Siri ya hotuba ya Mbowe

Siri ya hotuba ya Mbowe

NTIGAHELA

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
368
Reaction score
257
Mbowe usituone majinga tunajua umelambishwa asali ili uendelee kumtukana Magufuli na najaribu kusema ni moja kati ya masharti uliyopewa ili uendeshe mikutano ya ujinga. Binafsi Magufuli ni mkombozi mana toka Tanzania ipate uhuru, ndiyo nilijua kuwa sisi sio maskini bali umaskini tuliyo nayo unatengezwa na mijinamizi kama nyie.

Magu alithubutu kumpa Mtanzania furaha ambayo hakuwahi kuipata. Mlimsakama kwa vitu vidogo sana ukilinganisha kwa yanayo jiri sasa. Alitaka kuifanya Chato uwe mkoa mlisema ni mbinafsi leo hii mali na wanyama pori wanasombwa kiholela lakini mmetulia tuli.

Mkasema nchi itapigwa mnada kwa mda mfupi kakopa sana, nashangaa leo hii mnajifanya hamuoni huku maisha yanazidi kua magumu.

Umeme, maji, shule ya watoto, kiufupi hali nitete. Nashangaa unasimama mbele ya wananchi ambao wamejikatia tamaa ya maisha kuliko kuongelea mambo ya msingi ya kuwajenga unaenda kufufua mifupa!

Tunajua myasemayo si kweli bali ni visasi vya kunyimwa tonge. Nimalizie kusema kajipangeni upya mana mmeshuudia kilicho wakuta baada ya kuropoka. Msipo badili agenda haki ya mama mtajaniambia.
 
Maridhiano: Samia karidhia kuruhusu mikutano ya kisiasa na kuahidi katiba mpya, je wengine wameridhia nini kwa upande wao?
 
Ndugu wa marehemu wana mharo! Yaani kwa msimamo aliyoonesha Samia kwenye hili la mapatano na kuondoa uhasama utakuwa mpinzani uchwara ukimtukana! Watu kawafutia makesi kibao, kawarudia pesa zao walizonyimwa/chukuliwa na marehemu, wamepewa uhuru wanatembea kwa uhuru wakifanya siasa yao then leo waseme Samia hajawatendea yaliyomema?
 
CDM wajifunze yaliyompata Makamba alipowasema marehemu na pia wajifunze yaliyotokea Rufiji kwa kushangiliwa mtoto wa Magufuri bila jukwaa kuu kutegemea. Siasa za wananchi wanyonge ukizitenganisha na Magufuri imekula kwako,this is an intricate area they must be carefully. Kama ni wajanja wawahi kuanza kutambua legacy zake nzuri na kuzifungamanisha na yeye binafsi na zile mbaya wazifungamanishe na Sera mbovu za CCM. Ushauri wa bure, wasome political climate.
 
Maridhiano: Samia karidhia kuruhusu mikutano ya kisiasa na kuahidi katiba mpya, je wengine wameridhia nini kwa upande wao?
Katiba mpya wanayotaka chadema ni kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi.

Kitu ambacho hakiwezi kutokea inchi hii ktk utawala wa CCM..
 
Mbona mnahangaika na li CHADEMA ambalo lilishakufa toka lile li mwenyekiti lao lilipobadili gia angani mwaka 2015 ? Mtanzania mwenye akili timamu hawezi kushabikia upinzani wa CHADEMA. Hao hawana sera kabisa kilichobaki ni kulambishwa asali tu. Nchi hii hakuna upinzani wa kweli si Zitto wala Mbowe.
Wacha CCM itawale hata miaka mia ijayo hakuna shida.
 
Maridhiano: Samia karidhia kuruhusu mikutano ya kisiasa na kuahidi katiba mpya, je wengine wameridhia nini kwa upande wao?
Maridhiano ni ya viongozi wa kisiasa tu maana wao ndio wanaonekana sana kuplay victims.

Sisi wengine tunapambana na ugumu wa maisha sisi na familia zetu.
 
Mbowe usituone majinga tunajua umelambishwa asali ili uendelee kumtukana magufuli
Duh...!.
na Najaribu kusema ni1 kati ya masharti ulopewa ili uendeshe mikutano ya ujinga.
Duh...!, yaani mikutano ya hadhara unaiita mikutano ya ujinga?!.
Nimalizie kusema kajipangeni upya mana mmeshuudia kilicho wakuta baada ya kuropoka. Msipo badili agenda haki ya mama mtajaniambia
Duh...!. Nasubiria kwa hamu hizo ajenda
P
 
Chadema imepotea sijui atakuwa kalamba bilions ngapi au Trilions ngapi ni maajabu sana jitu limekaa Jela Kwa kuonewa kabisa Leo hii limekuwa lifufu fufu, kweli usaliti wa mchaga na ubinafsi uko kwenye pesa.
Ajiangalie sana kama hakulewa basi kwa ongea Ile na sauti Ile na akili Ile ajue mizimu haijalala.
 
Mbowe usituone majinga tunajua umelambishwa asali ili uendelee kumtukana Magufuli na najaribu kusema ni moja kati ya masharti uliyopewa ili uendeshe mikutano ya ujinga. Binafsi Magufuli ni mkombozi mana toka Tanzania ipate uhuru, ndiyo nilijua kuwa sisi sio maskini bali umaskini tuliyo nayo unatengezwa na mijinamizi kama nyie.

Magu alithubutu kumpa Mtanzania furaha ambayo hakuwahi kuipata. Mlimsakama kwa vitu vidogo sana ukilinganisha kwa yanayo jiri sasa. Alitaka kuifanya Chato uwe mkoa mlisema ni mbinafsi leo hii mali na wanyama pori wanasombwa kiholela lakini mmetulia tuli.

Mkasema nchi itapigwa mnada kwa mda mfupi kakopa sana, nashangaa leo hii mnajifanya hamuoni huku maisha yanazidi kua magumu.

Umeme, maji, shule ya watoto, kiufupi hali nitete. Nashangaa unasimama mbele ya wananchi ambao wamejikatia tamaa ya maisha kuliko kuongelea mambo ya msingi ya kuwajenga unaenda kufufua mifupa!

Tunajua myasemayo si kweli bali ni visasi vya kunyimwa tonge. Nimalizie kusema kajipangeni upya mana mmeshuudia kilicho wakuta baada ya kuropoka. Msipo badili agenda haki ya mama mtajaniambia.
Sijui ni kwanini najisikia nimle nyama mtu anayetaka kumsifu yule lucifer aliyeniulia ndugu yangu. JPM ni LUcifer na mahali pake ni motoni! Ni haki kumpiga mawe popote anapotajwa!
 
Maridhiano ni ya viongozi wa kisiasa tu maana wao ndio wanaonekana sana kuplay victims.

Sisi wengine tunapambana na ugumu wa maisha sisi na familia zetu.
Na ni kweli unafikiri hali ilivyo sasa mwananchi wa kawaida anawaza hayo maridhiano sijui mikutano? Wenyewe wanasiasa wamepigania walichokitaka na kukipata ila sie wananchi bado tunapambana tu na ya kwetu.
 
Ni matusi gani hayo mpendwa wako marehemu katukanwa na chadema? Majibu tafadhali
 
Wewe ni Nani Kwanza mpaka kiapo chako kiwe ndo tamko rasmi? Watuasi wa Dikteta hamtaki aguswe Kwa unyama aliofanya? Nendeni mahakamani basi. Tutamsema na Kwa Taarifa yako tutamsema alivyoua na alivyokwapua Mali za watu.
Kwenye kuua ua magufuri sitakaa nimsamehe. Shweitan mkubwa. Ovyo kabsa.
Ubora wa Samia unatokana na ubovu wa magufuri!
Mtu anayechukulia uhai wa mtu mwingine kirahis rahis kisa kuna mambo ya kidunia tu jamaa lilifanya namchukulia kama nguruwe tu. Akili za kunya na kula hapo hapo.
Tuthamini uhai maana ni non replaceable!
Eti marehem hasemwi vibaya wakati historia huwa haijifichi!
.....injustice for one is injustice for all...
 
Back
Top Bottom