Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Manyoni imetakiwa kuchunguza mauaji ambayo yamekuwa yakiripotiwa kutokea mfululizo pamoja na vitendo vya ushirikiana vinavyohusisha kufukua maiti na...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Fatma Karume amezungumza na Wakili TV na kufafanua mambo kadhaa ikiwemo kuhusu hali ya demokrasia nchini, siasa ya Tanzania na kurejea kwa Tundu Lissu. Huyu hapa anafafanua: Nikiwa kama Rais...
23 Reactions
106 Replies
6K Views
Nimemsikia mh Mbowe kupitia Jambo TV akiwaambia wananchi wa Musoma kwamba Viongozi wetu hawana Baraka za Mungu kwa sababu uchaguzi wa 2020 uliporwa Aliyemuelewa hii sentence anifafanulie...
0 Reactions
1 Replies
517 Views
Hotuba ya Mbowe M/kiti wa Chama chetu, niliifuatilia mwanzo mwisho Mbowe, hana tabia ya kuongea vile isipokuwa juzi katika kuwahutubia wananchi wa Mwanza na wanachama wa Chadema, sauti...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Kama JF ingekuwa YouTube channel mngepata posho nyie msiopenda meza moja japo mama kawaumbia. Kuna watu humu JF kila muda mnajaribu kuoji kuhusu chadema ila madudu yenu muwezi kusema. Basi...
1 Reactions
4 Replies
461 Views
Siku moja baada ya CHADEMA kuzindua mikutano ya hadhara jijini Mwanza, Chama cha ACT Wazalendo nacho kimetangaza kuanza mikutano yake Februari 19, 2023 jijini Dar es Salaam. Akisoma maamizio ya...
2 Reactions
7 Replies
953 Views
Nilitegemea kwenye mkutano wa hadhara Mwanza na Musoma Chadema wangekuja na orodha ndefu sana yenye kila aina ya ufisadi alioufanya hayati rais Magufuli kipindi yupo madarakani, kwa sababu...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Hii ni shariti kubwa kabisa na lenye nguvu kabisa katika serikali ya awamu ya sita ambapo upinzani kazi moja waliyopewa ni kusifia maridhiano huku wakichafua uongozi wote wa JPM. Tayari maelekezo...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Wakuu mtazamo wangu ni kuona tunakuwa na vyama vyenye nguvu Zinazolingana au kukaribiana sana Ili ikitokea chama kimoja kikizingua inakuwa rahisi wanachi kukiondoa na kuweka kingine Mwisho wa...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Kamati Kuu ya ACT Wazalendo wameitaka Serikali itangaze ratiba ya mchakato wa Katiba Mpya kama walivyokubaliana kwenye Kikosi Kazi cha Prof. Mukandala. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wake Addo...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Katiba inaruhusu Mikutano ya kisiasa, lakini yeye anavimba kichwa akifikiri yeye ndokafanya juhudi ya kurudishwa mikutano ya hadhara nakati sio yeye ni kikosi kazi Kwa mujibu wa maelezo ya SSH...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
Kwa vile CHADEMA wapo Mara, ingefaa kama wangekwenda kulizuru kaburi la Mwalimu. Kwa sababu inafaa kama watu wanafanya shughuli za kisiasa Mara wapite kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka...
1 Reactions
7 Replies
813 Views
Kongole mama Samia, bahari umeipita, mawimbi umeyamudu, January mpaka Disemba, katikati ya bahari ukiongoza taifa, ukipita mbele ya magwiji ya Dunia, ukilinda mipaka na heshima ya nchi. Nani...
7 Reactions
13 Replies
894 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesisitiza bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi basi hakutakuwepo na uchaguzi mkuu nchini. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini Musoma...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Mi najua wakati wa Magufuli alipitia wakati mgumu sana. Na Mama akaamua kwanza kumuonesha action kidogo. Jamaa akatepeta. Ni binadamu. Umri umeenda na ameshachoka. So akatepeta. Wananchi wameona...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiwasalimia wananchi wa Musoma mjini. = = =
15 Reactions
90 Replies
6K Views
WAZO LA JUMLA Kati ya mambo ambayo CHADEMA imekuwa ikipigania ni pamoja na haki ya kuikosoa Serikali bila ya kutendewa kilicho kinyume na haki, sheria na katiba. Basi kama ilivyo haki kwa CHADEMA...
6 Reactions
12 Replies
840 Views
Ukiangalia yanayoendelea Ikulu kuanzia teuzi hadi nchi inavyoendeshwa unaona kabisa ni JK nyuma ya pazia. Hapa utaona approach ya mama kuhusu safari, kuhusu bandari ya Bagamoyo, kuhusu uwekezaji...
9 Reactions
60 Replies
6K Views
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Mwanza, Kwamba Mapokezi ya Mwamba Mwenyewe, Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe yametikisa Mwanza kwa kishindo kikuu, kiasi cha kusimamisha shughuli...
28 Reactions
94 Replies
7K Views
Kigezo kikuu ni sehemu hizo wanazotoka na wala si dini, Ni mkoa wa Pwani na visiwani na wala sio ukanda mzima huko Tanga kwa mzee makamba, Mtwara kwa bwana Nape, Lindi, n.k. Kwao ustaarabu ni...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…