Wageni mpo? Tunakufa njaa

Wageni mpo? Tunakufa njaa

acheni uvivu na kutegemea mteremko,
fanyeni kazi kwa bidii sana,

mbona kazi za kufanya na kujipatia kipato ni nyingi sana Tanzania gentleman?

kufa njaa kwa kisingizio cha kukosa kazi ni ujinga na ni dhambi mbele za Mungu
FB_IMG_1748360197313.jpg
 
acheni uvivu na kutegemea mteremko,
fanyeni kazi kwa bidii sana,

mbona kazi za kufanya na kujipatia kipato ni nyingi sana Tanzania gentleman?

kufa njaa kwa kisingizio cha kukosa kazi ni ujinga na ni dhambi mbele za Mungu
Wape connection kwenye kazi yako ya
u CHAWA basi
 
Wape connection kwenye kazi yako ya
u CHAWA basi
aridhi ya kilimo iko bwerere nchi nzima,
halafu kwa uvivu wako na kucahua kazi unakuja kumbwelambwala jukwaani hata eti ng'weng'we nakufa kwa njaa,

kufa ndio,
maana imeandikwa,
ASIE FANYA KAZI NA ASILE.
 
Back
Top Bottom