Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Familia ikiwa za afya ni ulinzi tosha hii inaongeza kujiamini. Kuna watu wanauza metch na hawana bima za afya please tafuta bima ya afya au tumia condom. Kuna familia hazina kipato chakutosha na...
1 Reactions
5 Replies
204 Views
Ninaomba mwenye cv ya Omar Kishera maana namwona sana mitandaoni hasa Istgaram akiunguruma na vipindi mbalimbali vya elimu kwa UMMA na kwa Taasisi binafsi. Je, ni miongoni mwa vigogo waliowahi...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Tume iliundwa na wataalamu wenye uzoefu mkubwa katika masuala ya sheria, haki, usalama na utawala bora. Uteuzi wao ulizingatia uadilifu, uelewaji wa kina wa mambo ya kisiasa na kijamii, na...
0 Reactions
2 Replies
110 Views
Wanabodi, Karibu, Nipashe ya leo Kufuatia Watanzania wengi kuwa ni waumini wa dini kuu mbili, Ukristo na Uislamu, hivyo sii wengi wanaijua "karma" ni nini, kwasababu "karma" ni neno la lugha ya...
11 Reactions
41 Replies
6K Views
"Nakupongeza sana kwa kazi kubwa unayoendelea kufanya nchini katika maeneo mbalimbali, katika nyanja mbalimbali. Mwenye macho haambiwi tazama na mwenye masikio haambiwi sikia na kwa hii ambayo...
4 Reactions
70 Replies
4K Views
Salaamu kwako Mheshimiwa Rais Mheshimiwa Rais, nianze kwa kusema kuwa mimi raia wa Tanzania, nina heshima kubwa kwa Jeshi letu la wananchi. Kazi waliyoifanya kwa miaka zaidi ya 60 ya ulinzi wa...
34 Reactions
137 Replies
11K Views
📍Katambi-Serikali yaokoa Bilioni 21 Magereza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Patrobas Katambi amesema jumla ya Shilingi Bilioni 21 zimeokolewa ikiwa ni faida za Bodi ya Parole na Programu ya...
0 Reactions
1 Replies
104 Views
PROF. KABUDI AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA BOTSWANA JIJINI LONDON Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Palamagamba J. Kabudi amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa...
1 Reactions
4 Replies
243 Views
Wakuu, Kumbe nchi yetu ina mazingira mazuri sana ya Kiuchaguzi katika kipindi hiki na hamsemi? Akiwa anazungumza jana, Kabudi anasema kwamba tangu Tanganyika au tuseme Tanzania ipate uhuru...
4 Reactions
70 Replies
3K Views
Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye...
1 Reactions
1 Replies
127 Views
Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utajibu wewe msomaji. Naomba kuanza kwa Declaration of Interest. Kwa...
24 Reactions
79 Replies
7K Views
Nina mashaka na kusema Kuna covid 19 kipindi hiki Je, Kuna kitu kinapikwa? Je, Kuna watu wanatafutwa? Je, biological weapons itatumika Kama ilivyotumika kwa Magufuli na kusingizia covid...
33 Reactions
116 Replies
2K Views
Baada ya Chadema kurudi kwenye siasa CCM imeanzisha umoja wa vyama vilivyoshiriki uchaguzi, umoja huo umepewa jina la "VYAMA RAFIKI". Lengo la umoja huo ni kuisaidia CCM kupambana na CHADEMA...
8 Reactions
15 Replies
498 Views
Kuna haja ya kufundishwa siasa za kistaarabu za kisomi
0 Reactions
3 Replies
106 Views
Kutokana umuhimu wa hotuba za Rais, pale anapohutubia, katika sehemu maalum, yaani podium, ni vyema kabisa iwe na nembo ya Taifa yenye kuakisi uhalisia wa asili wa rangi zake. Uwepo wa rangi...
0 Reactions
5 Replies
164 Views
“Karne hii mpya haitapiganiwa kwa mafuta pekee — itapiganiwa kwa madini, taarifa, na ushawishi wa kimkakati.” Kuna nyakati katika historia ambapo kauli moja ya kidiplomasia hubeba ujumbe mkubwa...
5 Reactions
3 Replies
235 Views
My Take Usije Waamini Wakunya ni Moja ya watu matapeli ,wanafiki na haters wakubwa wa Tanzania. Hapa bwana Ruto ameamua kutumia Nguvu kubwa sana kumshawishi Dangote Ahamishie wazo la kujenga...
2 Reactions
40 Replies
680 Views
Wasalaam Watanzania! Natumaini wote ni wazima wa afya kabisa na tunaendelea na kujilinda. Kwanza kabisa naomba ku-declare interest, Mimi sio Mwanachama wa chama chochote cha siasa na wala...
2 Reactions
3 Replies
755 Views
TAARIFA KWA UMMA Uongozi wa Wilaya ya Kilolo unapenda kutoa ufafanuzi kwa Umma kufuatia taarifa potofu inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu ubovu wa daraja linalopatikana katika kijiji...
1 Reactions
2 Replies
141 Views
Back
Top Bottom