Serikali ipo tayari kwa Mchakato wa Katiba Mpya

Billal Saadat

Senior Member
Nov 30, 2022
117
230
Nafuatilia hapa mkutano wa Rais Samia na viongozi wa vyama 19 vya siasa nchini amekiri wazi kuwa Serikali ipo tayari kuanza na kamati itakayoshauri Katiba ya Watanzania.

Rais ameshauri wakati mchakato huo ukiwa unaendelea uwe mchakato cool and humble na mchakato uanze kwenye marekebisho ya katiba ya Watanzania.
 
Wanapoteza muda Tu CCM hawana nia hiyo ,Samia anasema atatoa maelekezo kivipi kama nani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom