Hesabu zinambeba Dkt. Mwigulu Nchemba

zanku

Member
Jun 9, 2020
69
149
Wanajamvi wasalaam.

Napitia report ya AFDB, IMF na World Bank hakika ni report zilizoshiba sana.

Report hizi kwa pamoja zimeangazia masuala mtambuka, waataalamu mahiri wa uchumi wamechambua kinagaubaga.

👉 Projection ya uchumi iko vizuri sana, uchumi unakuwa kwa kasi sana kuliko taifa lingine ukanda wa sub sahara.
👉Reserve ipo stable, hivyo hakuna tishio kwa wawekezaji.
👉Inflation iko undercontrol kuliko nchi zote za east africa.
👉Deni la serikali bado liko kwenye standard ya nchi zenye madeni madogo sana na linalipwa on time.

👉 Sera za monetary and fiscal policies zinafuatwa kwa usahihi, niko controlled.

Hii sio bahati mbaya bali ni matokeo ya management nzuri inayofanywa na wizara ya fedha chini ya Dkt Mwigulu Nchemba.


Muda ni hakimu mwema.
 

Attachments

  • WB CITIZEN.jpg
    WB CITIZEN.jpg
    136.7 KB · Views: 4
  • WB INFLATION.jpg
    WB INFLATION.jpg
    56.8 KB · Views: 3
  • TBI WB.jpg
    TBI WB.jpg
    60.4 KB · Views: 2
  • WB DEBT.jpg
    WB DEBT.jpg
    77.4 KB · Views: 3
  • WB SUBSIDY.jpg
    WB SUBSIDY.jpg
    58.4 KB · Views: 3
  • WBTBI.jpg
    WBTBI.jpg
    71.9 KB · Views: 3
Kuna mtu ananiuliza hata huko WB na IMF unaweza kununua data as if zile honorable PhD ?
 
Back
Top Bottom