kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 118
- 237
Waziri Makame Mbarawa amekagua maendeleo ya Ujenzi wa Daraja la Kigongo-Busisi (Daraja la JPM) lenye urefu wa Mita 3000 na Barabara Unganishi (KM 1.66) ambapo Utekelezaji wa Mradi huo kwa Sasa umefikia asilimia 63. Mradi huo ulianza kutekelezwa mwaka 2019.
Machi 2021 Wakati Rais Samia Suluhu anaingia madarakani ujenzi wa mradi huo ulikua ni 20%. ndani ya Mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia ujenzi ulifika 33.68% hadi leo hii January 23,2023 ujenzi wa daraja hilo umefikia 63%.