Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,776
- 34,761
Baada ya jana CHADEMA kupata aibu pale Mwanza kwa kukosa kuungwa mkono na wananchi walio wengi. Kama ilivyo kawaida yangu, asubuhi na mapema nimekimbilia Musoma ili kuona kitakachojiri.
Nipo huku Musoma nazunguka sehemu tofauti, Ila sioni kabisa wananchi wakizungumza lolote kuhusu mkutano wa CHADEMA. Watu wapo busy na mambo yao.
Bado hadi sasa sijaelewa kwamba wameikataa CHADEMA au nini kinaendelea. Muitikio ni mdogo sana, tofaut na Mwanza huku Musoma hakuna magari ya matangazo yanayopita mtaani kutanganza kuhusu mkutano.
Nimepita hapo viwanja vya shule ya Msingi mkendo nyuma ya airport, naona kuna maandalizi hafifu sana huku wanachama wachache wa CHADEMA wakiwa kwenye vikundi wanateta huenda kuna mgomo baridi.
Nitawaletea kila kitachojiri na picha za ukweli. Jana walikuwa wanapiga picha kiujanja sana, ndio maana hawakuweka hata picha moja ya drone. bahati mbaya kwao kuna sisi wengine tulikuwepo na tuliweza kuwaletea picha halisi.