TLP, NCCR Mageuzi na CHADEMA kupata Wenyeviti wapya 2023

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,038
Ni jambo jema labda siasa za Taifa letu zitabadilika kidogo.

Ikumbukwe mwenyekiti wa TLP alikuwa hayati Mrema Nccr Mageuzi alikuwa James Mbatia na CHADEMA ni Mbowe ambaye alitangaza kutogombea tena.

Kusini kuchele.
 
Mbowe hawezi kuachia uwenyekiti haswa baada ya yule mpuuzi alietaka kumrithisha kwenda ugaibuni CANADA
 
alisimikwa na mamayenu wa ccm mliyeprint form moja mkamjazia kugombea uwenyekiti kama wengine ni mapoyoyo msioweza kugombea.
Hahaha ,mbowe ni mwamba kweli kweli ,amefanikiwa kuwa na wafuasi wajinga kupitiliza kama wewe ni mmoja wao ,kibaya zaidi wanajiita makamanda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom