Prof Arora: Kama unakopesheka Kopa hiyo ni advantage ambayo wengine hawana!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
" ....kama unakopesheka Kopa hiyo ni advantage ambayo wengine hawana itumie kujiletea Maendeleo ya haraka" haya ni maneno ya Profesa Arora aliyekuwa mhadhiri wa Chuo cha Fedha ( IFM)

Hata Shujaa Magufuli amekopa sana tu na ndio hii miradi mikubwa ya kimkakati tunayoiona

Heri ya Mwaka Mpya!
 
" ....kama unakopesheka Kopa hiyo ni advantage ambayo wengine hawana itumie kujiletea Maendeleo ya haraka" haya ni maneno ya Prof Arora aliyekuwa mhadhiri wa Chuo cha Fedha ( IFM)

Heeee 😳😳😳 acha usaliti kwa shujaa! Shujaa alikua hakopi alikua anatumia fedha za ndan, kukopa ni utumwa nchi imechezewa mnoo!!!
IMG_20220224_183623.jpg
 
" ....kama unakopesheka Kopa hiyo ni advantage ambayo wengine hawana itumie kujiletea Maendeleo ya haraka" haya ni maneno ya Prof Arora aliyekuwa mhadhiri wa Chuo cha Fedha ( IFM)

Hata Shujaa Magufuli amekopa sana tu na ndio hii miradi mikubwa ya kimkakati tunayoiona

Heri ya Mwaka Mpya!
Watu wanatizama tija ya ukopaji siyo mikopo mama yenu anakopa pasipo tija ya matumizi ya mikopo sasa hivi hadi mishahara ya wafanyakazi wa serikali tunakopa kwa asilimia 26 ni ujinga na upumbavu kufanya hivyo
 
Tatizo ni nchi inafanya nini na fedha inazokopa? Nchi imefanya nini kupunguza matumizi yake ya kifahari na yasiyo na lazima kabla ya kukopa?
 
Hivi kuna nchi Dunia hii isiyokopesheka? Mishahara na kodi mpaka pension za wananchi ni bond ya hiyo mikopo na ndiyo maana kodi inaongezwa, tozo, inflation hiyo yote ni kulipia madeni hata South Sudani wanakopesheka pia kama wakikubali kuweka bond mishahara ya raia wao kama Tanzania wanavyofanya.

Nutty profesa, hajui hata how the world financial system works!
 
" ....kama unakopesheka Kopa hiyo ni advantage ambayo wengine hawana itumie kujiletea Maendeleo ya haraka" haya ni maneno ya Prof Arora aliyekuwa mhadhiri wa Chuo cha Fedha ( IFM)

Hata Shujaa Magufuli amekopa sana tu na ndio hii miradi mikubwa ya kimkakati tunayoiona

Heri ya Mwaka Mpya!
Huyu na Professor Maji marefu walisoma chuo kimoja
 
Watu wanatizama tija ya ukopaji siyo mikopo mama yenu anakopa pasipo tija ya matumizi ya mikopo sasa hivi hadi mishahara ya wafanyakazi wa serikali tunakopa kwa asilimia 26 ni ujinga na upumbavu kufanya hivyo
Chuki zako kwa serikali ya wamu ya 6 ya rais Samia zitakuua bure!

Serikali ya awamu ya 6 inafanya vizuri mno kwenye maeneo yote katika nyanja za uchumi na jamii.

Huduma za jamii zinatolewa kwa kiwango kizuri. Uchumi unakiwa vizuri.

Miradi yote ya kimkakati na mingine inaendelea kutekelezwa Kwa kasi kubwa zaidi.

Mazao yote ya wakulima yamepata soko zuri na wakulipa wanapata Bei za juu kuliko wakati wowote hivyo kuinua vipato vyao.

Utawala wa Sheri, demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari umeshamiri.

MAMA ANAUPIGA MWINGI MNO!
 
akili za kijinga labda huko lumumba ndio mnademokrasia na utawala bora.
 
Watu wanatizama tija ya ukopaji siyo mikopo mama yenu anakopa pasipo tija ya matumizi ya mikopo sasa hivi hadi mishahara ya wafanyakazi wa serikali tunakopa kwa asilimia 26 ni ujinga na upumbavu kufanya hivyo
We kwl poyoyo mzushi
 
Hii ndio shida ya kutoa teuzi Kwa wasomi wetu. Hapo elimu inawekwa mfukoni anaongea kufurahisha wateuzi.
 
Huyu ni Prof mbobezi kutokea India
Lakini si alifundisha IFM, unafikiri atakataa uteuzi au kuwekewa segemu yenye ulaji? thubutu!
Haijalishi anatokea wapi. Lazima aangalie context.

Unachukua mkopo wa mabilioni ya pesa kujenga BRT? Inamchangonkiasi Gani kwenye uchumi wa nchi?

Watu wanachopiga kelele ni tija ya mikopo.
 
Kwa sasa amesharudi India, yeye ni wa kimataifa zaidi
 
Back
Top Bottom