Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,400
- 4,073
Wadau nawasalimu.
Ukiwa Kiongozi kitu pekee unachopaswa kuwafanyia Watu wako ni kile ambacho walikitafuta kwa muda mrefu kupitia Viongozi mbalimbali lakini walishindwa kukipata.Kwa Mfano RAIS Nyerere anakumbukwa kwa Kutupatia UHURU kuzisaidia Nchi nyingine kupata Uhuru wao leo hii ukienda Msumbiji Angola Zimbabwe Rais NYERERE Anakumbukwa sana.
Rais Mandela anakumbukwa Kwa kupinga Ubaguzi wa Rangi wa Makaburu kitendo ambacho kilimpelekea Kufungwa Jela Miaka mingi. Watanzania hatumkumbuki RAIS Nyerere kwa Kujenga Mashule Zahanati Barabara au Madaraja.
Watu wa Afrika ya Kusini Hawamkumbuki Rais Mandela kwa kujenga Hospital Shule au Vituo vya Afya kwani Tatizo lao kubwa lilikuwa UBAGUZI wa RANGI uliofanywa na MAKABURU na ndio Rais Mandela ALIUPINGA kwa Nguvu zake zote mpaka akafungwa na hilo ndilo Watu wake na DUNIA nzima INAMKUMBUKA na hiyo ndii LEGACY ya RAIS Mandela.
Hivyo basi LEGACY ya NYERERE na MANDELA ni hayo mambo na sio Shule Zahanati Madaraja waliojenga HUWEZI kukumbukwa kwa kufanya hivyo.
Tanzania tumekuwa na MARAIS 5
Baada ya NYERERE nao ni
1.Rais Mwinyi
2.Rais Mkapa
3.Rais Kikwete
4.Rais Magufuli
5.Rais Samia
Marais Mwinyi Mkapa Kikwete ma Magufuli Hawana KITU/VITU vya KUWAKUMBUKA kwani hata kama Walijenga barabara Zahanati na Masoko na Fly Overs hayo mambo hayawafanyi WAKUMBUKWE kwani hata Mama SAMIA anayafanya kwa sasa na Rais Ajaye 2025 ATAYAFANYA ila sio yale ya RAIS NYERERE
Rais KIKWETE alitaka kuwapatia WATANZANIA KATIBA MPYA Katiba ambayo wamekuwa Wanaitaka kwa Miaka Mingi Katiba ambayo ingewabadilishia MAISHA yao Katiba ambayo ingepatikana naamini RAIS KIKWETE nae Angekuwa amejiwekea LEGACY ya KUKUMBUKWA kwa Kuwapatia WATANZANIA KATIBA lakini kutokana na KUSHINDWA atabaki sawa na Marais wawili waliomtangulia kwa kutokukumbukwa.
Sasa hivi tuna RAIS Samia ninachomshauri asiingie kwenye MTEGO wa Watangulizi wake wa kutokukumbukwa Suala la kujenga Zahanati Madaraja Reli ni la kawaida sana kwani hata RAIS AJAYE Atajenga tu.
NAMSHAURI RAIS Samia kabla ya Kumaliza KIPINDI CHAKE Awapatie WATANZANIA KATIBA MPYA na endapo Rais Samia ATAFANIKIWA kuwapatia Watanzania KATIBA MPYA hiyo ndiyo itakuwa LEGACY ya RAIS SAMIA Baada ya HAYATI BABA wa TAIFA kutupatia UHURU.
Watanzania HITAJI lao kwa Sasa ni KATIBA MPYA. Madaraja Barabara Zahanati Hospital ni Maendeleo Endelevu yapo kila siku lakini KATIBA MPYA ni Tukio ADIMU SANA.