Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu mnakaribishwa kwenye mkutano Mkubwa sana wa Hadhara unaofanyika Wilayani Ikungi , Mkutano huo kabambe utahutubiwa na Vigogo wa Chadema, wakiwemo Freeman Mbowe na Tundu Lissu. Baadhi ya...
13 Reactions
54 Replies
5K Views
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Februari 6, 2023 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 10, Kikao cha 5 VITAMBULISHO VYA NIDA NI ASILIMIA 68 TU Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Barabara hii ndiyo ielekeayo kwenye Mgodi mkubwa kabisa wa Bhulyankhulu wa madini ya dhahabu ajabu ni tope, vumbi na chafu isiyoelezeka! Umbali wenyewe si zaidi hata ya kilomita 80 ajabu CCM...
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe jana akiwa mkoani Singida amenukuliwa akionya kuwa; "Siasa haipaswi kupuuzwa hata kidogo, ndio msingi wa maisha yetu ya kila siku. Siasa ndio iliyopelekea...
8 Reactions
10 Replies
773 Views
Habari . Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji. Kuna group linaitwa Chadema in blood kule facebook yani kila wanachopost...
2 Reactions
11 Replies
813 Views
MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wana-CCM na wananchi kwa ujumla waendelee kuiamini Serikali yao kwa sababu watendaji wake...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Tulisema Ila wanachadema wenye mihemko wakaishia kututukana. Na wengine wakasema protocal hairuhusu. Gazeti la mwananchi limemnukuu Lissu akihoji alipo Mbowe, Lissu amehoji sababu za Mbowe...
12 Reactions
141 Replies
11K Views
Ndugu zangu watanzania, Kwanza niwapongeze Sana kwa dhati ya moyo wangu wakuu wote wa wilaya walioteuliwa na mh Rais wetu mpendwa mzalendo wa kweli Jasiri shupavu na madhubuti Mama Samia Suluhu...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mh Tundu Lissu atapanda jukwaani huko Ikungi, Mkoani Singida tarehe 5/2/2023. Hii ni katika muendelezo wa mikutano ya hadhara iliyozinduliwa Mwanza, huku...
11 Reactions
40 Replies
3K Views
02 February 2023 Tunduma, Tanzania CCM WAWASHA MITAMBO, WARUSHA "MAKOMBORA' KWA WALICHOKIITA CHAMA CHA UPANDE WA PILI Wanachama wa CCM jimbo la Momba wamejitokeza kwa wingi barabarani kufanya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Waanika tuhuma dhidi yake, wataka zichunguzwe.
23 Reactions
110 Replies
10K Views
Hii ndio Taarifa mpya kwa Usiku huu, kwamba huko Mkoani Singida kwenye Wilaya Maarufu ya Ikungi , hivi tunavyoandika hapa ni kwamba mamia ya wananchi tayari wamejitafutia nafasi kwenye eneo...
23 Reactions
62 Replies
6K Views
Tundu Lisu amesema Katiba ya JMT inafanya kuwa nusu mungu yaani Alfa na Omega. Lissu anasema kwa madaraka makubwa ya Rais ndio anapanga Matumizi Yote ya Serikali na hata Mei mosi Wafanyakazi...
3 Reactions
1 Replies
890 Views
Patrick Aron Nipilima Mfugale mhandisi tajwa nchini Tanzania na alikuwa mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS. Injinia Patrick A. N. Mfugale RIP ===== Mtendaji Mkuu...
42 Reactions
447 Replies
110K Views
Mawaziri wa CCM leo kwenye sherehe za CCM Morogoro mbele ya Karibu Mkuu wakijibu kero kwa wananchi wamedhihirisha kuwa maamuzi mabovu ya serikali yao ni chanzo cha matatizo Kwa Watanzania. Ona...
2 Reactions
6 Replies
888 Views
Kuna ile kandarasi ya mfumo wa usimamizi wa uongozi ya wahindi tanesco ingefaa sasa isimamishwe. Januari makamba alipopewa uwaziri moja ya mambo ya ubadhirifu wa fedha za umma ni kuipa kampuni ya...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi Mgeni Rasmi Ufunguzi wa Kairuki Green IVF kesho tarehe 06 Februari 2023 kuanzia saa 2:30 asubuhi, Kairuki Hospitali...
0 Reactions
0 Replies
542 Views
Jumatano, Jan 25, 2023. Shinyanga mjini, Shinyanga. Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Cde Ramadhani Mwishehe Mlao (MNEC) amezungumza na wanachama wa CCM mkoa wa Shinyanga kuelekea...
0 Reactions
1 Replies
747 Views
Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu anazidi kuchukua hatua kubwa ili kulipeleka taifa la Tanzania katika mustakabali mwema. Samia Suluhu ameelekeza nguvu zake katika kuendeleza ajenda za maendeleo...
1 Reactions
0 Replies
820 Views
Ndugu zangu watanzania, Huo ndio ukweli wenyewe japo Ni mchungu na wakuudhi au kukasirisha au kukera au kuzichafua nyoyo za wapinzani, lakini ndio ukweli wenyewe wanaopaswa waujuwe na kuukubali...
1 Reactions
9 Replies
860 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…