Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,440
- 113,449
Wanabodi,
Kesho asubuhi rasimu ya Katiba Mpya ya CCM, inakabidhiwa Bungeni Dodoma kwenye BMK. Nawaombeni sana, ikifanikiwa kupata 2/3 ya kura na kupitishwa, nawaombeni sana sana tuipigie kura ya ndio, iwe ndio "Bora Katiba" yetu kwa sababu hii katiba iliyopo "is nothing compared!" na hii inayoletwa no matter how bad it is, it is "something!", something is always better than nothing!, tuutumie ule msemo wa "If you can't get what you want, just take what you get!",
Watanzania tulitaka "Katiba Bora", CCM wanatuletea "Bora Katiba", natoa wito na shime, tuikubali, tuipokee na tuipigie kura ya ndio!.
Naomba kukiri, nimekuwa inspired kuandika haya, kutokana na mada ya mwana jf huyu.
Kwanza asante sana kwa uzi huu, na ni kutokana na umuhimu wa katiba, sisi wengine wetu kesho tunaamkia Dodoma, kwenda kuishuhudia kwa macho, maana kuisubiria tuu ile live ya TBC, tunaona kama hakutoshi!.
Naomba tafuta muda wa kutosha, unisome kwa kituo mdogo mdogo!.
Wengi humu wanajitanabaisha kwa ushabiki wa vyama, hivyo wana vyama vyao na kuunga mkono misimamo ya vyama vyao, ila kuna sisi wachache ambao japo tuna vyama vyetu moyoni, lakini ni independent thinkers ambao ni free thinkers bila kushabikia vyama, kwasababu ni wapenzi wa demokrasia ya kweli na ustawi wa Mtanzaia, na miongoni mwa hao, pia wapo walio ndani ya CCM na wapo walio ndani ya vyama vya upinzani ambao nao ni wapenzi wa demokrasia ya kweli na ustawi wa Mtanzania!.
Uhalali wa CCM kuyafanya yote haya inayoyafanya, umepatikana kwa CCM kuchaguliwa na zile kura milioni 5 mgombea wa CCM, alizoshinda kwenye Uchaguzi Mkuu uliopita ambapo watu waliojiandikisha kupiga kura kwa watu milioni 22 ndani ya taifa la watu milioni 50!. Hawa milioni 22 waliojiandikisha kupiga kura, lakini waliopiga kura ni watu miloni 8 tuu!. Mtu mwenye busara, kamwe hawezi kuringia ushindi wa kura milioni 5!, bali atajiuliza kwa nini watu miloni 12 wajiandikishe halafu hawakupiga kura?!.
Sababu ni ndogo tuu, nimeieleza hapa kuwa CCM mmekuwa mnashinda chaguzi sio kwa sababu CCM mnapendwa sana, au CCM mmelifanyia makubwa mazuri sana taifa hili!, No!, no way!, CCM mnashinda kwa sababu ya udhaifu wa upinzani, Tanzania, bado hatuna any serious and capable opposition, ukijumlisha na ignorance ya Watanzania kuichagua CCM kwa mazoea tuu!.
Laiti tungekuwa na any serious and capable opposition, kikawaelimisha Watanzania kuwa Tanzania tumepata uhuru, kipindi kile kile na nchi kama Korea Kusini, Tiger countries, Indonésia, Malaysia, Singapore, na Taiwan, Tanzania ikiwa na kila aina ya rasilimali, watu, ardhi, maliasili, madini na mataifa hayo yakiwa with nothing compared!, leo 50 years later, ukiangaliwa wenzetu who had nothing compared, mahali walipo, na sisi with everything mahali tulipo, utashuhudia wenzetu wako mbali wakati sisi bado tuko kwenye stinking poverty!, ukijiuliza sababu, ukaambiwa utakuta hakuna sababu nyingine yoyote ila ni CCM!, take it from me, hakuna mtu mwenye akili zake timamu, angeichagua CCM!.
CCM ni kama li zimwi ambalo ndio limeifikisha Tanzania hapo tulipofika!, ila kwa vile ndilo zimwi likujualo, halikuli likakwisha, hata uchaguzi wa 2015 tutaichagua tena CCM kwa kishindo kwa sababu so far ndio the only one iliyopo!.
