Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza viongozi na watumishi katika balozi waendelee kufanya tathmini ya fursa za kiuchumi ambazo Tanzania inaweza kupata kutokana na ushirikiano wa kidiplomasia...
0 Reactions
3 Replies
463 Views
Ati Mkoa wa Mbeya umetumia Trilioni 13 kutekeleza miradi mbali ya maji, elimu na afya kwa mwaka 2021/2022. Hii ikiwa ni zaidi ya robo ya bajeti Taifa iliyotengwa na serikali kwa mwaka wa fedha...
5 Reactions
44 Replies
3K Views
Kwakua unatafuta madaraka ili upate pensheni baada ya kustaafu, na kwakua madaraka kwako ni ulinzi wa uhakika wa kutibiwa unapopata maradhi basi unafikiri kila anaetafuta madaraka ana fikra za...
27 Reactions
59 Replies
8K Views
Mwaka 2022 unaelekea kufikia mwisho ni mwaka ambao watanzania wengi wamefilisika na biashara zao nyingi zimekufa na kupoteza wateja hasa zile biashara zilizokuwa zinategemea nishati ya umeme chini...
1 Reactions
1 Replies
453 Views
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema changamoto ya kukatika kwa umeme itaendelea kuwepo, hadi pale marekebisho na maboresho mbalimbali yanayoendelea kufanyika yatakapokamilika. Miongoni mwa...
5 Reactions
159 Replies
11K Views
Wakati ndio unaingia hapo wizarani umeme ukaanza kukatika hovyo ukawa unajitetea kwamba unafanyia marekebisho mitambo maana Magufuli alikuwa anawasha tu bila service. Chawa wako hapa walikutetea...
76 Reactions
171 Replies
15K Views
Tunakumbushana tu namna Wapinzani walivyomshambulia Dr Kigwangalla alipoamua kuboresha Hifadhi ya Burigi Chato CHADEMA walicharuka kana kwamba Burigi Chato siyo Tanzania Nchi ngumu sana!
6 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimeona baadhi ya watu wanapinga alichosema msanii Abigael Chams. Abigael Chams amesema huko kwao wazungu wengi wanajua Afrika ni kijijini ,kuchafu na kumejaa umasikini wa kutisha sana...
28 Reactions
53 Replies
5K Views
Mvua zimenyesha za kutosha mabwawa yamejaa Makamba usije na visingizio vipya. Mvua zimenyesha za kutosha mito imefurika mabwawa ya maji yamejaa sasa makamba tuone atakuja na visingizio gani vipya...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Mradi huu siyo mkubwa sana lakini umetumia miaka mitano! Mradi huu unahusisha Barabara za Kilwa, Bandari na Kawawa, miaka mitano sasa unajengwa na kampuni ya Kichina ya SINOHYDRO na la zaidi...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Rais kwa kuwa ni rais namba moja, inabidi awe wa kwanza kutuma hizi rambirambi, sio kwa ubaya.
3 Reactions
6 Replies
807 Views
Ndani ya muda mfupi sana Kuna maajabu yanaendela pale kisarawe. Na hii ni kutokana na ubunifu, uthubutu na umakini wa Hali ya juu wa mkuu wa wilaya Nikki wa Pili ndani ya muda mfupi sana. Nikki...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Moja ya mambo ambayo yamekua yakilisumbua taifa letu vijana wanaopewa nafasi kwenye uongozi kushindwa kuacha alama. Lakini Kuna huyu mheshimiwa Nikki wa Pili, amekua tofauti sana na vijana wengi...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Tuliambiwa na January kuwa miundo mbinu ya umeme ilikuwa imechakaa sana. Hivyo ilihitaji ukarabati wa nguvu. Ukarabati ulifanyika na sasa tunaona hitilafu kibao. Mbaya zaidi umeme unakatika na...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Zao la tumbaku ni moja ya zao la biashara ambalo lilikuwa linaingiza pato kubwa sana serikali,lakini ndilo zao lililokuwa na utitiri wa kodi unao mgusa mkulima moja kwa moja na kumtia umaskini wa...
0 Reactions
13 Replies
690 Views
Watz mnaweza kudhani sio kitu serious. Ila kumwita mwanamke kwa kuvizia majina ya jinsia ni sexism. Ni Aina ya jambo halina heshima. Ni mbinu za kufanya mtu wa kawaida kwa hiyo mambo mengine...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Great thinkers tubishane kwa hoja, wakuu tujitahidi tujikite kwenye mada. Wakuu, Tunajua fika nchi yetu Ina matatizo mengi Sana hasa upande wa nishati, kwa Hali ya uchumi wetu matatizo haya ya...
32 Reactions
135 Replies
6K Views
Ni jambo jema labda siasa za Taifa letu zitabadilika kidogo. Ikumbukwe mwenyekiti wa TLP alikuwa hayati Mrema Nccr Mageuzi alikuwa James Mbatia na CHADEMA ni Mbowe ambaye alitangaza kutogombea...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Wanabodi, Salaam. Tuendelee kuelimishana kidogo kidogo kuhusu kura ya maoni ya kuikubali hii katiba mpya au kuikataa!. Nimenote kampeni za waziwazi kuikataa zimeanza kila upande kwa wapinzani...
9 Reactions
100 Replies
13K Views
Tulikubaliana ujamaa ni utu ni usawa na haki kwenye uchumi. Tulipogundua hatuwezi kujenga ujamaa kwa uwekezaji wa umma kwenye viwanda na biashara tukaamua kutumia sekta binafsi kwa uwekezaji wa...
1 Reactions
3 Replies
668 Views
Back
Top Bottom