Sir robby
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,404
- 4,053
Katika SIASA za HOVYO ambazo CCM imewahi KUZIFANYA toka kuanzishwa kwake ni Wakati wa Utawala wa wa AWAMU ya 5
Siasa hizo ni za
1. Kuvuruga UCHAGUZI wa SERIKALI za MITAA 2019
2. Kuvuruga UCHAGUZI MKUU 2020
3. Kununua Wapinzani
4. Kuwabambikizia Kesi za UHUJUMU Uchumi UGAIDI na MAUAJI VIONGOZI WANACHAMA na WAFUASI hasa wa CHADEMA na Kupigwa Risasi
5.KUZUIA Mikutano ya Hadhara kwa CHADEMA ila CCM ilifanya Mikutano yao itakavyo
6. Kuwalipisha Faili kubwa VIONGOZI wa CHADEMA Waliobambikiziwa Kesi ya Hayati AKWILINA ili wakishindwa WAPEWE VIFUNGO JELA
7. Kuwateua na kuwapa VYEO Wanachama wa CHADEMA ili KUIDHOHOFISHA CHADEMA kinyume na Katiba
8. Kuwapa UBUNGE HALIMA Mdee na Wenzake 18 Wa VITI Maalumu bila Chama husika kuhusishwa ili Kuwahadaa Wafadhili baada ya Kuvuruga Uchaguzi Mkuu 2020
9. Kuwa na BUNGE la Chama kimoja wakati Nchi ni ya Vyama Vingi
10.BUNGE bila KAMBI RASMI ya UPINZANI
11. BUNGE bila Kiongozi wa Upinzani
12. BUNGE bila Mnadhimu mkuu wa Kambi ya Upinzani
13. BUNGE bila Mawaziri Vivuli
14. BUNGE Bila HOTUBA ya Kambi ya Upinzani
15. BUNGE bila HOTUBA za Mawaziri VIVULI
Hiyo ndio ilikuwa CCM ya AWAMU ya 5
Yote haya yalifanyika kutokana na kuamini CHADEMA ndiye ADUI wa UTAWALA wa AWAMU ya 5 na kufanya hivi kungesababisha CHADEMA KUFUTIKA ktk SIASA za VYAMA VINGI kumbe badala yake CHADEMA IKAIMARIKA mara DUFU