Namshauri ndugu Mchengerwa moja kati ya majukumu atakayofanya ni kuongeza idadi ya visiwa ambavyo vitakuwa chini ya hifadhi ya SAANANE.
Kisiwa Cha saanane ni hifadhi ya taifa, na kwa kuangalia...
Wanabodi
Naangalia TBC mubashara uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign,
Katika ufuatiliaji wa uzinduzi huu mubashara kupitia TBC, kukatokea jambo fulani,
kuna kiongozi mmoja mkubwa ambaye...
Naomba ku-declare interest kuwa mimi ni mdau wa safari (abiria) wa mara kwa mara 75% nikiwa natumia bus.
Niliwahi kuandika kuhusu "uhuni" wa kile kinachoitwa ving'amuzi kwenye mabasi.
Leo hii...
Viongozi wa juu wa kitaifa wanahitaji mahitaji maalumu kila waendapo na yanahusisha gharama. Misafara yao na wasaidizi wao. Ikiwa hilo halitoshi wenyeji nao wana misafara yao kila panapokuwa na...
Mzee Wassira kupitia mahojiano maalum yaliyofanywa na TBC yakimuhusisha pia Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Sera ya CCM kuhusu muundo wa Serikali haitabadilika.
Wassira amemwambia Zitto...
Naomba kutoa rai kwa Mbunge wa Kawe Mh. Sana Askofu Gwajima pamoja na wa Serikali za mitaa maeneo haya. Kuanzia eneo la Sema bar kuelekea magengeni hadi Kanisa Katoliki Salasala kwenda kinzudi...
Running order ya Kipindi cha Jambo Afrika, Jambo Tanzania ambacho kinarushwa live na Televisheni ya Taifa, TBC-1, kila siku kuanzia saa 12:00-2:00 asubuhi kimeonyesha Mbunge wa Kigoma Kaskazini na...
Wanabodi,
Salaam.
Kwanza naomba ku declare my interest, kuwa mimi ni Broadcast Journalist ambaye niliwahi kufanya kazi TBC, hivyo hiki ninachokizungumza humu nakijua ipasavyo as a professional...
Wanabodi,
Wale wenye access, naombeni muangalie TBC, kuna kipindi live cha majadiliano kikiendeshwa live kutoka Dodoma kikiongozwa Mtangazaji wa TBC Dodoma, Victoria Patrick akizungumza na...
Wanabodi,
Angalia TBC Live, Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dr. Ayoub Rioba Chacha, atoa mwelekeo wa TBC for 2018.
Kipindi nimekukitia katikati,
Dr. Rioba amesema amepania kuipaisha TBC kwa kuifanyia...
Kama mikutano ya hadhara ni fursa ya kufitinisha na kuchafua watu tunahaja ya kuangalia. Ila pia ni vizuri kuwapa fursa watu kutema sumu
======
Tundu Lissu amesema alirejea Tanzania mwaka 2020...
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso amewataka watoa huduma binafsi ya visima kutoa huduma hiyo kwa kuzingatia taratibu za uuzaji zilizowekwa kisheria ikiwemo maji bei elekezi na kuhakikisha maji hayo...
Wanajamvi wasalaam.
Napitia report ya AFDB, IMF na World Bank hakika ni report zilizoshiba sana.
Report hizi kwa pamoja zimeangazia masuala mtambuka, waataalamu mahiri wa uchumi wamechambua...
Mke wa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Bi. Zainab Shomari aliyeambatana na Ujumbe...
Yapo mengi yanayoweka matumaini ya Tanzania bora baada ya hawa ndugu kuondolewa madarakani.
Hawa ndugu wameshindwa kujifunza wala kubadilika pamoja na kupigiwa kelele mno. Kwamba ni lipi...
Habari Wakuu wa kigoda.
Waziri wa Nishati Bwana Januaary Makamba anasema November mwaka 2019 Umeme Ulizima Mikoa yote ya Tanzania kutokana na shida za uchakavu wa miundombinu, hiyo ni Kwa Mujibu...
"Mgeni sio kwamba ananunua ardhi, na sio kwamba anapewa umiliki wa 100% hapana anapewa kibali cha kuwekeza kwa miaka kadhaa. Kwa mtu anayetoka Tanzania Bara ambaye anataka kufanya Uwekezaji...
Habari za asubuhi ndugu zangu, hakika kwenye huu ukanda wetu inawezekana huyu mama is a best president Kwa Sasa, nimeangalia mambo mengi kuhusu utawala wake.
Mosi, Kuhusu utumishi Bora na Sheria...
Kuukarabati mfumo wa "Utawala bora" pamoja na sheria zetu ili kuziba na kurekebisha mianya, nyufa, matobo, maadili mabovu, uzembe ofisi za umma, pamoja na mambo yote yanayoifanya nchi yetu iende...