Lazarus Chakwera kulikoni kuondoka kimya kimya?

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,263
Reaction score
39,804
Mheshimiwa Rais Mstaafu wa Malawi Askofu Mkuu Lazarius Chakwera (PhD) alikuja huko Tanganyika kufanya nini? Mbona aliondoka kimya kimya? Mjini mipango hapana chezeya Chekibobu wa mjini .zee wa mipango mibovu ya kuua Watanganyika wenzie.

Soma pia

1778478753464.png
 
Mheshimiwa Rais Mstaafu wa Malawi Askofu Mkuu Lazarius Chakwera alikuja huko Tanganyika kufanya nini? Mbona aliondoka kimya kimya? Mjini mipango hapana chezeya Chekibobu wa mjinj .zee wa mupango mibovu.

Soma pia

Kwani alikuwa kukaa Bongo?? Yeye alikuwa Kwa shughuli Mwalimu, ambayo aliifanya, na sasa kapeleka ripoti yake Kwa waliomtuma. Shida ipo wapi.
 
Mheshimiwa Rais Mstaafu wa Malawi Askofu Mkuu Lazarius Chakwera (PhD) alikuja huko Tanganyika kufanya nini? Mbona aliondoka kimya kimya? Mjini mipango hapana chezeya Chekibobu wa mjini .zee wa mipango mibovu ya kuua Watanganyika wenzie.

Soma pia

ulitaka aondoke akiwa anapiga mayowe au analia?

kwani awali, nani alikwambia anakuja Tz? Si huyo huyo angekujuza kuhisu kuondoka kwake gentleman?🐒
 
Kama ukimya hivyo ndivyo SAWA alikuja Tanganyika kufanya nn? si angeandika ripoti huko huko Lilongwe? Kawaida mediators huwa anafanya PRESS. Ila mnyasa akatimka kama mwizi.
 
nani alikuarifu anakuja nchini?
si angekueleza pia namna alivyoondoka gentleman na ingependeza zaidi kuliko kupotosha nanmna hiyo?
 
Back
Top Bottom