Kwa matukio haya sioni uzalendo na utetezi wa wanyonge wa hayati. Dkt. Magufuli

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,073
Najua nitatukana na machawa ya mwendazake lakini ukweli lazima usemwe

Je, uzalendo na utetezi kwa wanyonge aliojiita mwendazake upo wapi kama haya aliweza kuwatendea hao hao wanyonge?

1. Kuwadanganya kuwa tutalipwa kodi ya tril. 360 za Barrick kumbe ni kanyaboya?

2. Fedha za plea bargain kutoonekana na kufunguliwa acc wakati hizo fedha zingetumika kuwahudumia wananchi wanyonge aliodai anawapigania.

Je, uzalendo wake ni upi?

malisa_gj_1675178791761640.jpg
1666239830215.jpg
1664915659087.jpg
 
Nayeye hizo zinazosemekana anahamishia Dubai kwa kushirikiana na vijana wake akumbuke akiondoka ajaye atazisema. Kwahio asifikirie ndio kamaliza 🤣
 
Mwendazake HASAFISHIKI hata KICHAA hawezi KUMTETEA ni Mwizi
Uliona wapi mwizi amnyooshee kidole mwizi mwenzake!?
Yan kweli Hangaya aliyezungukwa na kina marope na madelu anaweza
kuwa msafi kiasi cha kumnyooshea kidole Magufuli!?
Mwizi wa kweli watanzania wanamjua na hata wezi wenzake wanashukuru sasa
wanalamba asali
 
Kama mwizi lazima anyooshewe VIDOLE na Hagaya atanyooshewa baadae ila kwa sasa MWENDAZAKE ndio MHUSIKA mbona na yeye alidai NCHI hii Tumeibiwa sana?
 
Ni ajabu mheshimiwa kuunda tume ikatafiti chanzo cha tatizo ambalo tayari ana majibu yake!
 
Kama mwizi lazima anyooshewe VIDOLE na Hagaya atanyooshewa baadae ila kwa sasa MWENDAZAKE ndio MHUSIKA mbona na yeye alidai NCHI hii Tumeibiwa sana?
Mkuu kuna kitu kinaitwa thinking, halafu thinking clearly.
Swali hizo hela zimeibiwa baada ya kifo au kabla ya kifo!?
Na vipi kuhusu ile riport ya watu kuchota mihela hazina baada ya kifo
mpaka leo haijatolewa na wakati huo waziri wa fedha akapewa umakamu
katibu mkuu Dotto James akapelekwa wizara nyingine, Kabudi akamuweka ikulu, DPP akampa ujaji.
Kama ni ufisadi kwanini awapandishe vyeo watuhumiwa hao anao dai walishiriki!?
 
Najua nitatukana na machawa ya mwendazake lakini ukweli lazima usemwe

Je, uzalendo na utetezi kwa wanyonge aliojiita mwendazake upo wapi kama haya aliweza kuwatendea hao hao wanyonge?

1. Kuwadanganya kuwa tutalipwa kodi ya tril. 360 za Barrick kumbe ni kanyaboya?

2. Fedha za plea bargain kutoonekana na kufunguliwa acc wakati hizo fedha zingetumika kuwahudumia wananchi wanyonge aliodai anawapigania.

Je, uzalendo wake ni upi?

View attachment 2502122View attachment 2502129View attachment 2502131
Yule dingi alikuwa mpigaji sana
 
Back
Top Bottom