Uwepo huu wa CCM ndio uliopelekea ile dhana ya Chama kushika hatamu kuiongoza serikali, (party supremacy), japo sasa tuko kwenye mabadiliko ya mfumo, into "parliamentary supremacy" ambapo legitimacy ya utawala itatoka kwa wananchi "WE, the people" kupitia kwa wawakilishi wetu "bungeni" kwenye wabunge waliochaguliwa kwenye uchaguzi "huru na wa haki" na wabunge ambao sio lazima watokane na vyama!, utashuhudia jinsi CCM itakavyo kula mwereka!.
CCM ilipoandika ile katiba ya 1977, ilidhamiria serikali mbili kuelekea serikali moja, hivyo kiukweli kuna mahali nimewaambia Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, then "Twende kwenye Serikali Moja!" Mimi ni muumini wa serikali moja!.
Baada ya wananchi kufunguliwa macho na Tume ya Warioba, na matakwa ya Zanzibar yenye mamlaka zaidi, jambo ambalo lingewezekana tuu kwenye serikali tatu, msimamo wa CCM kung'ang'ania serikali mbili, kwa imani yangu, ndilo kaburi rasmi la kuizika CCM, na sio tuu kuizika CCM, bali pia ndio mwanzo wa mwisho wa huu muungano wetu adhimu ambao sasa unaendeshwa kisanii, hili nimelizungumza hapa Chonde Chonde Rais Kikwete: Msimamo wa CCM wa Serikali Mbili ndio utauvunja Muungano
Huu mchakato wa katiba ni mchakato batili, tangu mwanzo, hivyo hauwezi kutuletea katiba bora!, tutakacho pata kwa mchakato huu ni bora katiba!, huwezi kupanda miiba, ukitegemea utavuna zabibu!, hivyo nilishauri https://www.jamiiforums.com/threads/katiba-nashauri-bunge-lililopo-livunjwe-liundwe-bunge-kweli-la-k
Hiki kinachofanywa na wana UKAWA sasa kususa susa ni utoto tuu!, wala hautusumbui!, vinara wa kutetea hoja Bungeni ni Chadema, niliwaeleza hivi mahali Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele!
Tunachosubiri sasa ni kuipigia tuu kura ya "Ndiiiyyoo!" hiyo "Bora Katiba!"
Naomba kutoa angalizo la kitu kinachoitwa karma!. Karma inataka watu watendewe haki!, hivyo haya yote ambayo CCM inatufanyia, Watanzania kwa yale mazuri, CCM itabarikiwa, lakini kwa yale mabaya, CCM italaaniwa!. Kwenye huu mchakato wa katiba, kiukweli kabisa CCM imetutenda!. Hili la CCM kututenda, nililisema hapa Tahadhari ya hatari: CCM Imepania Kufanya Kinyume cha Maumbile!
Hivyo haya ya CCM inayotufanya Watanzania "yana mwisho haya" na kiukweli mwisho wake, hautakuwa mwisho mwema!, hakimu wa kweli wa kuihukumu CCM kwa kila inalowafanyia Watanzania, anaitwa "Karma", kama CCM imetenda wema, italipwa mema, lakilakini kama CCM, imetutenda, itatendwa!, na malipo ni hapa hapa duniani!.
Kwa vile CCM sio mtu, CCM ni entity, watakao adhibiwa na karma ni viongozi wa CCM!, hivyo just keep watching mambo yatakayokuja kuwatokea baadhi ya viongozi wetu!, karma haijui cha nani wala cha nani!. Tutende haki jameni vinginevyo karma ita...
CCM Hoyee!.
Mimi kesho ni Dodoma kwenda kushuhudia!.
Nawatakia Jumapili Njema
Asante.
Pasco.

Mkuu Mwana Diwani,Serikali haina mkataba wowote na Watanzania. CCM kama chama ndiyo yenye Mkataba na Watanzania.
Hata kama Serikali ni mali ya wananchi na ipo kwa ajili ya wananchi, lakini wananchi hawachagui Serikali wala Serikali haiombi waichague, bali chama cha siasa ili kiunde Serikali.
CCM inaongoza na itaendelea kuongoza huku vyama vya upinzani vikiendelea kufuata kwa nyuma kama fisi anayesubiri mkono kudondoka.
Like it or not. Its painful true for those who dont like it.