Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,889
- 8,487
Wadau habari.
Huku kwetu Kilimanjaro tangu kuanzishwa kwa vyama vingi nchini zaidi ya miaka 30 iliyopita tulikuwa tunachagua viongozi wa vyama vya upinzani hasa CHDEMA kutuongoza lakini kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 tulibadilika na kuamua kuichagua ccm kwa kishindo hakika hatujajutia na tunamshukuru Mungu sana kwa hili.
Chini ya viongozi wa CCM Kilimanjaro na Arusha imetulia kabisa, miradi inajengwa na watalii wanamiminika kwa wingi kwa sababu hamna maandamano ya kijinga tena.
Barabara nzuri kama ile ya Arusha imejengwa na juzi tu Rais Samia amezindua hospitali ya kisasa kabisa na kiwanda cha nyama kikubwa Afrika mashariki na kati.
Hakika wana Hai na wana Kilimanjaro tunashukuru sana kuonja utamu wa ccm na hatutarudi tena Misri kwani tulibagazwa na kucheleweshwa sana CHADEMA.