CHADEMA inakubalika zaidi Nyanda za Juu Kusini lakini Viongozi wao wanapenda zaidi Mwanza!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,874
Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.

Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.

Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza

Ngoja tuone!
 
Nyanda za juu ni wafuata mkumbo awasumbui kuwawekea sawa
 
Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.

Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.

Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza

Ngoja tuone!
Ukishakubalika sehemu, majukumu ya pale yataratibiwa na kuongozwa vizuri sana na watu wa hapo. Huna sababu ya kulinda goli, fanya mashambulizi?

Yaani mshambuliaji unataka kwenda kufunga golini kwako kisa ni rahisi kufunga sababu hawatakukaba kwa kuwa wana amini wewe ni mwenzao??
 
Kitu kinachotakiwa kukielewa

Kwamba mwanza au Kanda ya ziwa nieneo miaka yote ya uchaguzi huamua hatima ya Tanzaia kwaidadi Yao wanatakiwa kupewa elimu ya uraia mudawote ,kwani wanachangia kutuchelewesha.......wafugaji na wavuvi Hawa hawatakiwi kuachwa
 
Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.

Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.

Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za nguvu tayari kwa safari ya JNIA to Mwanza

Ngoja tuone!
Chadema tafuteni watu popote pale kanda ya ziwa ndio ngome yenu kubwa na hasa baada ya mtu kufa.
 
Back
Top Bottom