Kwa uelekeo huu, Dr. Wilbroad Slaa anaweza kurejea CHADEMA

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
876
4,101
Mwanadiplomasia, Padre na mwanaharakati Dr. Slaa ameonyesha Nia yake kuzirejea siasa za chadema na kuachana na siasa za CCM.

Ikumbukwe kwamba Dr. Slaa pamoja na kuteuliwa kuwa balozi hajawahi kutangaza KUJIUNGA NA chama cha mapinduzi Bali aliwahi kutangaza kuachana na siasa.

Pamoja na kuachana na siasa lakini maoni na mapendekezo yake kuhusu siasa za Tanzania yamerudi kuwa yaleyale ya mfumo wa chadema Jambo linalomtenga na watawala wa sasa.

Swali, je tutegemee siku moja kumwoma Dr. Slaa akiwa kwenye meza moja ya majadiliano kuhusu hatma ya Tanzania? Tutegemee Lisu na Dr. Slaa kukutana katika meza ya duara? Tutegemee Lisu kwenda nyumbani Kwa Dr au Dr kwenda kumsabahi Lisu atakaporejea?

Tumezoea vyama vikongwe Duniani vikijiwekea utaratibu wakuwatembelea waasisi na wale waliowahi kuhudumu chini Yao Kwa lengo la kudumisha UMOJA. Je Chadema ina program hiyo?

Endapo tunajadili maridhiano kwanini ndani ya wanachadema hatuoni wakiridhiana?
 
Balozi Silaa ni moja ya wanasiasa tunaowaheshimu sana.

Asirudi kwa walamba asali, ataua legacy yake ya siasa za msimamo sahihi - kutetea wanyonge na masilahi ya nchi kwa kupambana na rushwa.

Ninaamini hawezi kufanya hilo kosa.
 
Asirudi kwa walamba asali? Nani pale ccm ambae halambi asali right now?
 
Mwanadiplomasia, Padre na mwanaharakati Dr. Slaa ameonyesha Nia yake kuzirejea siasa za chadema na kuachana na siasa za CCM.

Ikumbukwe kwamba Dr. Slaa pamoja na kuteuliwa kuwa balozi hajawahi kutangaza KUJIUNGA NA chama cha mapinduzi Bali aliwahi kutangaza kuuchana na siasa.

Pamoja na kuachana na siasa lakini maoni na mapendekezo yake kuhusu siasa za Tanzania yamerudi kuwa yaleyale ya mfumo WA chadema Jambo linalomtenga na watawala wa sasa.

Swali, je tutegemee siku moja kumwoma Dr. Slaa akiwa kwenye meza moja ya majadiliano kuhusu hatma ya Tanzania? Tutegemee Lisu na Dr. Slaa kukutana katika meza ya duara? Tutegemee Lisu kwenda nyumbani Kwa Dr au Dr kwenda kumsabahi Lisu atakaporejea?

Tumezoea vyama vikongwe Duniani vikijiwekea utaratibu wakuwatembelea waasisi na wale waliowahi kuhudumu chini Yao Kwa lengo la kudumisha UMOJA. Je Chadema ina program hiyo?

Endapo tunajadili maridhiano kwanini ndani ya wanachadema hatuoni wakiridhiana?
Ukimpa talaka mkeo then hamsalimiani wala kujuliana hali?
 
Umesema Dk Slaa kurejea chadema, mwishoni unatuuliuza swali tena? Maana yake huna taarifa za uhakika!!
 
Balozi Silaa ni moja ya wanasiasa tunaowaheshimu sana.

Asirudi kwa walamba asali, ataua legacy yake ya siasa za msimamo sahihi - kutetea wanyonge na masilahi ya nchi kwa kupambana na rushwa.

Ninaamini hawezi kufanya hilo kosa.

Hamumuheshimu Slaa, bali mnampaka mafuta kwa mgongo wa chupa baada ya kuacha siasa za kuisulubu CCM.
 
Mwanadiplomasia, Padre na mwanaharakati Dr. Slaa ameonyesha Nia yake kuzirejea siasa za chadema na kuachana na siasa za CCM.

Ikumbukwe kwamba Dr. Slaa pamoja na kuteuliwa kuwa balozi hajawahi kutangaza KUJIUNGA NA chama cha mapinduzi Bali aliwahi kutangaza kuuchana na siasa.

Pamoja na kuachana na siasa lakini maoni na mapendekezo yake kuhusu siasa za Tanzania yamerudi kuwa yaleyale ya mfumo WA chadema Jambo linalomtenga na watawala wa sasa.

Swali, je tutegemee siku moja kumwoma Dr. Slaa akiwa kwenye meza moja ya majadiliano kuhusu hatma ya Tanzania? Tutegemee Lisu na Dr. Slaa kukutana katika meza ya duara? Tutegemee Lisu kwenda nyumbani Kwa Dr au Dr kwenda kumsabahi Lisu atakaporejea?

Tumezoea vyama vikongwe Duniani vikijiwekea utaratibu wakuwatembelea waasisi na wale waliowahi kuhudumu chini Yao Kwa lengo la kudumisha UMOJA. Je Chadema ina program hiyo?

Endapo tunajadili maridhiano kwanini ndani ya wanachadema hatuoni wakiridhiana?
Sioni Dr Slaa akirudi chadema yenye mtu kama lissu akiwa anasujudiwa na wana chadema wengi. Lissu sio mjenzi wa nchi ila mchochezi mvurugaji na kibaraka mkubwa wa mabeberu nchini.
Upinzani usio wa kujenga na wenye malengo mahsusi kuendeleza umma 'constructive and objective' ni vurugo tu.
 
Mwanadiplomasia, Padre na mwanaharakati Dr. Slaa ameonyesha Nia yake kuzirejea siasa za chadema na kuachana na siasa za CCM.

Ikumbukwe kwamba Dr. Slaa pamoja na kuteuliwa kuwa balozi hajawahi kutangaza KUJIUNGA NA chama cha mapinduzi Bali aliwahi kutangaza kuuchana na siasa.

Pamoja na kuachana na siasa lakini maoni na mapendekezo yake kuhusu siasa za Tanzania yamerudi kuwa yaleyale ya mfumo WA chadema Jambo linalomtenga na watawala wa sasa.

Swali, je tutegemee siku moja kumwoma Dr. Slaa akiwa kwenye meza moja ya majadiliano kuhusu hatma ya Tanzania? Tutegemee Lisu na Dr. Slaa kukutana katika meza ya duara? Tutegemee Lisu kwenda nyumbani Kwa Dr au Dr kwenda kumsabahi Lisu atakaporejea?

Tumezoea vyama vikongwe Duniani vikijiwekea utaratibu wakuwatembelea waasisi na wale waliowahi kuhudumu chini Yao Kwa lengo la kudumisha UMOJA. Je Chadema ina program hiyo?

Endapo tunajadili maridhiano kwanini ndani ya wanachadema hatuoni wakiridhiana?
Kwenda zako huko na uzushi wako kaharishe huo uvundo. Subiri kauli ya mhusika
 
Back
Top Bottom