UPDATES: Hatimaye Tundu Lissu aanza safari ya kurejea nyumbani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,759
218,380
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana! Taarifa ya sasa iliyotolewa na Tundu Lissu mwenyewe inaonyesha kwamba Tayari Lissu yupo Uwanja wa Ndege wa Brussels kwa ajili ya kurejea nyumbani.

Amesema kwa mujibu wa ratiba ya safari ilivyo, asubuhi atakuwa amefika Addis Ababa, Ethiopia na kwamba baadaye saa 7 na dk 35 atakuwa JK Nyerer Airport DSM.



Tunamtakia safari njema.
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Taarifa ya sasa iliyotolewa na Tundu Lissu mwenyewe inaonyesha kwamba Tayari Lissu yupo Uwanja wa Ndege wa Brussels kwa ajili ya kurejea nyumbani...
Tanzania ni salama kila atakaye aje! Muhimu ukiwa Tanzania tambua ni dola imara🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom