Mining activity in Tanzania recorded a growth rate of 9.8% in the third quarter of 2022 compared to a growth rate of 13.1% recorded during the corresponding quarter in 2021 according to the Third...
Udhaifu wa CCM ulipelekea kuweka zuio la mikutano ya vyama pinzani!
Na udhaifu huo huo ndio unaosababisha viongozi hao kuwa wakali dhidi ya ukosoaji na utoaji wa maoni kutoka kwa raia watanzania...
Nikiangalia fact anazoongea Zitto Kabwe natamani vijana wa CHADEMA wangejifunza kwa Zitto siasa ingeimarika sana nimemsikia leo akisema, "Wanasiasa tusijenge mazingira ambayo yataturejesha kule...
Nyakati zinabadilika sana, kila nikiwaza bado sioni watu wa kuhudhuria hiyo mikutano.
Watu wapo busy na kutafuta pesa maisha yaende. Tusiongopeane hapa kuwa tutakusanya watu kuwasikiliza huko...
Waziri wa kilimo ndg Hussein Bashe akihojiwa na DW amesema hili kupunguza mfumuko mkubwa wa bei hasahasa ya chakula, serikali imeamua kufungua maghala yake kadhaa ya chakula nchini kwenda...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa Nchini, leo Jumanne Januari 3, 2023.
Mazungumzo haya yanafanyika Ikulu, Magogoni...
Ndugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa...
Miradi wa JHNPP na SGR ilipaswa kujengwa baada ya sisi kuanza kuchimba chuma chetu wenyewe huko Liganga na Mchuchuma. Tulipaswa kuhakikisha sehemu kubwa ya malighafi muhimu inatoka ndani ya nchi...
Sina. Shaka na uwezo wa kujenga hoja kwa bwana lissu kwangu ni mmoja wa wanasiasa bora wa chache wa dunia ninaowakubali na kuwaheshimu mbowe akiwa mmoja wapo.
Wanachadema mlianza kupoteza ladha...
Jakaya kikwete kakuhakikishia kuwa hautapingwa na mtu yoyote kuchukua fomu.
Kweli utachukua fomu na utagombea.
Lakini utapingwa ndani ya mioyo ya wanaCCM wasiopenda ouvu na ufisadi wa kundi...
Hii ndio Taarifa iliyotolewa leo 2/1/2023 na EATV, kwamba Mh Utamwa ambaye alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Iringa, amefariki Jijini Dar es Salaam leo tarehe 2 January 2023.
Kwa Wageni wa...
Sababu za Lema na Lisu kujibanza kwa wazungu zinadhidi kumalizwa, mikutano ya siasa imeruhusiwa, madai yote ya Lisu yamelipwa, kesi yenye kila aina ya ushahidi ya gaidi wa kuuwa viongozi wa...
Natoa maoni haya kwa nia njema.
Nawakumbusha tu kuwa ari ya Wananchi kuhudhuria Mikutano ya kisiasa imeshuka sana kutokana na zuio la Muda mrefu.
Pia chama chenu kimeumizwa sana na Chama cha...
WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso kijana wa watu asiye na mbeleko anahangaika kwa usafiri wa bodaboda ili mradi afike ajionee mwenyewe changamoto za maji zinazowakabili wananchi.
Wengine watoto wa...
A journalist reporting for Yahoo News summed up the features of the opposition parties in the world. Are you in agreement with him?
Most of the opposition agenda world over is mostly to defund...
Rais Samia kapiga kipyenga,
Sasa siasa za ushindani wa sera, vyama na watu wenye mvuto, haiba na weledi wa kutetea wananchi zitaanza.
Baada ya Magufuli kudominate single handedly siasa za nchi...
Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na viongozi wa vyama vya siasa leo Januari 3, 2022, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema:
Taifa letu limekuwa na mfumo wa ukandamizaji wa...
Hizi ni siasa za kushangiliana bila kuulizana maswali, lakini miezi michache iliyopita huyu huyu Samia alichochea kuchukiwa kwa Spika, ambaye ni mbunge alipokosoa tabia ya serikali kukopa. Jana...
Kutokana na upepo wa kisiasa unvyovuma ni wazi kwamba unampendelea sana Freeman Aikaeli Mbowe. Na kumuweka katika nafasi ya wanasiasa wachache nchini wenye nguvu na ushawishi na hivyo si ajabu...
Yaani huyu Mama naona anaenda kuwa Rais was pili ukimtoa Baba wa Taifa, maana Kama atatupatia katiba Mpya Basi Legacy yake itakuwa kubwa Sana.
Nilichogundua Uongozi ni akili. Legacy sio kujenga...