Jerry Muro ndiye DC pekee ambaye bado ana U-Sabaya USabaya?

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Mimi ni kada kindakindaki wa Chama cha mapinduzi lakini ningeomba katika andiko langu nichukuliwe kama mzalendo anayependa maadili ndani ya chama na serikali ya Mama yetu mpendwa. Kama DC Muro ana wapambe wake humu na itawagusa basi wacha iwaume lakini wajifunze.

Jerry Muro binafsi nimekua nikifuatilia kauli zake za kujiapia kupoteza watu wanaompinga yeye, kujiapia kutotangaza majina ya washindi wa uchaguzi, Yeye kama nani?wakati DC hatakiwi kukaribia milango ya vituo vya wapiga kura? Ndani ya CCM ni lini tutawamaliza kina Sabaya hawa ili chama hiki kiwe chama cha watu? DC anapata wapi ujasiri wa kuwaambia kinamama watabaki wajane? Yeye ataishi milele? Kwani mke wake hawezi kua mjane siku moja?

Ninamuomba Rais wangu kipenzi Samia Suluhu Hassan ambaye nimetokea kumwelewa sana kuliko Marais wote waliopita ukimtoa Mwl Nyerere, amtazame sana hatua kwa hatua ndugu Jerry Muro hata kwenye uadilifu wake juu ya usimamizi wa rasilimali za umma na utendaji wake kwa ujumla. Ni mtu ambaye mabega yako juu wakati wote, ndani ya chama hatutaki hii tabia na mwisho wake si mzuri.

Nimuombe tu DC Muro aache tabia hizi, serikali hii ni ya wananchi siyo yake. Wenye kutoa hukumu juu ya utekelezaji wa ilani ya chama ni Wananchi na siyo yeye. Asimwakilishe Rais wetu vibaya akalaumiwa.
 
Sijawahi kumsikia akijisifu toka mwendazake aondoke, wewe utakuwa unakutana nae kwenye mambo yenu huko ndio anakutishia.
Hahaha, Muro kaufyata kimyaa! Kuna siku alijitutumua akaongea utopolo wake kuhusu katiba mpya, akapigwa kamkwara kidogo tu, kesho yake kwa unyenyekevu akarekebisha kauli!! Mimi nawashangaa sana wanaosema Samia dhaifu, upole wa mtu haina maana ni dhaifu, mbona kawatuliza wainua mabega wote? Wengine hadi wanatoa vilio (Musiba &Sabaya), akina Dotto James, Kheri James, Kalemani, Bashiru, Polepole, Gwajima wako wapi sasa? Kufokafoka majukwaani na kupiga mikwara mbuzi haina maana wewe ndiyo mkali au utaogopeka, watu wanamuogopa mtu mwadilifu, asiye na doa na anayemean business kutoka moyoni mwake!
 
651DEC78-5561-4AC5-A056-1993B173D561.jpeg
 
NATUMAINI HALMASHAURI KUU YA CCM IMEKUSIKIA.
 
Afute kabisa masalia

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha, Muro kaufyata kimyaa! Kuna siku alijitutumua akaongea utopolo wake kuhusu katiba mpya, akapigwa kamkwara kidogo tu, kesho yake kwa unyenyekevu akarekebisha kauli!! Mimi nawashangaa sana wanaosema Samia dhaifu, upole wa mtu haina maana ni dhaifu, mbona kawatuliza wainua mabega wote? Wengine hadi wanatoa vilio (Musiba &Sabaya), akina Dotto James, Kheri James, Kalemani, Bashiru, Polepole, Gwajima wako wapi sasa? Kufokafoka majukwaani na kupiga mikwara mbuzi haina maana wewe ndiyo mkali au utaogopeka, watu wanamuogopa mtu mwadilifu, asiye na doa na anayemean business kutoka moyoni mwake!
Wapigaji awamu hii mnasifia huku mnakenua mkijua wapi mnafaidika. Mperampera wa awamu ya 5 hamtausahau.
 
Kusifia kwisha kabisa yaliyobaki ni mateso. Rasi Mama SSH songa mbele Mungu mpenda haki atakusimamia daima
 
Wapigaji awamu hii mnasifia huku mnakenua mkijua wapi mnafaidika. Mperampera wa awamu ya 5 hamtausahau.
Hivi kuna mtu alivuna na kupiga (Akitetewa na baba yake) kama Bashite awamu ya 5? Acheni unafiki nyinyi, mshahara wa mil 5 unawezaje kununua gari la zaidi ya mil 300, na hakununua gari moja!! Awamu hii ndiyo haina upigaji sasa, Kiongozi mkuu hana doa hata 1 la upigaji
 
Wapi Makonda mtoto pendwa wa Mwendawazimu jiwe
Alikua anajiona Kama daslamu kaijenga yeye yule mshamba wa Kolomije,
Naomba mamlaka zimulike Kuna Kila dalili ubadhilifu alifanya,
Haiwezekani ndani ya muda mfupi amiliki Mali nyingi vile na experience ya kawaida hii kitu haiwezekani asilani Kwa mtumishi wa umma

Note Sina chuki na wivu Kwa mtu yeyote alifanikiwa,Wala Sina roho mbaya ya kumkandia jamaa kisa tajiri

Ila hapa tunataka tuweke mambo Sawa Ili vijana tukipewa dhamana tusiwe na tamaa za mafanikio ya haraka njia inayopelekea kufanya hujuma nyingi Sana Ili kujinufaisha matumbo yetu badala ya kujenga Nchi Kwa uaminifu ndipo mambo mengine yaje Kwa majaaliwa!
 
Back
Top Bottom