Mikutano ya Hadhara ya CHADEMA yadoda, yakosa Watu

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,200
27,250
Katika hali ambayo ilitegemewa na wengi kutokea ya CHADEMA kukosa watu kwenye mikutano yao, imepelekea chadema kutoendelea na mikutano hiyo.

Wote tunakumbuka chadema walikuja na kila aina ya shamra shamra ya kufanya mikutano bila kujua kuwa watu hawapo tayari kuwasikiliza. Werevu tulisubiri muda uamue.

Watu sasa hivi wapo busy sana kusaka pesa na kuinua uchumi wa nchi. Serikali imeweka mazingira rafiki ya kukuza uchumi wa kila mmoja, hivyo muitikio ni mkubwa mno.

Nini kifanyike?
Chadema inapaswa kuamua kusuka au kunyoa, namaanisha waache kabisa mikutano au waendelee hivyohivyo kuhutubia uwanja mtupu.

Chini nj picha ambayo mkutano huo wa hadhara ulikosa watu na hivyo kuhairishwa.

Nitaleta picha na video kila sehemu ambayo watakua na mkutano ili kuwapa ukweli wa mambo yalivyo kwa ground.

20230106_095206.jpg
 
Halmashauri zote tz zimetandazwa barabara za lami za tarura, ruwasa nao mabomba ya maji kila mtaa wameweka, majengo ya madarasa na zahanati yanachipuka kama uyoga, sasa mtanzania gani ataenda kusikiliza porojo za pinga pinga FC?
 
Pumbafu wewe unamdanganya nani CHADEMA WAMEANZA LINI MIKUTANO YA HAZALA?
Ni HADHARA Chief hahaha, ila ukiacha hilo zama hizi za mitandao ni ngumu kukusanya nyomi kama miaka 7 iliyopita, plus globalization inafungua sana watu akili, so tusishangae sana mikutano mingi ikija kosa watu. USHAURI vyama vya siasa viweke nguvu kubwa kwenye IT
 
Nimeedit MKUU SI unajua haya ma POPOMA ya lumumba Yana upumbafu mwingi sana
 
Nani aende kusikiliza kisichotekelezwa aacha shughuri yake?

Kila mtu apambane na hali yake,

Ccm walambaji asali nyie hamfai kama nini
 
Kumbe CHADEMA ipo hai Bado au mmeifufua Tena s mlisema CHADEMA imekufa jaman Sasa inakuwaje mnaitaja taja

CHADEMA ipo rohon mwa wananchi
 
Katika hali ambayo ilitegemewa na wengi kutokea ya chadema kukosa watu kwenye mikutano yao, imepelekea chadema kutoendelea na mikutano hiyo...
Bila shaka wewe ni mwanga mkubwa. Hiyo mikutano ya CHADEMA ilianza lini? Picha zinaonyesha ni usiku. Huko kwenye mikutano yenu ya washirikina mnabeba bendera za CHADEMA ili zifanye nini?

Wendawazimu kama huyu mleta mada, wamewekeza kwenye uchawi wakiamini wanaweza kuroga kuzuia watu kuhudhuria mikutano ya vyama vya upinzani kama walivyofanya mwaka 2015 kwenye chaguzi. CCM ijitenge na wajinga kama huyu mleta mada wanaoamini kuwa ushirikina una nafasi katika siasa.
 
Ni HADHARA Chief hahaha, ila ukiacha hilo zama hizi za mitandao ni ngumu kukusanya nyomi kama miaka 7 iliyopita, plus globalization inafungua sana watu akili, so tusishangae sana mikutano mingi ikija kosa watu. USHAURI vyama vya siasa viweke nguvu kubwa kwenye IT
Ya nini kutapatapa? Si tusubiri watakapoanza mikutano? Sasa kama huyu mwehu anasema kuna mikutano imekosa watu wakati hata hiyo mikutano haijaanza! Inaonekana jukwaa sana limewaletu mpaka wehu.
 
Jamaa wamekosa mvuto kabisa, wakiwa space wanabweka kweli kweli, Sasa watoe nje, mkia unajikunjia kunako
 
Katika hali ambayo ilitegemewa na wengi kutokea ya chadema kukosa watu kwenye mikutano yao, imepelekea chadema kutoendelea na mikutano hiyo.

Wote tunakumbuka chadema walikuja na kila aina ya shamra shamra ya kufanya mikutano bila kujua kuwa watu hawapo tayari kuwasikiliza. Werevu tulisubiri muda uamue.

Watu sasa hivi wapo busy sana kusaka pesa na kuinua uchumi wa nchi. Serikali imeweka mazingira rafiki ya kukuza uchumi wa kila mmoja, hivyo muitikio ni mkubwa mno.

Nini kifanyike?
Chadema inapaswa kuamua kusuka au kunyoa, namaanisha waache kabisa mikutano au waendelee hivyohivyo kuhutubia uwanja mtupu.

Chini nj picha ambayo mkutano huo wa hadhara ulikosa watu na hivyo kuhairishwa.

Nitaleta picha na video kila sehemu ambayo watakua na mkutano ili kuwapa ukweli wa mambo yalivyo kwa ground
View attachment 2479776
Uko biased Kwa Nini usingepiga picha mchana?
 
Bila shaka wewe ni mwanga mkubwa. Hiyo mikutano ya CHADEMA ilianza lini? Picha zinaonyesha ni usiku. Huko kwenye mikutano yenu ya washirikina mnabeba bendera za CHADEMA ili zifanye nini?

Wendawazimu kama huyu mleta mada, wamewekeza kwenye uchawi wakiamini wanaweza kuroga kuzuia watu kuhudhuria mikutano ya vyama vya upinzani kama walivyofanya mwaka 2015 kwenye chaguzi. CCM ijitenge na wajinga kama huyu mleta mada wanaoamini kuwa ushirikina una nafasi katika siasa.
Hujawahi kuwa na akili
 
Back
Top Bottom