Rais Samia ikikupendeza mfuatilie kijana wako Bwana Mponela Mathei mwenyekiti mstaafu wa UVCCM wilaya ya Kigamboni, ana CV nzuri sana

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,318
8,228
Rais DKT Samia Suluhu CV ya mwenyekiti msitaafu wa UVCCM wilaya ya Kigamboni bwana Mponela Mathei inavutia sana.

Bwana Mponela Mathei ni mwenyekiti mstaafu wa UVCCM wilaya ya Kigamboni. Amekua mwenyekiti kutoka 2017 mpaka 2022.

Elimu ya sekondari amesoma shule ya sekondari KIGAMBONI alichukua masomo ya biashara.

Kidato cha tano na sita amesoma shule ya sekondari TAMBAZA. Alichukua masomo ya Economics, Commerce na Accounting (ECA).

Shahada ya kwanza amesomea chuo cha IFM. Akatunukiwa shahada ya uhasibu (BA in Accounting). Amefanya kazi katika shirika la mafuta akaamu kujiendeleza kwa level ya masters ya Fedha na Uhasibu katika Mafuta na Gesi.

Kijana wako mwenyekiti mstaafu wa UVCCM Kigamboni ana shahada ya Uzamili wa Fedha na Uhasibu katika Mafuta na Gesi (Masters of Finance and Accounting in Oil and Gas), UDSM.

Natambua ilivyo kazi kupata nafasi ya kusoma shahada hii pale UDSM kwa mtu asiye smart. Nakumbuka walihitimu watano na hii ina aksi jinsi chama chetu kilivyo na vijana smart.

Kijana huyu chama kingemtumia zaidi anavitu vingi vya kutusaidia.

Ahsante:
 
Jiajiri.
Rais DKT Samia Suluhu CV ya mwenyekiti msitaafu wa UVCCM wilaya ya Kigamboni bwana Mponela Mathei inavutia sana.

Bwana Mponela Mathei ni mwenyekiti mstaafu wa UVCCM wilaya ya Kigamboni. Amekua mwenyekiti kutoka 2017 mpaka 2022.

Elimu ya sekondari amesoma shule ya sekondari KIGAMBONI alichukua masomo ya biashara.

Kidato cha tano na sita amesoma shule ya sekondari TAMBAZA. Alichukua masomo ya Economics, Commerce na Accounting (ECA).

Shahada ya kwanza amesomea chuo cha IFM. Akatunukiwa shahada ya uhasibu (BA in Accounting). Amefanya kazi katika shirika la mafuta akaamu kujiendeleza kwa level ya masters katika mafuta na gesi.

[/QUOT]

Itakuwa ndio wewe.
 
Naunga mkono pendekezo lako
 
Uchawa tuu

Sema akuangalie wewe

Kuliko kusema muangalie

Ndio wewe huyuu
 
Back
Top Bottom