Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo imeendelea kuwa siku njema kwa wengi na chungu mno kwa wale wengine. Akihojiwa na Mwananchi, amekuwa wazi kuhusu chokochoko za wachawi: Ama kwa hakika washindwe na walegee. Katiba mpya ni...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Hebu fikiria mama Samia alitoka wapi kwenye bunge la katiba? Tatizo la chadema wanataka kupewa katiba kwa hisani, kama mwl nyerere alivyoruhusu vyama vingi vya siasa, Ccm ina asasi nyingi...
5 Reactions
76 Replies
4K Views
Sipati majibu. Hivi kweli Sasa hivi ninapoandika hii post JF, Jaji Biswalo anaenda mahakamani, anapigiwa saluti, anasikiliza kesi za wezi, wanaotumia mamlaka vibaya, halafu anawafunga? Kweli...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari, mama nikupongeze kwa dhamira yako nzuri ya kuliponya Taifa, lkn ili tume ya haki jinai ifanye kazi vzr nashauri mambo 3. 1. Tuombe msaada toka nje kwa wabobevu wa uchunguzi, na tume hii...
1 Reactions
12 Replies
824 Views
Tunavyofahamu sisi Wananchi ni kwamba mapendekezo ya Katiba mpya yako kwenye Ripoti ya Kikosi Kazi cha Prof Mkandalla Kwamba, Vyama vyote vya Siasa isipokuwa Chadema ndio viliandaa Ripoti hiyo...
1 Reactions
15 Replies
995 Views
Mheshimiwa Tundu Lissu sijui kwa uumbaji, malezi, usomi, au ujuaji amekuwa akiwaita wananchi wetu walioajiriwa jeshi la polisi kwa jina la MAPOLISI badala ya polisi au askari wa jeshi la polisi-...
-4 Reactions
33 Replies
2K Views
Rais Samia alipoingia madarakani alikuta mtangulizi wake akiwa ameanzisha Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, ikiongozwa na Dkt.Faustine Ndugulile. Wizara hii ingawa ilikuwa katika...
1 Reactions
1 Replies
805 Views
Mh rais Samia,sisi wana ccm tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie mwenyekiti wa Chadema Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za...
0 Reactions
4 Replies
613 Views
Rev. John E. Kimario Watu wa Mungu, watanzania wenzangu nawasalimu kwa upendo na kwa jina lipitalo majina yote. Kama tujuavyo HAKI HUINUA TAIFA, leo natuma waraka huu kwenu ukazidi kuifanya haki...
2 Reactions
2 Replies
499 Views
Kumchafua Magufuli ni jambo gumu sana ambalo limefanywa kwa nguvu kubwa miaka miwili sasa na hakuna mafanikio. Kazi hiyo wamepewa watu wa aina tofauti wenye ushawishi lakini bado imekuwa ngumu...
44 Reactions
220 Replies
7K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amesema Wataalamu wa Chadema na wenzao wa CCM wameketi pamoja kuangalia namna bora ya kupata Katiba mpya. Kuhusu yeye kutoelewana na Mwenyekiti Mbowe...
11 Reactions
38 Replies
2K Views
Lissu ameyasema hayo baada ya kuulizwa swali kwenye kipindi cha Clouds 360 ambapo mtangazaji alimuuliza Lissu yupo upande gani sababu mahasimu wake wa kisiasa wamekuwa wakimtuhumu kuwa supporter...
25 Reactions
135 Replies
9K Views
Alipofariki Magufuli, umeme ulianza kukatika katika hovyo na mgao usio na mpangilio.Mambo mengi yalianza kukwama. Sababu tuliambiwa ni eti Magu hakuwahi kufanya ukarabati wowote kwenye miundo...
2 Reactions
9 Replies
826 Views
Kuendelea kuwa na hasira juu ya wasiokuwepo ni ujinga na kupoteza muda! Muda hausubiri bali tukitaka muda utusubiri ni kufanya tulimbikize mambo mengi yatupasayo kufanya sasa! Dunia iko mbaali...
1 Reactions
5 Replies
588 Views
Nimependa andiko hili la Charles Makakala ambalo limeandikwa kwenye Gazeti la The Citizen, nadhani kuna jambo la kujifunza, hasa Wanasiasa na wanahabari wanatakiwa kulisoma hili andiko There is...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu Paskali salaam, Una kila haki ya kutoa maoni yako. Na kwa kuwa haki hii ni ya kikatiba, basi hakuna mtu anayeweza kukunyang'anya. Nimesoma kwa makini sana makala yako Shambulizi la Lissu...
105 Reactions
178 Replies
18K Views
Mambo matatu muhimu kwa wapelelezi katika shambulizi la kutaka kuuwa kwa Lissu, yanayoweza kuwatia nguvuni wahusika, kumpatia Lissu haki yake na kuhitimisha suala hili kabisa ni haya 1. Walinzi...
4 Reactions
6 Replies
792 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia alishaweka wazi na kujipambanua kimaneno na kimatendo juu ya hasira zake Kali na maamuzi yake magumu kwa yeyote atakaye chezea fedha za umma,Hana Cha Nani Wala...
8 Reactions
94 Replies
4K Views
Mamia wakifurahia na kuwapokea viongozi waliongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Ndg Daniel Chongolo Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndg Daniel Chongolo akiambatana na Katibu wa...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Wana wema, Naomba kuuliza nini hasa maana ya kuruhusu mikutano ya siasa. Nasikia na kuona ratiba ya vyama vya siasa hasa upinzani inaonesha ni kuzunguka nchi nzima. Kufanya nini ilhali hakuna...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom