Mrisho Gambo ni Kirusi hatari anayetafuna viongozi Arusha

waziri2020

Senior Member
May 31, 2019
190
451
Mkurugenzi wa jiji Dkt John Pima ni miongoni mwa viongozi 9 walioangukia mikononi mwa Gambo katika vita wasioshinda.

Viongozi wengine ambao Gambo aliowatengenezea ajali na kuondolewa Arusha ni pamoja ,Mpanda aliyekuwa katibu mkuu wa ccm mkoa wa Arusha, Ntibenda aliyekuwa Arusha,Daqaro aliyekuwa DC Arusha, Dkt Maulid Madeni aliyekuwa Ded jiji la Arusha pamoja na viongozi kibao ndani ya CCM, pamoja Shana aliyekuwa RPC Arusha.

Tabia ya Gambo anataka kuabudiwa na kutukuzwa kama aliyokuwa akiabudiwa na marehemu Shana aliyekuwa RPC Arusha,Joseph Masawe M/kiti wa CCM Wilaya ya Arusha. Tabia hii lazima ccm wajifunze kuchagua viongozi watakaowaunganisha wananchi na viongozi na sio kuwagawa.
 
Viongozi wengine ambao Gambo aliowatengenezea ajali na kuondolewa Arusha ni pamoja ,Mpanda aliyekuwa katibu mkuu wa ccm mkoa wa Arusha, Ntibenda aliyekuwa Arusha,Daqaro aliyekuwa DC Arusha,dkt Maulid Madeni aliyekuwa Ded jiji la Arusha pamoja na viongozi kibao ndani ya ccm ,pamoja Shana aliyekuwa rpc Arusha,

Tabia ya Gambo anataka kuabudiwa na kutukuzwa kama aliyokuwa akiabudiwa na marehemu Shana aliyekuwa RPC Arusha,Joseph Masawe mwekiti wa ccm Wilaya ya Arusha.Tabia hii lazima ccm wajifunze kuchagua viongozi watakaowaunganisha wananchi na viongozi na sio kuwagawa.

Gambo hafai kuwa kiongozi ni mtu wa hovyo sn
 
Mafisadi yanamlaumu Gambo kwa kuwafichua mchana peupe, nasema hivi Gambo kaza hapohapo mpaka ukumbukwe na vizazi vijavyo.

Gambo ni mtu anayechukia rushwa kweli nakumbuka kwenye kilele Cha mbio za mwenge 2017 kule Ngorongoro Hayati Magufuli alipiga marufuku sherehe hizo na Gambo akawa wa kwanza kurudisha posho ya safari ya ziara hizo.

Linapokuja suala la ufisadi na rushwa huwa siangalii Nani kafichua na ana historia gani, ninachoangalia ni wanaohusika wamechukuliwa hatua gani.

Tunaomba Serikali muwashughulikie wote waliotajwa na Gambo, mbona Musukuma alimtaja mkurugenzi wa Geita na hakukuwa na Nongwa? Kwa nini Gambo?
 
Mkurugenzi wa jiji Dkt John Pima ni miongoni mwa viongozi 9 walioangukia mikononi mwa Gambo katika vita wasioshinda.

Viongozi wengine ambao Gambo aliowatengenezea ajali na kuondolewa Arusha ni pamoja ,Mpanda aliyekuwa katibu mkuu wa ccm mkoa wa Arusha, Ntibenda aliyekuwa Arusha,Daqaro aliyekuwa DC Arusha, Dkt Maulid Madeni aliyekuwa Ded jiji la Arusha pamoja na viongozi kibao ndani ya CCM, pamoja Shana aliyekuwa RPC Arusha.

Tabia ya Gambo anataka kuabudiwa na kutukuzwa kama aliyokuwa akiabudiwa na marehemu Shana aliyekuwa RPC Arusha,Joseph Masawe M/kiti wa CCM Wilaya ya Arusha. Tabia hii lazima ccm wajifunze kuchagua viongozi watakaowaunganisha wananchi na viongozi na sio kuwagawa.
Jikite kwenye HOJA rasmi.

Huo ufisadi aliowahusisha nao ni wa Mchongo au ukweli?

Je mlikuwa wapi kuyasema haya mpaka leo hii anapowataja mbele ya waziri mkuu?

Tatizo nchi hii ni ufisadi uliopitiliza na kuonekana kama njia halali kabisa za kuendeshea maisha.

Pale anapotokea kiongozi mmoja kuwa tofauti na walio wengi......

Basi ndio tunayaona haya mpaka kwa Gambo toka kwa Magufuli.
 
Chuki za BAVICHA hizo baada wa kondakta Lema kushindwa na Gambo Arusha
 
Mkurugenzi wa jiji Dkt John Pima ni miongoni mwa viongozi 9 walioangukia mikononi mwa Gambo katika vita wasioshinda.

Viongozi wengine ambao Gambo aliowatengenezea ajali na kuondolewa Arusha ni pamoja ,Mpanda aliyekuwa katibu mkuu wa ccm mkoa wa Arusha, Ntibenda aliyekuwa Arusha,Daqaro aliyekuwa DC Arusha, Dkt Maulid Madeni aliyekuwa Ded jiji la Arusha pamoja na viongozi kibao ndani ya CCM, pamoja Shana aliyekuwa RPC Arusha.

Tabia ya Gambo anataka kuabudiwa na kutukuzwa kama aliyokuwa akiabudiwa na marehemu Shana aliyekuwa RPC Arusha,Joseph Masawe M/kiti wa CCM Wilaya ya Arusha. Tabia hii lazima ccm wajifunze kuchagua viongozi watakaowaunganisha wananchi na viongozi na sio kuwagawa.
Shida ya Pm Majaliwa huwa ana kurupuka. Ila Pima pamoja na kufanya kazi zake za serikali kama kada wa Ccm bado ni jembe.
 
Jikite kwenye hoja ya ufisadi wa hao uliowataja kuonewa.

Kwamba Serikali imuonee Mkurugenzi wa Jiji
la Arusha kwa sababu ya Gambo huku PM na vyombo vya uchunguzi vikubaliane nalo?!

Hamna vyombo vya uchunguzi bongo zaidi ya vikundi vya Majungu na wafitini. Umbea na fitina ndio hufanyiwa kazi ili kukomoana.
 
Moja ya ukanda mgumu kabisa kufanya kazi Kwa mtu mpenda haki na mwajibikaji wa kweli, ni Kanda ya kaskazini has a Arusha!

Ukweli lazima usemwe, watu wa kule inafahamika na watu wote kwamba, ni wezi na wapenda kuiba Kwa namna yoyote ile

Kwa kuwa hali ile ipo kwenye damu zao, basi huwa wanailinda Kwa hali yoyote ile pindi onapotokea mmoja akiwakwamisha kwenye magendo yao!

Watu wa Arusha, hawapendi ukweli, wanapenda shortcut iwe kwenye biashara zao, serikalini na hata kwenye secta binafsi si waungwana hata kidogo

Inapotokea kijana mmoja akiwakinyume na wao, watadili naye Kwa kumsingizi ili tu ikiwezekana hata afie jela kama walivyomfanyia kijana yule Sabaya! Watamtengenezea maneno ya uwongo na ikiwezekana atatafutiwa mizengwe pasipo yeye kufahamu na kujikuta akiangukia police

Gambo kaamua kusema ukweli, angalia cheni inayomfuatilia!!

Taifa hili likikosa waungwana, litaangamia kabisa,

Nimehi kufanya kazi na vijana wa huko Arusha kwenye kampuni moja hivi, ile lugha ya unajituma na kujifanya msamalia mwema hii kampuni ni ya babaako??

Hiyo lugha wanayo sana wenzetu huko, Wao kwao pesa mbele kuliko wao walivyo!
 
Huko kwenu Geita kwenye waaminifu na wachapa kazi mbona mmeshindwa hata kupaendeleza mpaka sasa mnakunywa maji na mifugo?
 
Back
Top Bottom