Ujumbe wa Wazee - Ikulu Zanzibar

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
732
475
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezawadiwa kofia ikiwa ni ishara ya upendo na Ndugu. Suleiman Mtumwa Vuai ambaye ni Mwenyekiti wa Wazee Mkoa wa Kusini Unguja.

Ujumbe huo wa Wazee ulimtembelea Ikulu Zanzibar na kumpongeza kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar.View attachment 2501720View attachment 2501721
1675185205068.jpg
 
Leo nilishangaa kuona hii picha ukutani (nilipiga kwa kuibia) ikulu akiwepo huyu mzee kulia...
IMG_20230131_203349.jpg
 
Back
Top Bottom