Natoa wito kwa iwanaTanzania wote wanaopenda taifa lao kuwapeleka mahakamani hawa jamaa wawili.
Wamevunja na kukiuka ibara ya 27 ya katiba ya JMT inayotaka raia wote kulinda mali ya umma...
MBUNGE wa Jimbo la Nyasa, Injinia Stella Martin Manyanya ameweka wazi kutoridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere na kuweza wazi msimamo wake kuwa Tanzania...
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida, Elia Digha ameilaumu Wizara ya nishati kwa kumkwamisha mwekezaji anayetaka kuzalisha umeme kwa njia ya upepo mkoani Singida.
"Nimezungumza nao...
Mawaziri wote ambao wizara zao zina mgogoro mkubwa wa usimamizi mbovu wamekimbilia NEC ya CCM ili Rais na wabunge washindwe kuwabana wakijua ndio mabosi zao ikifika 2025.
1. Dotto Biketo (MNEC)...
Ndugu Zangu,
Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa kwa hakika Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan Ameshinda katika mapambano ya kulijenga Taifa letu na kuwaongoza watanzania katika ujenzi wa Taifa...
Matukio ya magari yasiyohusika kupita kwenye barabara ya mwendo wa haraka, yameibua hisia za kudharau utendaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT) na Sheria ya Usalama Barabarani.
Uvunjifu...
Sipendi uwongo ktk maisha yangu. CHADEMA msinichokonoe. Toeni taarifa kuelezea sababu kwann imeshindikana KK kukutana ama kama mliudanganya umma ombeni radhi.
Moja ya sababu kubwa kwann...
Habari za Leo wadau..
Nyota ya Tanzania chini ya Rais Dk Samia Imeanza kung'aa Sana huko Duniani na Afrika.
Kwa Mara ya Kwanza katika historia Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa Nchi 10 za...