Samia Suluhu Hassan anaweza kuwa mwanasiasa maarufu ndani na nje ya CCM

MKEHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
714
1,137
Amekuwa na wakati mzuri sana kwenye uongozi wake ndani ya muda mfupi.

Ukiona mpaka viongozi wa upinzani hasa chama kama CHADEMA wanamkubali na kushiriki kwenye mwito wake ujue huo ni uungwana mkubwa na anaoonyesha kuyataka maridhiano kwa nguvu hata kama chama chake kinaweza kisiwe nae bega kwa bega.

Leo nimeshukuru sana kwa hotuba yake ya mwaka kwa manufaa ya Tanzania.
 
Amukuwa na wakati mzuri sana kwenye uongozi wake ndani ya muda mfupi. Akiona mpaka viongozi wa upinzani hasa chama kama CHADEMA wanamkubali na kushiriki kwenye mwito wake ujue huo ni uungwana mkubwa na anaoonyesha kuyataka maridhiano kwa nguvu hata kama chama chake kinaweza kisiwe nae bega kwa bega. Leo nimeshukuru sana kwa hotuba yake ya mwaka kwa manufaa ya Tanzania
Kikweli kabisa Rais ametisha...
 
Sijaona lolote la maana! unataka Katiba mpya alafu mshauri Andrew Chenge!
 
Back
Top Bottom