Mawaziri 8 wa-NEC wanaoliangamiza taifa

saidoo25

JF-Expert Member
Jul 4, 2022
602
1,407
Mawaziri wote ambao wizara zao zina mgogoro mkubwa wa usimamizi mbovu wamekimbilia NEC ya CCM ili Rais na wabunge washindwe kuwabana wakijua ndio mabosi zao ikifika 2025.

1. Dotto Biketo (MNEC)
2. Januari Makamba (MNEC)
3. Mwigulu Nchemba (MNEC)
4. Nape Nauye (MNEC)
5. Angelina Mabula (MNEC)
6. Ashatu Kijaji (MNEC)
7. Angela Kairuki(MNEC)
8. Hussein Bashe(MNEC)

HAO MAWAZIRI NDIO WANAOONGOZA KWA UTENDAJI MBOVU UNAOSABABISHA HASARA KWA TAIFA NA UGUMU WA MAISHA YA WANANCHI WA CHINI NA WOTE NDIO MABOSI WA RAIS SAMIA AMBAO NDIO WATAKAOPITISHA JINA LA MGOMBEA URAIS 2025 NA WABUNGE
 
unajua yanayoendelea kwenye migogoro ya ardhi? watu wanakufa kila leo, unajua yanaendelea kwenye madini kila leo madini yanakamatwa china, india mara kenya
Madini kukamatwa nje sio kosa la waziri wa madini...kosa liko polisi na uhamiaji.....

Migogoro ya ardhi mingi watu hawataki kufata sheria na msimamizi wa sheria ni polisi sio waziri wa ardhi
 
Madini kukamatwa nje sio kosa la waziri wa madini...kosa liko polisi na uhamiaji.....

Migogoro ya ardhi mingi watu hawataki kufata sheria na msimamizi wa sheria ni polisi sio waziri wa ardhi
Nakuelewa. Halafu bado hakuna evidence kwamba hayo madini ni ya Tanzania. Natamani wanaotuhumu waonyeshe kwa ushahidi kama hayo madini ni ya Tanzania. Vinginevyo hii siyo tu inachafua waziri bali nchi. 🙏🙏🙏
 
hapa tunazungumzia watanzania wenzetu wasio na sauti
Duniani kote wasio na sauti hupiganiwa na wenye sauti. Yawezekana na wewe una uwezo wa kujilisha tu lakini huna sauti.

Ndiyo maana badala ya kutumia sauti yako kupigania haki unanalalama JF.
 
Madini kukamatwa nje sio kosa la waziri wa madini...kosa liko polisi na uhamiaji.....

Migogoro ya ardhi mingi watu hawataki kufata sheria na msimamizi wa sheria ni polisi sio waziri wa ardhi
Mbona ya Umeme anatwishwa January Makamba? Tuache double standards
 
Back
Top Bottom