Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakuna sababu ya kuendelea kulia lia na ugumu wa maisha. Tuchague Tundu Lissu kwa kishindo upande wa Bara na Maalim Seif upande wa Visiwani. Tunayo hatima ya Tanzania mpya inayojali haki, uhuru na...
9 Reactions
10 Replies
1K Views
Viongozi wa dini mnayo nafasi yakukemea leo kwa sababu msipowakemea waumini wenu leo mkakaa kimya kesho watachafuka awataweza kuwafuata kutubu na awatataka kukutanisha uso wao na wenu kwa ajili ya...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika historia ya Chaguzi za vyama vingi tokea 1995 haijapata kutokea mgombea aliyepiga kampeni mfululizo na kutimiza takribani 96% ya malengo ya ratiba yake bila kuonyesha kuchoka kwa mwili au...
55 Reactions
87 Replies
6K Views
Kuna Taarifa zinazunguuka mitandaoni kuwa REDET wanajipanga kutoa ripoti ya utafiti wa mwenendo wa kisiasa nchini kesho tarehe 27/10/2020. Kama REDET watatoa taarifa hizo wakati nchi inaingia...
16 Reactions
42 Replies
4K Views
Nchi nyingi Duniani utangaza nakuweka wazi kampuni yakuzalisha vifaa na karatasi za kura na jamaa ni kampuni ya nje ya nchi husika vasi siku vifaa vinaingizwa nchini utangazwa na media uruhusiwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani na kuamua Tanzania iwe nchi inayojitegemea katika masuala yake za kiuchumi pamoja na kuleta mageuzi makubwa katika mikataba ya madini na uwindaji wanyama...
27 Reactions
104 Replies
6K Views
Mgombea ubunge jimbo la Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa katiba na sheria Dr Mwigulu Nchemba adaiwa kuteka, kupiga na kuumiza wananchi wanaomuuliza maswali asiyoyapenda jimboni kwake...
8 Reactions
79 Replies
9K Views
Wanajamvi, nimehamasika sana ktk uchaguzi huu. Kikubwa ni uhakika wa anguko kubwa la CCM ktk uchaguzi huu. Kwahiyo nataka niwe sehemu ya historia inayokwenda kuandikwa. "Tundu Lisu the rescuer...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Tumefanya Kila jitihada kuhakikisha tunampata MKURUGENZI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI Ndugu Mahera lakini Hapokei simu na Wala Ofisini kwake hakubali kuonana nasi. Tunazidi kuamini Kuwa yeye ndio...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tangu asubuhi jimbo la Musoma Mjini limetaliwa na kelele za Mabomu ya shabaha yanayofanywa na FFU mkoa wa Mara maeneo ya Kamnyonge/ Nyamatare. Mida ya jioni nimeshuhudia askari wengi wa FFU...
12 Reactions
13 Replies
3K Views
Kesho ni siku muhimu sana kwa vyama miamba wa nchi hii. Ni siku ya kufunga kampeni za uchaguzi mkuu wa 2020. Mpaka leo hatuwezi kusema nani atashinda au nani atashindwa. Hali hiyo inathibitisha...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu yangu mwanaJamiiForums tuwe na kumbu kumbu kua 2015 wakati Rais Magufuli anaomba kura aliahidi mambo mazuri na makubwa sana lakini mpaka sasa anatimiza ungwe ya miaka mitano hajatumia yote...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Wanakawe wote kwa umoja wetu bila kujadi itikadi zetu tujitokeze kwa wingi wetu tarehe 28.10.2020 tuendelee na sauti adimu ya Zege. Tunahitaji mtu wa kwenda kutusemea na siyo mtu wa kwenda kupiga...
16 Reactions
50 Replies
6K Views
Ukijiuliza Ubungo Interchange na Sumbawanga wapi na wapi. Yaani wakupe kura kwa sababu ya flyover za Dar. Hivi wabunge wa CCM wanajielewa kweli? Mgombea anajikakamua kweli kweli kuhusu ndege Rais...
22 Reactions
55 Replies
5K Views
Wasalaam wanabodi, Kampeni za uchaguzi mkuu zinaelekea ukingoni siku mbili zijazo nchi nzima. Tumeona Kila mgombea akijinadi kwa style yake na upekee kulingana na malengo na mikakati thabiti...
75 Reactions
163 Replies
15K Views
MAMBO 20 MUHIMU WAKATI WA KUPIGA KURA, KUHESABU, NA KUTANGAZA MATOKEO. Na Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241. 1. Sifa za mpiga kura ni mbili, moja hakikisha umo kwenye daftari la kudumu la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya mgombea urais wa CCM kusema kuwa hatoweza kufika baadhi ya mikoa hapa Tanzania, CCM imemutuma Ndugu Herry James ambaye ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari Tanzania! Kura & Uhusika: Hii ni kwako wewe ndugu mtanzania na kwa wale wote wanaohusika na upigaji kura. Nakuomba kwa kukuwekea msisitizo ewe mpiga kura na Mtanzania tafadhali sana...
1 Reactions
3 Replies
509 Views
Habari za jioni hii, mimi frustration nimeapishwa kuwa wakala wa ACT Wazalendo katika Kata yangu. Changamoto kubwa ilikuwa ni kutojipanga kwa chama cha CHADEMA na ACT Wazalendo. Kwenye Kata yangu...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Wakati kampeni za uchaguzi Mkuu zikielekea ukingoni Katibu Mkuu wa CCM Dk Bashiru Ali amesema chama chake kimefanya kampeni za kisasa na kistaarabu. Dk Bashiru amesema licha ya mikutano ya chama...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom